Unadhani nirahis hivyo?Kachukue ndagu tu bloangu uwatoe wazazi kafara umpite hata Elon Mask
Si anataka utajiri mkuu?Unadhani nirahis hivyo?
una maana ganiAcha nyeto
Anayejua pakuanzia wadau natamani sana siku namimi niandikwe forbers kama tajiri number moja duniani naomba ushauri nadhani mimi ni mtanzania wapili baada ya ule kijana mwingine wa madale tunaomba ushauri kufanikisha ndoto zetu japo sijui pakuanzia