molwe
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 425
- 456
Pole kwa yaliyokusibu! Ila weka mapenzi yako ya dhati kwanza kwako mwenyewe, pili Mungu kwani yeye hawezi kukuumiza daima! Halafu sehemu ya tatu kwa mpenzi hutapata maumivu makali tena!
Ila kwa sasa tulia omba Mungu akupe mwenzi wa maisha na sio tena wapenzi wa kukupotezea muda. Jipe moyo utavuka tu maana siku hazigandi.
Ila kwa sasa tulia omba Mungu akupe mwenzi wa maisha na sio tena wapenzi wa kukupotezea muda. Jipe moyo utavuka tu maana siku hazigandi.