Nifanye nini ili niongeze kipato changu?. Kwa sasa nipo nje ya nchi

Kuna dogo alianzisha kwa mtaji wa laki 3.Mazao sawa yanahitaji uhifadhi pia, kuyasafisha yakae kiwango kulingana na status, hauwezi kutoka nje ya nchi uje uanzishe uuzaji wa mazao, kwanza madalali lazima wakukalishe kwanza biashara ya buy and sell kwa mgeni ni ngumu, kuhusu waalimu, mfano shule ya msingi waalimu wanapata training kila baada ya muda kwa gharama ndogo sana
Kwa kutumia TEHEMA huitaji kuwa na ghala la kuhifadhi. Kinachotakiwa ni kufanya "market survey" ya wakulima/walanguzi na wauza rejareja. Ukipata wa kutosha wewe unawaunganisha kimtandao. Maelezo zaidi tuwasiliane inbox
 
Sawa mkuu nimekusoma
 
Kaa hapo Muscat/Salala kwa kutulia kiongozi nimekuwa jirani yako nikafanya uboya ndo nikaipata kisawa sawa kwamba pesa haina ndugu
Hakuna kitu inauma uone dogo ananenepa tu afya inakubali na update za mchongo ni hola 🤣 🤣
 
Sawa mkuu
 
Ilikuwa ni kilimo cha maharage bibie, yaani nilipigwa chenga ya mwili kana kwamba sikuweza kuambulia chochote.

Shamba halikupandwa, hela ya mbegu ililiwa na hapo taarifa nilikuja kupewa baada msimu kupita...

Imagine mtu umekodi eneo, umelimisha na umetoa hela ya mbegu halafu mwisho wa siku unaambiwa shamba halikupandwa..🤔

Mwisho wa siku ilibidi nimtume mdogo wangu aende kuconfirm. ☹️☹️
So kwenye hiyo betting nikawa nimepigwa namna hiyo.
Kilimo cha simu KIMEUMIZA WENGI SANAA.

#YNWA
 
Restaurants
Basi ukiwa huko ujifunze kupika vyakula vizuri, kutengengeneza juice nzuri, badili sehemu za kula kila mara kuangalia wenzio wanauza vipi misosi huduma kwa wateja na vitu kama hivyo.

Ukikaribia kuja nyumbani unanunua vyombo vizuri juicer na vitu vingine, ukija nyumbani una tafuta chef zanzibar wapo wa kutosha uanatafuta sehemu unalipia unaanza Kazi vyakula bongo bado havikidhi mahitaji ya watu.
 
Basi ukiwa huko ujifunze kupika vyakula vizuri, kutengengeneza juice nzuri, badili sehemu za kula kila mara kuangalia wenzio wanauza vipi misosi huduma kwa wateja na vitu kama hivyo. Ukikaribia kuja nyumbani unanunua vyombo vizuri juicer na vitu vingine, ukija nyumbani una tafuta chef zanzibar wapo wa kutosha uanatafuta sehemu unalipia unaanza Kazi vyakula bongo bado havikidhi mahitaji ya watu.
Lengo langu kwenye msosi sitaki vya kigeni nahitaji kupika vyakula vyetu vya asili sabab havipatikani kwa wingi labda kuhusu juice ila hapo nipo vzr

Thanks much nimebeba kitu kwako ✊🏻
 
Ilikuwa ni kilimo cha maharage bibie, yaani nilipigwa chenga ya mwili kana kwamba sikuweza kuambulia chochote.

Shamba halikupandwa, hela ya mbegu ililiwa na hapo taarifa nilikuja kupewa baada msimu kupita...

Imagine mtu umekodi eneo, umelimisha na umetoa hela ya mbegu halafu mwisho wa siku unaambiwa shamba halikupandwa..🤔

Mwisho wa siku ilibidi nimtume mdogo wangu aende kuconfirm. ☹️☹️
So kwenye hiyo betting nikawa nimepigwa namna hiyo.
Duh watu wana tabia mbaya yaani hata shamba halikupandwa wkt hela mbegu ilitolewa😒, labda ungekua unamwambia akutumie picha ya kila step kupanda, kupalilia , kuvuna nk atleast uwe unajua kafikia wapi. Polee au alikuona gentleman huna makuu? Mi sijui ningemfanyaje aisee ningemng'ata pua
 
Watakutumia fake mwizi ni mwizi tuu
 
Mkuu, kama una uelewa na mambo ya global financial markets. Wekeza kwenye mambo ya forex trading, stocks and cryptocurrencies. Eneo lako la biashara linakua ni simu na Internet connection tu!
 
Hivi hii kitu huwa inafanya kazi kweli?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom