Niagize gari Afrika Kusini Vs Japan?

Niagize gari Afrika Kusini Vs Japan?

View attachment 3087497

Isanga family
Nikusumbue kaka, nianze jipanga nasikia sikia harufu ya pesa.. nimpita TRA kuangalia ushuru.. ni kama hivyo chini kwa huo mwaka 2015 VW Scirocco 2.0 TSI.. bei zake hukl zachezea ngapi kaka
Mkuu SA gari za VW zipo kwenye soko sana na bei zake zipo juu hiyo ndogo ya kuanzia 2014 na 2015 bei zake ni kuanzia rand laki mbili kuendelea kucheki hela ya kitanzania ingia goggle wanakupa Tsh na pia ukitaka kujua bei za magari huku ingia kwenye site za huku andika jina la hilo gari harafu .co.za
Ila usifanye nao biashara mtandaoni hao ni kujua bei tu hata Gumtree.co.za au we buys car.
 
Nimeangalia nimeona wastani wa bei
 
Sema kwa gari za huku angalia
Rav 4, Hyundai ix 35,Mazda CX-5,Jaguar face Pace haya magari ukipata moja wapo ni magari kweli ila hilo Jaguar ni Land Rover tafuta ya 2020 ina balaa fulani amazing niliiona daslm moja tu huko Mikocheni anaendesha mdada.
Jaguar ni gari ya maana, ila nahisi hela haitotosha labada mbeleni nije ku upgrade.. VW Scirocco ilinivutia muonekano wake na nguvu ambayo inayo n ule mwendo wake.. nilisha wai ku test kale ka 1.4 TSI kana baraa
 
Isanga family hebu kaka nikitaka Ford Ranger Wildtrak DCabin ya 2020..what could be the damage estimates? Ukiangalia za UK TRA watakudai kama 25M. Nikiangiza SA, what are the savings?
Kodi ni hiyo hiyo utoe SA,UK au Japan ila zitatofautiana kwa bei utakayonunua SA au UK sijajua UK utainunua kwa bei gani kwa hiyo sijuj uta save kiasi gani mkuu..ila UK kwa mwaka huo sijui kama unaweza kuigusa sijui..
 
I know..ni parefu. Ila siku zote maisha ni ubishi.
 
I know..ni parefu. Ila siku zote maisha ni ubishi.
OK nilimaanisha UK na Japan miaka ya karibuni bei zipo juu ila SA unapata tu kwa bei nzuri maana wao gari ikishakua used hawangaiki nayo kabisa..
 
Wazee wa kuuliza bei bado naleta gari Tanzania mnataka gari gani sasa hivi..hizi mashine zimeletwa Tanzania kasoro hiyo BMW X 1 ndio inakuja safari hii..
IMG-20250307-WA0050.jpeg
20250302_155331.jpg
IMG-20250216-WA0045.jpg
20250206_121818.jpg
20250203_130957.jpg
20250203_110506.jpg
20250124_123252.jpg
 
Sio kweli. Gari za South mileage zimesogea kutokana na ukubwa wa nchi Ile. Kupata gari chini ya mileage 100,000kms nadra sana.

Mwaka 2019 niliwahi kununua Toyota Hilux ilikua na mileage 540,000kms
🤣🤣🤣 na bado ukanunua?

Hiyo tz itakupa shida sn kuiuza cz tz n wazee wa low odometer hata km magari mbovu… wao wanataka odo iwe chini
 
Kumbe wanakuwa wameshaviandaa tayari?

Point yangu kama umenielewa ni kwamba nataka kwamba nimekwenda kuchukua gari sasa nataka nikikaribia Tanzania pale tunduma gari iwe na usajiri na nifunge kabisa plate namba ili hawa mbayuwayu wetu wasianze kutolea macho plates namba za taifa lingine na kupata sababu ya kusimamisha gari kila dakika maana katika kitu sipendi safarini especially safari ya mbali ni kusimamishwa hovyo humo barabarani na hawa jamaa wakati nimechoka nataka kuwahi home nikapumzike.
Unaongea sn bro… why usiende ofisi za TRA kuuliza
 
Mkuu unataka gari gani toka mmeanza kuuliza bei nimeenda SA karibu trip ya tatu ninyi mpo busy na bei na magari ya 2006 mimi sinunui hayo mkuu maana ni kuleta matatizo mtu anakuuliza BMW ya 2006 aisee hizo gari za zamani mimi sipo nazo kabisa ushauri naotoa ni mtu aseme nina budget kiasi hiki ntapata gari gani kwa SUV au Pick Up..na wanunuzi wa ukweli wapo humu hawaulizi sana na nimewaletea gari wengi tuu
Ww sio muuza magari bhn…acha janja janja..

Wewe n dereva tuu, kaz yako n kuagizwa na boss kumfwatia gari mteja, clearing, payment, inspection, agency procedures zote ufanyi wewe…

Ww kazi yako n kukaa kwny usukani tuu, na mwisho wa siku kulamba posho yako y safari…

Mfanya biashara Hana kona kona hivyo km game la nokia
 
Zipo chache na ni hybrid zinaanzia rand 150,000 kununua rate ipo Tsh 150 kwa rand moja ni kama Tsh 22.5m kununua tu bila kodi na usafiri mpaka Tunduma.
Mkuu mbona hii bei ni kubwa sana zaidi ya Japan? Nini kitanishawishi nichukue gari SA na sio JAPAN?
 
Mkuu mbona hii bei ni kubwa sana zaidi ya Japan? Nini kitanishawishi nichukue gari SA na sio JAPAN?
Mkuu gari ndogo nazonunua ni Bmw,Mercedes-Benz kubwa ni Scania, Fortuner,Hilux,Ford Ranger,Land Cruiser na zinazoshabihiana na hizi kwa sababu ya bei zake na zinakua za miaka ya karibuni...
 
Back
Top Bottom