Sega la asali
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 1,233
- 2,801
Sio sawa kuwaonea, lkn nimezoea kuona Matola mwenye maneno makali kama moto, kumbe kwa wanawake mpoleeee😂Wewe kwako unaona ni Sawa?
Sio sawa kuwaonea, lkn nimezoea kuona Matola mwenye maneno makali kama moto, kumbe kwa wanawake mpoleeee😂Wewe kwako unaona ni Sawa?
Nimekufeel we mdadaMapenzi yaacheni tu Kama yalivyo....who knows huyo asiye muislam anaweza badili dini Kwa sababu yake?
Halafu mtume alisema akija mtu mkamridhia tabia yake muozesheni, hakusema dini yake....muhimu tabia, anaweza kuwa MUISLAMU akawa na tabia mbovu, na aside MUISLAMU akawa na tabia njema.
Mapenzi yaacheni tu Kama yalivyo....who knows huyo asiye muislam anaweza badili dini Kwa sababu yake?
Halafu mtume alisema akija mtu mkamridhia tabia yake muozesheni, hakusema dini yake....muhimu tabia, anaweza kuwa MUISLAMU akawa na tabia mbovu, na aside MUISLAMU akawa na tabia njema.
Kma ww ni muislam, nimekuchukia kutaka kuolewa na mtu asiyekuwa muislam. Kwani waislam waliisha?. Tujaribu kujielewa, japo sikufahamu ila allah haruhusu hiyo kitu hata kidogo.
Kma ww ni muislam, nimekuchukia kutaka kuolewa na mtu asiyekuwa muislam. Kwani waislam waliisha?. Tujaribu kujielewa, japo sikufahamu ila allah haruhusu hiyo kitu hata kidogo.
Bila shaka utapata mwingine tena mwenye sifa hizi.Kisha tukahamia PM. Huko PM kilichoendelea sitaki kuwasimulia… ila kwa ufupi mwana wane sikutaka ujinga, nikajitutumua, nikafanya yangu… and the rest is history.!
Tangu hapo… we have been crazily in love together!
Najivunia kumpata mwanamke wa dizaini yake, ana heshima, mnyenyekevu, big IQ, beautiful, anajua kukalangiza jikoni na mwenye kujua haswa mapenzi ya dhati… bila kusahau usiku tukizima taa huwa najihisi tumeenda kutalii sayari ya Mars!! Mashallaaahh…
Haikuwa fake wote wawili Mimi niliwahi kukutana nao na tulikula chakula pamojaMbona wengine tulistuka zamani ni ID mbili klakini mtu mmoja tu.
Ni vyema mapenzi feki umeuwa ki feki feki.
Bila shaka utapata mwingine tena mwenye sifa hizi.
Ila kukaa miaka 7 bila kuhalalisha nalo ni tatizo..
Nina imani huyu wa sasa, ana sifa hizi au zaidi ya hizi.
Kila la kheri
Kama kweli umenifili njoo unipe asali🤣Nimekufeel we mdada
Ndio muslimah.Wewe ni Muislamu?
Mbona huyo muislam hakumuoa all those years? Kasome tena Ile hadith....kwenye vigezo vya ndoa mwanaume aangaliwe tabia yake, sio kisa dini yake muislamu au anaswali sana....Kwa mwanamke ndo aangaliwe dini Kwa sababu mwanamke hana tabia, tabia ataikuta Kwa mumewe.Mamy K nakuuliza kwa mara nyingine, wewe ni Muislamu? Naomba uje na dalili inayoruhusu bint wa kiislamu kuolewa na asie Muislamu!