Nifah
Platinum Member
- Feb 12, 2014
- 34,417
- 82,371
- Thread starter
- #1,061
Kifo hicho vipi? Hizi ni habari zilizopendwa, za kale 🤣🤣🤣Hii taarifa najua ni ya kuhuzunisha ila haya mafataki ya mwaka mpya yanafanya nashindwa kucatch feelings😂😂😂😂
Ila mods imagine mtu anatoa taarifa ya kifo halafu ndo haya mafataki yamekakamaaa