Nifanye nini Ili nisimpoteze

Nifanye nini Ili nisimpoteze

Wakuu kwema ,naombeni ushauri Niko kwenye mahusiano na binti age 20 Kwa sasa na ni Yuko advance huko mkoani,Mimi Niko dar ,huyu Binti ameonekana kunipenda sana na Mimi nampenda pia ,pia nashukuru Mimi ndio mwanaume wake kwanza Binti pia anamalengo ya kuja kuanzisha familia na Mimi coz Kwa sasa Nina miaka 25 na najitambua kabisa na Kuna mbaga nafanya baada ya kuona kufatilia ajira za serikali ni michosho
Je nizidi kumsubiri Binti aje kuwa my wife?
Au nianzishe niwe na mwingne tu maana Binti ana miaka kama mitano hivi ya elimu ,Japo kwao mama ake na baadhi ndugu zake wananijua ila Mzee wake ndio mkaksi alitaka kuniletea noma ila nashukuru Mungu nilitoka salama
Thus ;naombeni ushauri wenu apo nifanye nini ili Binti nisimpoteze hizi apa texts zake 👇🏾hizo xx , baby wangu bado sio mjanja mjanja😂😂😂
Jitathmin kijana Kisha uje hapa tena
 
Umemaliza certificate ya kozi gani maana kwa hizi akili sindani kama umefika diploma?? Alafu nahisi yeye ndo kakutoa bikra maana umewehuka dogo! Mwanamke ndo anatakiwa awe na hofu ya kukupoteza sio wewe ndo uwe na hofu ya kumpoteza!
Mimi ndio nimemtoa bikra na ni mtamu balaa😂😂
 
Ila huyu amezama sana kwangu labda Mimi ndio nilete ujinga baadae maana mwanamke anaweza kukupenda sana na kukuheshimu ila ukibadilika unamvunja moyo kabisa
Acha kujilisha upepo.Hajazama kwako Maezama kwenye IDEA ya Kuzama kwako.Most people are in love with the Idea of Being in Love.Usichanganye.Muache asome.Hata maana ya Upendo hajajua bado.
 
Back
Top Bottom