Nifanye nini ili niwe tajiri number 1 duniani?

Anayejua pakuanzia wadau natamani sana siku namimi niandikwe forbers kama tajiri number moja duniani naomba ushauri nadhani mimi ni mtanzania wapili baada ya ule kijana mwingine wa madale tunaomba ushauri kufanikisha ndoto zetu japo sijui pakuanzia
Kuwa na akili.
 
I could show ya how to juggle anything and make it double ,Weed, blow, real estate, liquor sto' -Rubber Band Man

Weed(Bang!) , Blow(Unga)

Liquor sto' - Hapa ndipo Tajiri wa visungura mulokozi alipotajirika
 
ndo ungemshauri atengeneze urafiki na Elon

eh hiyo pangu pakavu veeeep,, kwanza naomba connection nije huko ulipo😂

Dah, usinifanye nikumbuke lile chozi aisee! I melt ghafla...

Watuletee zile stori zetu tuzipendazo tu bana maisha yaendelee, nani anapenda mambo magumu hapa jf jamani??

Ilikua zamani
 
kumbukumb lazima ziwepo ili usijisahau sanaaa😅

hizo story labda tusubiri weekend maana zina watu wao wanao ziwezea haswaaa👌 maisha ndo haya haya hakuna haja ya kujitesa
 
Kweli aisee back to my mind...

Nmekubali, una akili sana mamaa
 
Anayejua pakuanzia wadau natamani sana siku namimi niandikwe forbers kama tajiri number moja duniani naomba ushauri nadhani mimi ni mtanzania wapili baada ya ule kijana mwingine wa madale tunaomba ushauri kufanikisha ndoto zetu japo sijui pakuanzia
Ingekuwa kuandikwa tu forbes ningekusaidia
 
Back
Top Bottom