Nifanyaje ili nisipende sana, naomba ushauri

Nifanyaje ili nisipende sana, naomba ushauri

''The one who love the most suffer the most, the one who loves the least suffers the least and he/she controls the other''
Nimekuwa mhanga wa kupenda sana, lakini ndio naishia kutendwa naombeni ushauri nifanyeje nisipende sana??
 
Hatred can only hurt you Matege, not us. Usituchukie, bali amua kuishi upendavyo wewe. Don't be inferior, chose your life and enjoy it freely and wholeheartedly.

Kupenda kutafuta hela au kupokea hela zetu?
:tongue:

30's alafu bado mshipa wa kupenda unao mama???? aisee pole sana. last person to be loved by me ndo alifunga dimba. am 20's ila mapenzi yashanikinaisha.

Nimejifunza kupenda hela zaidi na zaidi
na kuwachukia jinsia ya kiume. usiwe serious sana kwny mahusiano kamama. hawa jamaa hawana guarantee.. karibu stress free zone.. single and super happy
 
Wanaume hawa wabayaaaa.Yani mtoto mrembo hivyo unatendwaaaa!!Pole sana anza kupenda kidogoooo

Hahaa that's not me Honey Faith japo na mimi ni mweupe lakini natofautiana umbile na huyu dada. Kaka Jambazi tu ananitafuta maneno
 
30's alafu bado mshipa wa kupenda unao mama???? aisee pole sana. last person to be loved by me ndo alifunga dimba. am 20's ila mapenzi yashanikinaisha.

Nimejifunza kupenda hela zaidi na zaidi na kuwachukia jinsia ya kiume. usiwe serious sana kwny mahusiano kamama. hawa jamaa hawana guarantee.. karibu stress free zone..

single and super happy

My dear kama ni pesa ninazo japo kiasi ila nilikuja kukugundua money is not every thing na sio priority kabisa kwangu katika kuchagua mwenzi.
 
Matege msituchukie wote bhanaa mnajiandaa sana ndo mana mnakutana na vmieo ila pole
 
Last edited by a moderator:
Fanya kama ulivyoandika kwenye heading
Mkuu usimvunje moyo, katika dunia hii yenye watu zaidi ya watu bilioni 7 ukikosewa na wanne usiache wakaharibu maisha yako yote yaliyosalia wapuuze,

keep bize uwasahau then songa mbele na wala haina maana wote ni wabaya utampata wa ubavu wako.

Nominomi my sister pengine umekutana na mabega, kiuno, mkono, kiwiko, mguu nk. siku inakuja ukikutana na Ubavu wako utarudi hapahapa ukirukaruka kwa furaha
 
Pole sana, kupenda sana si tatizo ila bahati mbaya kwako hao unaowapenda/uliowahi kuwapenda hawathamini /hawakuthamini thamani ya penzi lako na bahati mbaya katika dunia ya leo asilimia kubwa wako hivyo.

Ukibahatika kumpata atakayethamini penzi lako utakuwa ni mtu mwenye furaha kubwa sana 24/7.

CC: Fixed Point, Arushaone



Love on your own risk....ni formular nzuri sana.

Aifuate.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hatred can only hurt you Matege, not us. Usituchukie, bali amua kuishi upendavyo wewe. Don't be inferior, chose your life and enjoy it freely and wholeheartedly.

Kupenda kutafuta hela au kupokea hela zetu?
:tongue:

Hela zenu? hahahaaa.

Naanzaje kupenda ela ya mtu kwa mfano?!
 
Hahaa that's not me Honey Faith japo na mimi ni mweupe lakini natofautiana umbile na huyu dada. Kaka Jambazi tu ananitafuta maneno

Nikajua ndio wewe huyo nikupe babu yangu Asprin na wala usingejuta kuwa nae
 
Last edited by a moderator:
If you never learn from your experiences then you are a fool my friend.
 
Whatever!!!

We are suppossed Love the Source of Money.. Not money.

Cuveat Emptor: 1 Timothy 6:10 ''For the LOVE of MONEY is the ROOT of all sorts of EVIL''

hela zenu????? hahahaaaaa. naanzaje kupenda ela ya mtu kwa mfano???
 
Nimekuwa mhanga wa kupenda sana, lakini ndio naishia kutendwa naombeni ushauri nifanyeje nisipende sana??

Kupenda ni amri y Mungu. Wapende kama umavyojipenda mwenyewe. Unatakiwa uchoke kaburini. Wapende kwa matendo maneno na mawazo.

Unless unazungumzia yale mapendo mengine?
 
Penda wanovyopenda wanaokupenda, hautatendwa!
 
If you never learn from your experiences then you are a fool my friend.

Thanks my friend if that's how u advice people. It won't help by calling me a fool u have never been in my shoes
 
Thanks I have never approached a man, huwa na fuatwa kama mwanamke, how would u know that this is a right person or not?? Yes I may try to convince my heart
I believe in true love you will find true happiness,kuna vitu vidogo vingi but mostly you will be very confortable around that person,that person will also be open to you,lakini zaidi you will feel it.
 
Kuachwa na wapenzi mara kwa mara kumenipa ujasiri sana.Nimegundua katika mahusiano ya uchumba hakuna mapenzi ya kweli ni kupotezeana muda tu.

Upendo ninao ila kwa sasa nauhifadi kwa mke wangu wa ndoa nitakaekuja kumuoa.Nawashukuru sana wanawake walioniacha kwani wamenifundisha kwamba wanawake ni watamu na vile vile ni wachungu.

kula like mkuu!situation yako ni km yangu vile,nmebakisha kipande kidogo cha upendo kwaajil ya wife!hawa wadada wameninyoosha kwel na wamenifanya pia nianze kumheshimu mwanamke!!nina iman mke wangu sitakuja kumuumiza!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom