Nifanyaje ili nisipende sana, naomba ushauri

Kwa kweli ladies mna akili fupi sio wote ila endeleeni kuwa chombo cha starehe wacha sisi men tujenge ulimwengu ..wadada ovyo kweli ungekuwa makini na bize usinge jizamisha kipuuzi

kwenye halafu hushtuki umri umesogea sana au unajiona bado 18 yrs ngoja ufike 40 uanze kuomba mungu upate mume hata ambaye tayari ana familia jiongezeeeeee.

Kifurushi umekuwa mkaliii. Hii hali inawakuta wote wanaume na wanawake, sema wanawake wanaongea zaidi. Unataka kusema hakuna wanaume wanaotendwa? Wanateswa, wanatumika, wakija kushtuka wako 40 something huko. Wanalazimika kuoa wanawake wadogo ili wapate watoto. Kizaa zaa chake wanakijua wenyewe. Wengine wanaamua basi, hawaoi, wanatafuta wanawake waliokumbwa na masahibu kama yao wanazaa tu. Ukiwauliza vipi mbona mko alosto wakati mlikuwa na nafasi nzuri tu? wanaanza 'si yule mwanamke......." kama alivyofanya Adam.
 
30's alafu bado mshipa wa kupenda unao mama? aisee pole sana. last person to be loved by me ndo alifunga dimba. am 20's ila mapenzi yashanikinaisha. nimejifunza kupenda hela zaidi na zaidi na kuwachukia jinsia ya kiume.

Usiwe serious sana kwny mahusiano kamama. hawa jamaa hawana guarantee.. karibu stress free zone.. single and super happy

Duh sasa kwa hiyo miaka 20 yako mapenzi ulianza ukiwa naumri gani?
 
Kifurushi umekuwa mkaliii. Hii hali inawakuta wote wanaume na wanawake, sema wanawake wanaongea zaidi. Unataka kusema hakuna wanaume wanaotendwa? Wanateswa, wanatumika, wakija kushtuka wako 40 something huko. Wanalazimika kuoa wanawake wadogo ili wapate watoto. Kizaa zaa chake wanakijua wenyewe. Wengine wanaamua basi, hawaoi, wanatafuta wanawake waliokumbwa na masahibu kama yao wanazaa tu. Ukiwauliza vipi mbona mko alosto wakati mlikuwa na nafasi nzuri tu? wanaanza 'si yule mwanamke......." kama alivyofanya Adam.

My dear msamehe bure tu mwenyeshibe hamjui mwenye njaa. Mtu kama hajafikwa huwa ni rahisi kujaji mwingine na kumuona kama hazimtoshi, but trust me wako wengi tu waume kwa wake wenye hali niliyonayo na wako kimya, either Hawana ujasiri wa kuyasema au hawajatambua bado wanachokikosa. Bora hata mimi niliyethubutu kuja kutoa sema hapa ili nipate msaada na ni kweli kuna vitu najifunza
 
30's alafu bado mshipa wa kupenda unao mama? aisee pole sana. last person to be loved by me ndo alifunga dimba. am 20's ila mapenzi yashanikinaisha. nimejifunza kupenda hela zaidi na zaidi na kuwachukia jinsia ya kiume.

Usiwe serious sana kwny mahusiano kamama. hawa jamaa hawana guarantee.. karibu stress free zone.. single and super happy

20s, umeamua kupenda zaidi fedha,...single and super happy? natamani kukuamini lakini nimeshindwa. Acha kukata tamaa bhana. kama mwenzio yuko 30s na bado ana mshipa wa kupenda mpe hongera na wewe "uchukue jani". Kwani kupenda ni nyoynyo useme zina mwisho wa kukua?
 
Kifurushi umekuwa mkaliii. Hii hali inawakuta wote wanaume na wanawake, sema wanawake wanaongea zaidi. Unataka kusema hakuna wanaume wanaotendwa? Wanateswa, wanatumika, wakija kushtuka wako 40 something huko. Wanalazimika kuoa wanawake wadogo ili wapate watoto. Kizaa zaa chake wanakijua wenyewe. Wengine wanaamua basi, hawaoi, wanatafuta wanawake waliokumbwa na masahibu kama yao wanazaa tu. Ukiwauliza vipi mbona mko alosto wakati mlikuwa na nafasi nzuri tu? wanaanza 'si yule mwanamke......." kama alivyofanya Adam.
sawa mkuu nakuelewa sana ila hali hii kwa sisi men haina effect kiivo kwa sababu wanaume kwanza ni wachache ktk ivo ladies lazima wangangane walau kila mtu apate ndoa bila kuolewa wanawake wanajiona hawajakamilika na ktk kusaka huyo mr kuna limit ya age sasa kama una 30 bado huja select the right what you except to get??? Yani uko above 30 then uko full selected nataka wa ivi au ivi hio inafanywa above 25 but apo ulipo ataetangaza nia na ana ramani wastani agree life lisonge sasa jicheleweshe ufike mbali useme una gundu... im proud to be man yani ata niko 50 napata mtoto mbichiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Kama ni she je humtegemei unaempenda maana na hilo ni tatizo
 
