Nifanyaje ili nisipende sana, naomba ushauri

Nifanyaje ili nisipende sana, naomba ushauri

Hata kama hutopenda sana lakini watatokea watakao kupenda sana na hivyo utashawishika nawe kupenda baadae utaongeza na sana then ikawa kupenda sana...!

Ushauri: Kwa dunia ya sasa ni vigumu sana kuwa na mwanaume wa kwako peke yako....Hii ni kanuni au kwa kidhungu ni Formula ambayo ina exist kwa sasa. So kikubwa Muombe Mungu umpate anayekupenda na kukujali..

mengineyo usichunguze saaana....maana huto mla huyo kuku. Usipozingatia hilo neno...kutendwa halitaisha wala kukoma kinywani mwako......na still huto mpata wa kwako peke yako.

Ni hayo tu.
 
Pole sana, kupenda sana si tatizo ila bahati mbaya kwako hao unaowapenda/uliowahi kuwapenda hawathamini/hawakuthamini thamani ya penzi lako

Na bahati mbaya katika dunia ya leo asilimia kubwa wako hivyo. Ukibahatika kumpata atakayethamini penzi lako utakuwa ni mtu mwenye furaha kubwa sana 24/7.


CC: Fixed Point, Arushaone


Nimekuwa mhanga wa kupenda sana, lakini ndio naishia kutendwa naombeni ushauri nifanyeje nisipende sana??
 
kwa kweli ladies mna akili fupi sio wote ila endeleeni kuwa chombo cha starehe wacha sisi men tujenge ulimwengu ..

wadada ovyo kweli ungekuwa makini na bize usinge jizamisha kipuuzi kwenye halafu hushtuki umri umesogea sana au unajiona bado 18 yrs ngoja ufike 40 uanze kuomba mungu upate mume hata ambaye tayari ana familia jiongezeeeeee

Usimtishe bhana mbona Kyazanga ameoa? Umewahi kuiona Video clip ya Kyazanga? Mimi natumia smartphone haiload mzigo, mwenye nayo kwa kutumia Pc alete hewani mzigo.
 
Asante karibu sana ila mimi sijui kutumia Pm

Ntakuelekeza usijali

Ukifungua menu ya JF utakuta orodha hapo utaende kwenye meseg fungua itakupeka inbox fungua hiyo msg na ku replay utabonyeza hio alama ya msg utaandika.
 
Mpendwa hapo kwenye suala la zawadi inategemea wanaume wengine hii kitu ya zawadi hawajazoea tokana na makuzi yao. Hivyo ukipewa zawadi shukuru na usipopewa shukuru usijiweke roho juu.

Tulia mpendwa kupenda kuna raha yake lkn uangalifu wa unaempenda ni muhimu sana. Kwa mfano kuna wanaojiingiza kwenye mapenzi wakijua kabisa mtu huyu ana ntu wake ila ntakomaa mpaka kitaeleweka sasa ktk hali kama hii inabidi uwe mpole tu.

Kabla ya kuweka mizizi ya kupenda sana jiridhishe juu ya huyo ndugu. Ukiona kweli ana upendo wa kweli basi sintakulaumu ukipenda sana manake binadamu hatuna uwezo wa kujua yaliyojificha kwenye moyo wa mtu.

Mchepuko hapana sikushauri kwani si kitu chema maana utakua unatia chumvi kwenye jeraha. Kaa na Mungu unaemwamini atakusaidia na kukuongoza ktk yaliyo mema. Usijilaumu unapotendwa keep calm although is not that easy but you can try. Kila unapoanza mahusiano mapya jiulize kwanini yaliyopita yalifail na kwanini naazisha haya nafikiri itakusaidia.

Asante mpendwa nimepata kitu kwenye maelezo yako. Ni kweli kuchepuka sio Dili maana unaweza kujiletea mengi. Yaani akili inanivuruguka mpaka nahisi kukosea the way ninayoishi kwa iaminifu, asante sana
 
Hata kama hutopenda sana lakini watatokea watakao kupenda sana na hivyo utashawishika nawe kupenda baadae utaongeza na sana then ikawa kupenda sana...!

Ushauri: Kwa dunia ya sasa ni vigumu sana kuwa na mwanaume wa kwako peke yako....Hii ni kanuni au kwa kidhungu ni Formula ambayo ina exist kwa sasa. So kikubwa Muombe Mungu umpate anayekupenda na kukujali..mengineyo usichunguze saaana....maana huto mla huyo kuku. Usipozingatia hilo neno...kutendwa halitaisha wala kukoma kinywani mwako......na still huto mpata wa kwako peke yako.

Ni hayo tu.
4
Sawa kabisa umenifanya nikumbuke vingi kuhusu huyu bwana ni kweli kabisa mwanzo sikuwa nampenda wala kumtilia maanani kanifuatilia kwa miaka 4 kipindi hicho nilikuwa na mtu so sikutaka kutazama pembeni, nilimwona ni kati ya wanaume wenye tamaa tu. Baada ya huo muda tulivurugana na huyo aliyekuwa mchumba kisa niligundua anamahusiano, basi kipindi kikapita niko single.

Siku moja nikiwa ofisini nikaambiwa ninamgeni kutoka nakutana na sura minauoikumbuka kwa mbali akajitambulisha nikamkumbuka. Akanieleza jinsi gani amekuwa akifuatilia maisha yangu na alikuja kujua nimeachana na huyo mchumba. Ndipo akafanya bidii ya kunitafuta akalalamika jinsi gani nimekuwa nikimpuuza akaniambia yuko serious.

Nani angeshindwa kumwamini mtu aliyesubiri miaka yote hiyo? Nilimwomba anipe muda nitafakari baadae nilimkubalia tulianza mapenzi na alinionyesha upendo wa hali ya juu nikajikuta nampenda sana! Labda ndio kosa nililofanya maana baadae ikawa mimi ndio nahangaika kumtafuta mpaka leo iko hivyo.
 
Usimtishe bhana mbona Kyazanga ameoa? Umewahi kuiona Video clip ya Kyazanga? Mimi natumia smartphone haiload mzigo, mwenye nayo kwa kutumia Pc alete hewani mzigo.

Tafadhali ningependa kuiona hiyo clip
 
Wanaume hawa wabayaaaa.Yani mtoto mrembo hivyo unatendwaaaa!!Pole sana anza kupenda kidogoooo
 
Nipo kwenye 30's

30's alafu bado mshipa wa kupenda unao mama? aisee pole sana. last person to be loved by me ndo alifunga dimba. am 20's ila mapenzi yashanikinaisha. nimejifunza kupenda hela zaidi na zaidi na kuwachukia jinsia ya kiume.

Usiwe serious sana kwny mahusiano kamama. hawa jamaa hawana guarantee.. karibu stress free zone.. single and super happy
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom