Ni Zanzibar ipi wanaitaka?

Ni Zanzibar ipi wanaitaka?

Zanzibar iliyo huru na choyo na hasada za wale wasio na utaifa!!!

Zanzibar........... Date of birth= long time ago

Tanzania........... Date of birth= 1964.

You lost your Zanzibar throgh Sultan's Signatures to foreign powers because he was so weak he failed to fight the British and he alwaya needed protectorate. The Longtime ago Zanzibar is like Roman, Empire, Tumbuktu, Mesopotamia, etc which their existance is in archives, and classical museums, you will never reclaim it. Benito Mussorin tried to restore the Roman empire, he ended in the hands of shame. Tunawakia kila la heri na mbio zenu za kudai zanzibar
 
Kwani sisi tukitaka Tanganyika yetu, tutaka na burudi na rwanda zirudi Tanganyika. Zanzibar wanayotaka ni hiyo ya mapinduzi. Kabla ya mkoloni hatukuwa na nchi.Zanzibar ya awali ya sultani ni pemba unguja na comoro huko pamoja na shelisheli.

Huku kwingine walikuwa ktk transistion ya kuigawa, leo ukishinda vita sehemu inakuwa yako ukishindwa mnaingia ktk makubaliano, kama vile mombasa mreno alivyoshindwa, ikaja mjerumani akashindwa wakaimegua nchi ya ujerumani mashariki mwa afrika, wakaitoa burundi, na rwanda.

Huko commoro na shelisheli madagasca wafaransa wakamtoa nduki sultani, sasa sultani ili kumpozapoza wakamuongezea pwani ya afrika mashariki harafu baadae nayo wakamnyanganya.

Kwa hiyo, zanzibar wanayotaka ni ile iliyoungana na Tanganyika na si zaidi ya hapo.
 
Acha umalaya ninyi kwani lazima muolewena na Wakenya, kwani hamuwezi simama peke yenu?. Kama mtagusa hata hela ya chumvi kwa Mkikuyu na Mjaluo jaribuni. Tunawatakia kila na heri

Bwana mwenye jina kubwa, kwanini unakuwa mkali na wingi wa matusi wakati wa kutuma post zako? Mwanzoni nilikuona mtu msomi mstaarabu lakini kumbe nilijidanganya sana.

Na kwanini likitajwa jambo la Zanzibar unakuwa mkali hivi?

Kwetu sisi hatuoni tofauti baina ya mkoloni mweupe au mweusi.

Kumbe unadhani huu Muungano ambao wengi kumbe mnataka udumu na kujificha nao utadumu?

Mimi nakuomba uwe mstaarabu kidogo maana mimi najadili hoja na matusi sikuzoea.

Kuwa tolerant na mawazo ya wengine Mkuu tafadhali.
 
Wanaitaka nchi "yao" ya Zanzibar; Wanataka kurudia "utukufu wa Zanzibar" kwa kuwa hapa walipo sasa hawaoni manufaa "yoyote" kwa Zanzibar. Wanasema wanaitaka nchi yao waliyonyang'anywa na Wadanganyika (ati Watanganyika). Wanataka warudishiwe nchi yao waliyonyang'anywa na Nyerere na watu wa bara.

Ni Zanzibar ipi hiyo wanayoitaka?

  • Zanzibar ya historia ya kale (Zenj - nchi ya weusi?) ambayo ni zaidi ya visiwa vya Unguja na Pemba bali na mwambao wa Afrika ya Mashariki
  • Zanzibar ya Sultani(ambaye naye utawala wake ulizidi mipaka ya Unguja na Pemba)
  • Zanzibar ya Sultani chini ya Mwingereza
  • Zanzibar ya baada ya Uhuru na Sultani akiwa bado ni Mkuu wa Nchi na serikali ya Mseto
  • Zanzibar ya Mapinduzi kabla ya Muungano
  • Zanzibar "mpya" ambayo haijawahi kuwepo yaani ya baada ya muungano

Ni ipi hasa wanayoitaka? Ni ipi hasa Zanzibar "proper". Isije kuwa ni kama nchi ya ahadi ambayo iko katika fikra za watu tu lakini haijawahi kuwepo; yaani ile nchi imiminikayo maziwa na asali na kwamba watu wa bara na dunia nzima wanataka kuwanyang'anya Wazanzibari. Na labda hapa itabidi tulijibu swali pia kuwa Mzanzibari ni nani hasa?

