- Thread starter
- #161
Asante nashukuru kwa ushauriMy dear Nominomi, With all due respect naomba nikushauri. Kwanza wewe una tabia ambayo sio nzuri ya kua na wanaume tofautitofauti na hio inasababisha ufahamike kama malaya katika jamii inayokuzunguka, kwa vile maji yameshamwajika huyo anaekuchanganya kwa sasa mpotezee completely na uombe Mungu ili akupe Mume bore na sio hao michepuko unaowapata siku zote.
Mibas