kwa hiyo kama by 30 huyo right hujampata inabidi uchukue yeyote atakayekuja ili "ukamilike" kwa kuolewa ee? ok. Na kama wanaume ni wachache basi kuna wanawake watakaobaki bila kuolewa. Hivyo ndoa haitakuwa ni lazima. Kwa hiyo kuwa single si laana. Mi naamini katika kila umri kuna fursa zake. Kuna uwezekano wa kukutana na mwenzi wako hata at 60. Watu wanakufa, wanazaliwa, wanaachana, wanacheleweshwa na majukumu, na kutendwa kila siku, wake kwa waume. Wakati kuna mwanamke at 30s hapa analilia mwenza mwenye upendo kuna mwanaume wa umri huu au zaidi naye analia kilio hicho hicho. Kwa hiyo nafasi zipo. Halafu kaulize ni watoto wabichi wangapi wanapenda kuwa na wapenzi/waume wababu. Au waulize wanaume wenzio walioko single at 50 ni kwa nini wako hivyo. Hawawaoni hao mabinti? hasara pekee nayoiona kwa mwanamke kuchelewa kuolewa ni kwenye watoto tu. Akishavuka 40 mambo yanakuwa magumu kidogo, lakini hii haiwezi kumfanya mtu aishi matesoni. Maisha ni zaidi ya hivi vitu tunavyovipa umuhimu kuliko inavyotakiwa.
 
aya mkuu nimekupata
 
Jitahidi uwe na mchepuko..., siyo lazima uwe unampa kila kitu..., unaweza kuwa na wanaume kama wawil tofauti na wa kwako unaowasiliana nao tu, kutumiana picha, wanaokusifusifu kila mara, HIVYO utajiona kama vile upo juu, unapendwa na wengi hata kama ukizinguliwa backup zipo 'SHOULDERS TO CRY'....., siku zinaenda

Ila angalia sana usije ukagusa pengine ukanasa.., make sure unakuwa mjanja sana
 
20s, umeamua kupenda zaidi fedha,...single and super happy? natamani kukuamini lakini nimeshindwa. Acha kukata tamaa bhana. kama mwenzio yuko 30s na bado ana mshipa wa kupenda mpe hongera na wewe "uchukue jani". Kwani kupenda ni nyoynyo useme zina mwisho wa kukua?

hata ukiniamini haina msaada kwangu.. am living my life yaani to the fullest
 
Nipo kwenye 30's.

Kwa umri huo inaonekana kama umekata tamaa sababu ya umri wako, sasa mwanaume anapokuwa na wewe unafanya mambo fulani ili usije kuachwa huku ukihofia tabu ya kupata mwingine kwa sababu si rahisi kwa umri huo, hii inampa kiburi mwanaume kukufanyia lolote kwa kuwa anajua huna pa kwenda, hali hii ipo kwa jinsia zote na ni kama kanuni kwamba ukipenda hupendwi na usipopenda unapendwa, kwa hiyo fuata ushauri wa MankaM wa kupenda kidogo na uwe kama asiyependa ila usiwe na dharau au kuwa pretender.
 
Last edited by a moderator:
What touch screens and keyboards can do is beyond my understanding....!
....Experts in the ''field of Love and Relationships''
 
Nominomi..uwii kuna wengi wako ivo ivo...wewe ndo wa kuhangaika kila siku...wangu alujuwaga ivo ivo...nikaamia nikae pembeni as longer sikuwa namtegemea kwa chochote wala sh.kumi yake hakuwahi kunipaga for allmost 3yrz.pole mamaa
 
Kuachwa na wapenzi mara kwa mara kumenipa ujasiri sana.Nimegundua katika mahusiano ya uchumba hakuna mapenzi ya kweli ni kupotezeana muda tu.

Upendo ninao ila kwa sasa nauhifadi kwa mke wangu wa ndoa nitakaekuja kumuoa.Nawashukuru sana wanawake walioniacha kwani wamenifundisha kwamba wanawake ni watamu na vile vile ni wachungu.

Ha ha ha ha teh teh yani kama unalia vile
 
Kama wanne hivi

My dear Nominomi, With all due respect naomba nikushauri. Kwanza wewe una tabia ambayo sio nzuri ya kua na wanaume tofautitofauti na hio inasababisha ufahamike kama malaya katika jamii inayokuzunguka, kwa vile maji yameshamwajika huyo anaekuchanganya kwa sasa mpotezee completely na uombe Mungu ili akupe Mume bore na sio hao michepuko unaowapata siku zote.

Mibas
 
Mm sina undugu na huyo anaekuchanganya, nahitaji ke wa tabia kama zako! (Crazy over me) Nitakuabudu! U'll b treated like a GODDES!
hawa ndo hao hao!
 
Nenda kwa daktari wakaondoe huo moyo wa nyama wakuekee puto kwa ajili ya kusukuma damu tu...........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom