Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,685
Umewahi kukulwa ipi?Hiyo kukulwa kama msosi kwa kweli sijawahi!!!
Bila Samahani
Umewahi kukulwa ipi?Hiyo kukulwa kama msosi kwa kweli sijawahi!!!
Bila Samahani
MwehKuku maziwa
Ndio mkuuHii imenikumbusha mbali enzi hizo usa river
Hahaha, hatari mkuuWengine wanasema maisha magumu, wanasoma namba, hapo sipati picha enzi za JK hiyo meza ilikuwaje kama kuvisoma namba ndiko kulivyo[emoji50]
Tunajua hata mwisho wa barabara tunakomea huko huko