RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,090
- 137,983
Duh kama umenisemea vlee ila mwenzio nimeshapata ganz na bado mapemaa 24's sio mbaya, ctaruhusu tena mtu anitese kwa sababu ya upendo wangu kwake, huwez amin mi mpaka nimepiga goti kuomba Mungu anipungizie upendo maana nataseka, jaman omba yasikukute, lilolonipata Jana imebid niuambie huu moyo wenye kiherehere cha kupenda kua imetosha..
Moyo kazi yake kusukuma damu kupenda kiherehere chako by Matola
Last edited by a moderator: