HAya WiFi ako Nuzulati 💓💓 aki ridhia, UTA weka namba niku tumie uka nunue😀😀🤒We mwaka mpya wote huu nani anakula vitumbua?nakunywa zangu mojito hapa na sausage za kuchoma niache😜😜
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wacha dawa ituingie mama
Ukitoka huku nchale, ukiamia kule nchale
Hakuna kupumzika[emoji23]
Na iwe hivyo.Moyoni mwangu kuna mtu tayari, jamaa yetu wa 40 nilimpa ushauri jana na Mungu atampa hitaji lake.
Amen
Mmmh mimi mdada akiongea hv naogopa sana aisee usikute yupo na kijamaa sehemu wamejichimbia[emoji23][emoji23][emoji23] siku hizi nalala mapema sana huenda 2024 inikute kitandani
Sawa mkuu ni sawa tu na muungano wetu wa TZ na ZNZ mpk leo bado tuna changamotoYes…
Dr Restart kakupa like, mzee mbeya huyoAngekuwa bingwa kichwa yake ingekuwa inachaji 🚮
History sio vishazi wala kukariri formula za physics
Kila siku maushuzi tu yasiokwisha kunuka inahuu?
Ifike muda akafie mbele na penzi lake. Smart this Smart that.. kwa kipi?
Kitu gani asichoridhika nacho akaendelea mbele na maisha yake? Hakazwi?? Ama alisikia Smart nje kahonga nn ndo bado anakisumbukia? Uchungu gani usiomuisha siku zote hizo toka amepumzishwa mpaka sahiv anapashwa?
Toka mwaka jana mambo ni kurise na kufall 😂😂 jamani!! Em basi atumie free time zake kujifunza namna ya kucreate content mpya, mwakani hatutaki ma ujinga yake ya kufosi kufit kila topic.
Woiyee
Happy new year pals.
Sorryn bana. Dah 🤣😂😂
😀😀😀Hatari sana hiiKuna umbea unataka kunipa? Hebu nipe ili nione kama nitapenda, sina uzoefu kwenye hiyo sekta.
🤣🤣🤣🤣pole sanaMmmh mimi mdada akiongea hv naogopa sana aisee usikute yupo na kijamaa sehemu wamejichimbia
Sent using Jamii Forums mobile app
Very bright of youView attachment 2858656
Mapenzi kama yalivyo mambo mengine yana mwanzo na mwisho pia. Ni wachache waliobarikiwa na wenye bahati katika mapenzi huishia pamoja kwa kudumu milele hadi kifo kuwatenganisha, Huku wengi wakiishia njiani na hakuna ubaya katika hilo. Ndio maisha na mapenzi…. Ni safari isiyotabirika.
Miaka kadhaa iliyopita nilipata kuingia katika mapenzi yaliyofahamika na wengi hapa jamvini.
Hivyo basi, kwa kuwa mapenzi yale hayapo tena, imeniwia vyema kurudi tena hapa kuweka hilo wazi.
Tulikuwa na malengo ya kufika mbali, lakini kutokana na kutofautiana katika mambo mengi tulishindwa hata kufikia hatua za kuyarasimisha mahusiano yetu kuwa halali.
Tulitengana rasmi mwezi August mwaka huu 2023, na kutokana na hilo pengine huenda yakawa ndio mahusiano yangu ya mwisho kuyaweka wazi.
Mapenzi ya wazi hapa yamenipa wakati mgumu kujibu mamia ya wanachama waliokuwa wakihoji endapo bado tupo pamoja, na ndio sababu kuu naweka uzi huu kuwafahamisha wote kwa pamoja, hatupo tena katika mahusiano.
Tumeachana kwa amani, na kwa dhati kabisa namtakia kheri katika maisha mapya bila ya uwepo wangu kwa aliyekuwa mwenzangu.
Nifah
😂😂😂Angekuwa bingwa kichwa yake ingekuwa inachaji 🚮
History sio vishazi wala kukariri formula za physics
Kila siku maushuzi tu yasiokwisha kunuka inahuu?
Ifike muda akafie mbele na penzi lake. Smart this Smart that.. kwa kipi?
Kitu gani asichoridhika nacho akaendelea mbele na maisha yake? Hakazwi?? Ama alisikia Smart nje kahonga nn ndo bado anakisumbukia? Uchungu gani usiomuisha siku zote hizo toka amepumzishwa mpaka sahiv anapashwa?
Toka mwaka jana mambo ni kurise na kufall 😂😂 jamani!! Em basi atumie free time zake kujifunza namna ya kucreate content mpya, mwakani hatutaki ma ujinga yake ya kufosi kufit kila topic.
Woiyee
Happy new year pals.
Sorryn bana. Dah 🤣😂😂
Halafu ndio huwa anaita mods uzi ufungwe😂😂😂😂😂😂Dr Restart kakupa like, mzee mbeya huyo
the bold demu wa mjini asingemuweza,wasimbe mambo mengi sana.View attachment 2858656
Mapenzi kama yalivyo mambo mengine yana mwanzo na mwisho pia. Ni wachache waliobarikiwa na wenye bahati katika mapenzi huishia pamoja kwa kudumu milele hadi kifo kuwatenganisha, Huku wengi wakiishia njiani na hakuna ubaya katika hilo. Ndio maisha na mapenzi…. Ni safari isiyotabirika.
Miaka kadhaa iliyopita nilipata kuingia katika mapenzi yaliyofahamika na wengi hapa jamvini.
Hivyo basi, kwa kuwa mapenzi yale hayapo tena, imeniwia vyema kurudi tena hapa kuweka hilo wazi.
Tulikuwa na malengo ya kufika mbali, lakini kutokana na kutofautiana katika mambo mengi tulishindwa hata kufikia hatua za kuyarasimisha mahusiano yetu kuwa halali.
Tulitengana rasmi mwezi August mwaka huu 2023, na kutokana na hilo pengine huenda yakawa ndio mahusiano yangu ya mwisho kuyaweka wazi.
Mapenzi ya wazi hapa yamenipa wakati mgumu kujibu mamia ya wanachama waliokuwa wakihoji endapo bado tupo pamoja, na ndio sababu kuu naweka uzi huu kuwafahamisha wote kwa pamoja, hatupo tena katika mahusiano.
Tumeachana kwa amani, na kwa dhati kabisa namtakia kheri katika maisha mapya bila ya uwepo wangu kwa aliyekuwa mwenzangu.
Nifah
Kwahiyo unanishaurije? 🤣🤣🤣Mwisho wa kukaa na mtu kwenye mahusiano ni miaka miwili
Ikizidi hiyo miaka bila kunioa navunja hayo mahusiano.
Uangalie. Palipo na issue ya mapenzi au Hamas hakosiWe nae umezidi ujuaji.