Nifanye nini ili niongeze kipato changu?. Kwa sasa nipo nje ya nchi

Eyume Dedu

Member
May 28, 2021
68
42
Habari.

Naombeni ushauri nifanye nini niko nje ya nchi nafanya kazi kiukweli nashindwa kutegemea mshahara kwa sababu unakua na kiwango cha ukomo naona kama unanilimit kufanya mamb yangu na sihitaji kukaa nje muda mrefu nataka kurudi nyumbani within miaka mi2.

Nataka nipate kitu cha kufanya nyumbani kitakachoniongezea kipato mbali na mshahara. Nifanye nini au nisubiri mpaka nitakaporudi nyumbani?
 
Upo nchi gani kwani? Kuna bidhaa zozote kutoka huko kuja huku unahisi zitauzika? If yes unaweza ukawa unawaagizia mzigo wanauza then wanakutumia chako. Au weka fixed deposit for hiyo 2 yrs then unavoondoka na muda ukifika unachukua .
 
Habari...!

Naombeni ushauri nifanye nini niko nje ya nchi nafanya kazi kiukweli nashindwa kutegemea mshahara kwa sababu unakua na kiwango cha ukomo naona kama unanilimit kufanya mamb yangu na sihitaji kukaa nje muda mrefu ntaka kurudi nyumban within miaka mi2
Nataka nipate kitu cha kufanya nyumbn kitakachoniongezea kipato mbali na mshahara
Nifanye nini au nisubiri mpk nitakaporudi nyumbani?

Tunza tu pesa zako kwenye kibubu
Au kama unaweza nunua ardhi kidogo inafaa
 
Embu weka akiba mkuu ukikaribia kuja unitafute nikusaidie ushauri kuanzisha mradi wa shule ya English medium, wewe hata ukija Likizo nitafute. Huo ni mradi wa kudum na gape bado lipo, wewe utaendesha vizuri maana umeshakuwa na displine ya hela.Sihitaji malipo ukifanikiwa najua hutaniacha njaa.
 
Aisee kuna mwamba anapiga m400 kwa mwaka kama masihara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Embu weka akiba mkuu ukikaribia kuja unitafute nikusaidie ushauri kuanzisha mradi wa shule ya English medium, wewe hata ukija Likizo nitafute. Huo ni mradi wa kudum na gape bado lipo, wewe utaendesha vizuri maana umeshakuwa na displine ya hela.Sihitaji malipo ukifanikiwa najua hutaniacha njaa.
Wazo zuri lakini linahitaji mtaji mkubwa (start-up + operational costs), isitoshe kupata walimu wenye sifa za kuipandisha shule ili iaminike siyo rahisi.

Biashara endelevu ni mazao ya chakula (mahindi + mchele). Kwa kuanzia unafanya kununua na kuuza kwa wauza rejareja baadaye unanunua shamba na kulima mazao yako mwenyewe badala ya kununua na kuuza.
 
Duh ulipatwa na nini Gentleman?
Ilikuwa ni kilimo cha maharage bibie, yaani nilipigwa chenga ya mwili kana kwamba sikuweza kuambulia chochote.

Shamba halikupandwa, hela ya mbegu ililiwa na hapo taarifa nilikuja kupewa baada msimu kupita...

Imagine mtu umekodi eneo, umelimisha na umetoa hela ya mbegu halafu mwisho wa siku unaambiwa shamba halikupandwa..🤔

Mwisho wa siku ilibidi nimtume mdogo wangu aende kuconfirm. ☹️☹️
So kwenye hiyo betting nikawa nimepigwa namna hiyo.
 
Hii kuna ndugu yangu alishafanyiwa alituma pesaaa weee mwisho wa siku amaambiwa mvua imepita na mazao
 
Wazo zuri lakini linahitaji mtaji mkubwa (start-up + operational costs), isitoshe kupata walimu wenye sifa za kuipandisha shule ili iaminike siyo rahisi.

Biashara endelevu ni mazao ya chakula (mahindi + mchele). Kwa kuanzia unafanya kununua na kuuza kwa wauza rejareja baadaye unanunua shamba na kulima mazao yako mwenyewe badala ya kununua na kuuza.
Wazo la shule inawezekan sio mbaya lakin kwangu ningefanya kutokana na mitaala yetu mibovu ya kutengeneza wasomi tegemezi sitaki kuwa tayari kuendleza ukoloni nyumbni

Watoto wangu wenyewe shule waisahau kama mifumo itaendelea kuwa hivi

Nilikua nafikiri kuhusu kilimo sema nachowaza ni wa kumuachia nyumbn
 
Kuna dogo alianzisha kwa mtaji wa laki 3.Mazao sawa yanahitaji uhifadhi pia, kuyasafisha yakae kiwango kulingana na status, hauwezi kutoka nje ya nchi uje uanzishe uuzaji wa mazao, kwanza madalali lazima wakukalishe kwanza biashara ya buy and sell kwa mgeni ni ngumu, kuhusu waalimu, mfano shule ya msingi waalimu wanapata training kila baada ya muda kwa gharama ndogo sana
 
Wazo la shule inawezekan sio mbaya lakin kwangu ningefanya kutokana na mitaala yetu mibovu ya kutengeneza wasomi tegemezi sitaki kuwa tayari kuendleza ukoloni nyumbni

Watoto wangu wenyewe shule waisahau kama mifumo itaendelea kuwa hivi

Nilikua nafikiri kuhusu kilimo sema nachowaza ni wa kumuachia nyumbn
Biashara itakayokufaa ni ya service, hizo zingine zinakuhitaji uwepo kila mda, kwa sababu service kama education kila term unamoniter ada kwenye akaunti, kilimo kinahitaji uwepo karibu
 
Back
Top Bottom