Nice weekend....!!!

Nice weekend....!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
IMG_20170429_120945.jpg

Kenny Garden Atown
 
Hapo ni mrina A Town kwa Rais Lema
Truper hilo

Swissme
 
Chaaa kitimoto sikuona duuuh ndo kimezidi kunitoa mate

Tutoke basi nawe
Afu kuna sehem kino jirani nilipo wanauza kitimoto aisee. Nimekaa miaka kibao ila sikujua ni ndani ya hoteli kuzurii.
Hapo lazima wataanza kuniona mara kwa mara.

Ukija kutoka AR nitafute
 
Afu kuna sehem kino jirani nilipo wanauza kitimoto aisee. Nimekaa miaka kibao ila sikujua ni ndani ya hoteli kuzurii.
Hapo lazima wataanza kuniona mara kwa mara.

Ukija kutoka AR nitafute
Haya ntakutafuta
 
Kweli tena sikutanii
Kunitafuta virtual tu umegoma. Japo hata salam nimekuambia uniandikie kimyaa.
Mm kina mod wameni ban siwez ku pm mtu hadi mtu anianxe ndio naweza ku reply.
Isingekuwa hivyo ungenikoma sana ujue
 
Kunitafuta virtual tu umegoma. Japo hata salam nimekuambia uniandikie kimyaa.
Mm kina mod wameni ban siwez ku pm mtu hadi mtu anianxe ndio naweza ku reply.
Isingekuwa hivyo ungenikoma sana ujue
Hahaha siamini hili...basi mpe no daby anitumie kwa pm yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom