Kwa nini?Silagi kwa watu mieee
Mnaenda wapiZimefika...umpeleke wakati ndiyo anajiandaa tusepe
Tunajua hata mwisho wa barabara tunakomea huko hukoMnaenda wapi
Unapendaga nnigiMi hata sipendagi vitu Kama hivi[emoji21][emoji21][emoji21][emoji21]
Utakuwa na mimba basKatika vyakula ambavyo sipendi ndizi ipo kwenye tatu bora
Vile vya kwenye sinia[emoji4][emoji4]Unapendaga nnigi
[emoji28][emoji28] baraka atiiUtakuwa na mimba bas
Kuna Mkulu alisema ukila vya watu lazima uliwe!!!Kwa nini?
Haha sasa ww hujawahi kuliwa kwani? Samahani lakini dada yangu many lovKuna Mkulu alisema ukila vya watu lazima uliwe!!!
Mdudu?Vile vya kwenye sinia[emoji4][emoji4]
Hiyo kukulwa kama msosi kwa kweli sijawahi!!!Haha sasa ww hujawahi kuliwa kwani? Samahani lakini dada yangu many lov
Hahaha ukipika usisahau kutualika mkuuUwiiiiii kwakweli kesho itabidi nipike mchemsho wa ndizi na minyama kibaooo.
Sio kwa kunitamanisha huku.
Ila wewe jamaa sikuwezi kwa mapochopocho [emoji4] [emoji39] [emoji119]
Sakina nilienda milestone pale mkuuNakuja basi nipo hapa sakina
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kumbe hapo umevutiwa na ndizi au kitimoto?
Hakina muda,maalum mkuuHuku koromije tunauliza hicho chakula cha mda upi??
Jaman toka na mm mkuuChaaa kitimoto sikuona duuuh ndo kimezidi kunitoa mate
Tutoke basi nawe
Ndio mkuu, iyamkini wapenda sana kula kwa wanyama...Silagi kwa watu mieee