Eyume Dedu
Member
- May 28, 2021
- 68
- 42
Habari.
Naombeni ushauri nifanye nini niko nje ya nchi nafanya kazi kiukweli nashindwa kutegemea mshahara kwa sababu unakua na kiwango cha ukomo naona kama unanilimit kufanya mamb yangu na sihitaji kukaa nje muda mrefu nataka kurudi nyumbani within miaka mi2.
Nataka nipate kitu cha kufanya nyumbani kitakachoniongezea kipato mbali na mshahara. Nifanye nini au nisubiri mpaka nitakaporudi nyumbani?