Niagize gari Afrika Kusini Vs Japan?

Niagize gari Afrika Kusini Vs Japan?

Ww sio muuza magari bhn…acha janja janja..

Wewe n dereva tuu, kaz yako n kuagizwa na boss kumfwatia gari mteja, clearing, payment, inspection, agency procedures zote ufanyi wewe…

Ww kazi yako n kukaa kwny usukani tuu, na mwisho wa siku kulamba posho yako y safari…

Mfanya biashara Hana kona kona hivyo km game la nokia
Mkuu mbona povu kubwa kuuza gari unaona ni bonge la ishu mpaka uandike maandishi mengi sana huku gari ni kama kununua simu kariakoo...
 
Back
Top Bottom