Nifanyaje wakuu hali mbaya sana?

Nifanyaje wakuu hali mbaya sana?

Joined
Jun 16, 2026
Posts
23
Reaction score
48
Ndugu zangu naombeni ushauri baada ya kuachwa na Khadija mwanamke ninayempenda sana.

Sasa Kuna mwamba mmoja alinipeleka kwa mtaalamu tukafanya mambo, nimelazwa makaburini siku 7 mfulilizo na mtaalamu amekula zaidi ya ml 4 lakini kinachoniuma mpaka sasa inakaribia mwezi sioni majibu yeyote.

Bibie bado ameniblock😭😭, nikimuuliza mtaalamu anasema ntakuwa nimekosea mashariti, nimekosa mbinu. Wakuu na hapa Kazini Saini mchina amenichoka amenisimamisha kazi, na hela zangu zinakaribia kuisha, kibaya zaidi nikienda kazini nashindwa kufanya kazi kichwa kinamfikiria huyu Binti maymivu moyoni,

Nisaidie
 
Hizi id za mwezi June mtachanganyikiwa sasa

Saizi bado asubuhi sana tafuta mgahawa ulio katibu nawe kunywa supu nzito na chapati tatu njaa itakumaliza na sio mapenzi
 
Screenshot_20260710_082635.jpg

Hivi viakaunti vipya vipya vinafanya JF iwe fesibuki sasa😁
 
Mimi kaka ako nakuelewa sana unachopitia hawa vijana wa Jf hawawezi kuelewa

Nishawahi kuachwa Kama hivyo na Suzanna ila kuna mzee nilikutana nae huwezi amini ndani ya siku Saba Suzanna alipiga simu anaomba msamaha huku akilia

Si umesema akiba inakaribia kuisha sasa kabla haijaisha tulimalize hili suala ndugu yangu
 
Katika hizo 4M ulizotoa kwa mganga ungemnunulia zawadi ya 500k na kumbembeleza mtoto Hadija angerudi kwako, Ungebaki na 3.5M ungemnunulia kiwanja cha 1.5M vile vya 20x20 Labda angerudi.
Huyu hata 4m hajawi ona

Asubuhi ametumoa watu 10 meseji kuwaomba buku mbili sasa anasubiria majibu😆
 
Ndugu zangu naombeni ushauri baada ya kuachwa na khadija mwanamke ninayempenda sana,wengi walinishauri nisijiue kwanza,sasa Kuna mwamba mmoja alinipeleka kwa mtaalamu tukafanya mambo,nimelazwa makaburini siku 7 mfulilizo na mtaalamu amekula zaidi ya ml 4 lakini kinachoniuma mpaka sasa inakaribia mwezi sioni majibu yeyote,bibie Bado ameniblock😭😭,nikimuliza mtaalamu anasema ntakuwa nimekosea mashariti,nimekosa mbinu wakuu na hapa Kazini Saini mchina amenichoka amenisimamisha kazi,na hela zangu zinakaribia kuisha,kibaya zaidi nikienda kazini nashundwa kufanya kazi kichwa kinamfikilia huyu Binti maymivu moyoni, Nisaidie

Wale waliokuambia usijiue ndo wa kuwalaumu. Ungekuwa umejiua wala usingekuwa na hizi shida kwa sasa. Waulize walikuambia usijiue sasa unaishi ufanye nini. Mi nadhani wazo la kwanza la kujiua ndo lilikuwa wazo bora kabisa . Rudia hilo mambo yako yatakuwa shwari.
 
Ndugu zangu naombeni ushauri baada ya kuachwa na khadija mwanamke ninayempenda sana,wengi walinishauri nisijiue kwanza,sasa Kuna mwamba mmoja alinipeleka kwa mtaalamu tukafanya mambo,nimelazwa makaburini siku 7 mfulilizo na mtaalamu amekula zaidi ya ml 4 lakini kinachoniuma mpaka sasa inakaribia mwezi sioni majibu yeyote,bibie Bado ameniblock😭😭,nikimuliza mtaalamu anasema ntakuwa nimekosea mashariti,nimekosa mbinu wakuu na hapa Kazini Saini mchina amenichoka amenisimamisha kazi,na hela zangu zinakaribia kuisha,kibaya zaidi nikienda kazini nashundwa kufanya kazi kichwa kinamfikilia huyu Binti maymivu moyoni, Nisaid

Ndugu zangu naombeni ushauri baada ya kuachwa na khadija mwanamke ninayempenda sana,wengi walinishauri nisijiue kwanza,sasa Kuna mwamba mmoja alinipeleka kwa mtaalamu tukafanya mambo,nimelazwa makaburini siku 7 mfulilizo na mtaalamu amekula zaidi ya ml 4 lakini kinachoniuma mpaka sasa inakaribia mwezi sioni majibu yeyote,bibie Bado ameniblock😭😭,nikimuliza mtaalamu anasema ntakuwa nimekosea mashariti,nimekosa mbinu wakuu na hapa Kazini Saini mchina amenichoka amenisimamisha kazi,na hela zangu zinakaribia kuisha,kibaya zaidi nikienda kazini nashundwa kufanya kazi kichwa kinamfikilia huyu Binti maymivu moyoni,

Ndugu zangu naombeni ushauri baada ya kuachwa na khadija mwanamke ninayempenda sana,wengi walinishauri nisijiue kwanza,sasa Kuna mwamba mmoja alinipeleka kwa mtaalamu tukafanya mambo,nimelazwa makaburini siku 7 mfulilizo na mtaalamu amekula zaidi ya ml 4 lakini kinachoniuma mpaka sasa inakaribia mwezi sioni majibu yeyote,bibie Bado ameniblock😭😭,nikimuliza mtaalamu anasema ntakuwa nimekosea mashariti,nimekosa mbinu wakuu na hapa Kazini Saini mchina amenichoka amenisimamisha kazi,na hela zangu zinakaribia kuisha,kibaya zaidi nikienda kazini nashundwa kufanya kazi kichwa kinamfikilia huyu Binti maymivu moyoni, Nisaidie
Nyie ndo mnafanya wanaume tuonekane wa ovyo san
 
Jiue tu fala wew wazazi wamekulea badala uwasaidie unakua boya
 
Pole sana kwa unayoyapitia bwana mdogo.....naelewa machungu unayoyapitia kwani sisi sote kwa nyakati fulani tulishawahi kupitia nyakati hizo......

Habari mbaya ni kwamba hakuna dawa ya kutibu HOMA YA MAPENZI......bali unatakiwa kutulia ukiyavumilia maumivu na utavuka salama.....

Hicho ni kimuhe muhe na kindumbwe ndumbwe cha homa ya mapenzi....hata panadol ya Kenya haiwezi kukutulia machungu.....

Pole sana na utulize akili utavuka slaama
 
😁 pole Mkuu, hicho ki imoji Cha kucheka kisikushughulishe, sema hadija fala sana sababu Gani? Kakuacha Sasa anataka akupe tabu tu Duniani, usijiue bwanah mkuu
 
Back
Top Bottom