Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,304
- 183,201
Aiseeehhh !Jicho ndio km jicho
Hii akili aliyoitumia Nifa hii🙌🙌🙌
Aiseeehhh !Jicho ndio km jicho
Yule laana ya cr 7 ita mtesa😂😂🤒Lakini tumpe muda...mwenzake 10hag kule ndiyo yupo taabani hata haijulikani mchezo wanaocheza 😜
Naona naona😂
Ngoja nivae niende za gu church mie
Namsikia baba angu mastai Kwa mbali
Tutaniane basiHivi kumbe yalikuwa mahusiano kweli!!
Kipindi hiko nilidhani ni utani wa hapa na pale kama ilivyo kwa couple nyingi humu [emoji2]
Wozaaa ,,njoo njoo mama mtumishi tumuweke kwenye maombi ya mnyororo,tumteke kabisa 🤣🤣🤣Ni hatariiii
Nitakutajia pm🏃🤣
Asante mwaya.Ndio maana sipendi mapenzi nachukia sana ni mambo magumu ya ya kufedhehesha kuwekeza fyraha kwa mtu hapana nimeachana na mapenzi nikiwa na 19yrs na hata milele Mungu ajalie hili nidumu kwa muda mrefu
Nifah achana nae sisi tutakupa kampani jukwaani
Kuna wakati Upare unasaidia....siku Mr amerudi mikono mitupu zinatumika zile ulizokuwa unazi-serve🤣🤣🤣🤣Babu upare ni lazima Kwa mustakabali wa Taifa....nimekutumia tayari PM babu
Sikumuonja ndo kosa nilifanya🏃Umenyanyua mikono juu? Handsome wanasemekana eti, eti wao ni malaya sana...halafu hawapendi kuzama..hahaha joking!
Dr anaogopa kufanya assumptions Makiwendo ...haswa kwenye hizi mambo ambazo wengine huwa tunafanywa tujione kama watoto yatima!😏😁😁Dr. Bhana[emoji28][emoji28][emoji28]
Wewe una mrefu sana humu...
Kila anachozungumziaga hujawahi kukielewa tu.. na mbona kipo wazi sana[emoji1]
Mbona mimi sioni hayo mekapundo maana umepakwa makeup kwenye avatar yako
🤣🤣🏃🏃🏃🔥🔥🔥🔥Wozaaa ,,njoo njoo mama mtumishi tumuweke kwenye maombi ya mnyororo,tumteke kabisa 🤣🤣🤣
Ila Ligi inazidi kuwa ngumuYule laana ya cr 7 ita mtesa😂😂🤒
Ushapata mteja usiku huu huu Babu?au unahamisha za Tanzania Commercial bank🤣🤣Kuna wakati Upare unasaidia....siku Mr amerudi mikono mitupu zinatumika zile ulizokuwa unazi-serve
Haya soon utaona nimeku-Mpesa 🤗
Siko kwenye hiyo nafasi tena, yupo anayenidekeza sio kuninyoosha.Unajipa moyo hapa halafu huko unalia usiku kucha. Hebu angalia postings zangu zote ukimaliza uje tuyajenge.
Masharti yangu: hakuna umbea, hakuna publicity, hakuna kujiamulia mambo yako. Nataka nikunyooshe😂
Aaaah kama ni handsome na kuna namna kasalimiana na wadau, basi huenda ana msururu wake, haya mambo si tushasema ni ya kawaida tu kwa sasa, muhimu ni usiri...Sikumuonja ndo kosa nilifanya🏃
Kwahiyo sijui km kweli hawapigi deki😅🙄
Umalaya,wengi wao yes!
Halafu nilihisi atakua kagnga gonga humu kimya kimya
Hakuna demu anachomoa pale,Tena zamani walikuwa na party za kuonana ,mmmh🙌🤣🙌😅🙄