Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,987
- 24,334
Hahaha!. Tukutane mwakani, tumalize hii kazi.😂😂😂namkunja kwenye kwapa
Makwezi mawili matatu, nkivuta na hivyo vidread kwisha habari😆
Wanaume wa daslama na kulegea🤞
Hahaha!. Tukutane mwakani, tumalize hii kazi.😂😂😂namkunja kwenye kwapa
Makwezi mawili matatu, nkivuta na hivyo vidread kwisha habari😆
Wanaume wa daslama na kulegea🤞
Oya penseli niaje mwanangu 😀🤒Mungu anajua kujibu ninacho muomba dogo😁😁😁😁💪💪💪💪💪💪🤮soon utaniita shemeji Kwa dadako niffah
Thank you Jay OneSbb mlikuwa katika mapenzi tu, na hamjafikia hatua ya ndoa, sio mbaya, mme enjoy and things didn’t go to your expectations, let it go…!!
Keep moving, opportunity dances with those already on the dance floor..!! So never stop looking for your next soulmate..!!! Life is full of sweet moments…!! Kila la kheri..!!
DEPOO humtaki tena?😆Mungu anajua kujibu ninacho muomba dogo😁😁😁😁💪💪💪💪💪💪🤮soon utaniita shemeji Kwa dadako niffah
Nmechekaaaaaa😂😂😂namkunja kwenye kwapa
Makwezi mawili matatu, nkivuta na hivyo vidread kwisha habari😆
Wanaume wa daslama na kulegea🤞
Aisee😀😂😂, mshamba kweli umbea kazi😀😂😂penseli4 njoo usafishe macho.
Ha ha ha....acha hizo mkuuCha msingi ni mkuu The Bold alikula mzigo. End of the Story
Sasa kwenye uzi huu smart kaingiaje si anataka kuleta mada juu ya mada ili uzi wa mwenzie upewe ban[emoji2955]
I have reacted with a laughing emoji. Sijalike..Dr Restart kakupa like, mzee mbeya huyo
Mkuu, nashukuru sana 🙏🏽Pole sana na hongera kwa kuweka wazi kuanzia mwanzo na mwisho wake umeuweka wazi pia.
Haya maisha yana vitu vingi sana kuna wakati tunaepushwa jambo fulani bila kujua pengine mahusiano yenu yangedumu mmoja wenu angekata moto ili lisitokee hilo mahusiano inabidi yajifie so wakati mwingine hatupaswi kulaumiana ni kuiacha nature iamue. Ombi moja kwako nakuomba basi hata kama mmeachana mwambie arudishe majeshi jf bado tunawajitaji wote.
Ila we dogo😀😂😂, fresh ishi na tu😀😂kamakawa sasahivi unite shemeji kwadadako nifah
Yaani kisa umeumizwa na mmoja ndio unachukia mapenzi?Mapenzi ni kitu kizuri ila sio Kila penzi lazima lilete matoleo chanya,mengine ni njia tu,mengine ni lesson ila Kuna muda utampata mtakayefanana,,,HUNA sababu ya kuchukia mapenzi.....ona mfano wa Nifah Yuko very strong,and that is how it should beNdio maana sipendi mapenzi nachukia sana ni mambo magumu ya ya kufedhehesha kuwekeza fyraha kwa mtu hapana nimeachana na mapenzi nikiwa na 19yrs na hata milele Mungu ajalie hili nidumu kwa muda mrefu
Nifah achana nae sisi tutakupa kampani jukwaani
Mtu unapata faida gani kutaka kuonekana uko juuuuu, ukimkazia kidogo unaombwa hadi luku ya elf 5.Afu Tunapenda sie ndo tusikilizwe sasa habari zangu ziwe zakweli zako za uongo na wakati watu wanatufahamu kuliko hata tunavojifahamu humu
Nifah kwahii akili ameupiga mwingi!
Empire isiyokuwa na Kingdom 🤣Eti ku rise na kufall😀😀😂, dah ko hiyo ni empire ipi😀😂🤒
Ndo uanaume huoo!
Unataka Uongee uongo nikae kimya thubutuuuu!
Heko kwa Nifah Nimeipenda hii akili