Wewe acha kujifanya mtaalamu wa kubadisha mambo...Tanganyika na Zanzibar ziliungana .Siku na tarehe ya Muungano inajulikana. Kama Zanzibar ya Sultan, Cheif ,ya Kifalme wewe haikuhusu. Angaliya TANGANYIKA yako na maendeleo ya Tanganyika. Historia ya Zanzibar inajulikana. Zanzibar imekua nchi kabla ya Tanganyika. Wakati Zanzibar ipo kama nchi hapa (Tangayika ) ilikua ni pori tu.
Sema ulichokificha moyoni mwako usijifanye mwana falsafa mahiri,kumbe ndio wale wale maneno mengi mbele kiza. Kama kweli unauchungu na nchi hii kwanza angalia Mtwara, Lindi , Sumbawanga , Loliondo na sehemu nyengine. Musijipe madaraka ya kutaka kutawala watu wakati nyinyi wenyewe hamna mbele wala nyuma.

Yule Mungu wenu (Nyerere) aliwadanganya na kawambia kama Zanzibar ni sehemu ya Tanganyika kwahiyo hamuwezi kuiwachia. Kama kweli umesoma historia ya Afrika Mashariki basi majibu utayapata . Hapa humdanganyi mtu...sio watu wote akili zao zimefumba. Nenda ukawadanganye huko , sio hapa. Kama Nyerere ame ku-brain washed pole sana. Unachotakiwa kufanya ni kudai kuwepo kwa serikali ya Tanganyika na sio kuwalaumu watu wanao dai haki zao.
 
Mtu haombi chake na iko siku mtajikuta hamna Tanzania wala Tanganyika na jeuri yenu hio.

"Ule wakati wetu na Nyerere tlikuwa tunakubali lakini hawa vijana wa leo hwakubali, Bw. Sitta, ITS OVER".
- Hassan Nassor Moyo, Former Govt Minister and CCM Veteran

Kwa sasa hivi Tanzania tunayo, Tanganyika tunayo na Zanzibar tunayo wewe ni kusuka au kunyoa.
 
Bwana mwenye jina kubwa, kwanini unakuwa mkali na wingi wa matusi wakati wa kutuma post zako? Mwanzoni nilikuona mtu msomi mstaarabu lakini kumbe nilijidanganya sana.

Na kwanini likitajwa jambo la Zanzibar unakuwa mkali hivi?

Kwetu sisi hatuoni tofauti baina ya mkoloni mweupe au mweusi.

Haya mheshimiwa samahani nimeondoa ile thread yangu samahani kwa kukuudhi, ila kinachoudhi mpaka tunafikia hapo ni pale ambapo wazinzabar kama wewe wala hata siku moja hamzungumzi hata faida moja ya muungano. Muungano ni kama mzigo mzito kwa Zanzibar:alien: na kama bila muungano mungeishi kama mko peponi..Katika kipindi kama hiki ambacho inaonekana wazi hata watu wengi wa bara hawautaki muungano ni kipindi ambacho wastaarabu kama wewe, mungekuwa mtoe mapungufu gani yarekebishwe pande zote, na lazima kila mmoja awe tayari kupoteza mambo flani. Tatizo Wanzanzibar mko too opportunist katika hili. Mnataka mfaidi kila kitu kwenye muungano na wala hakuna hata mmoja anayeelezea kinagaubaga Mtanganyika wa kawaida anafaidika vipi na muungano ambacho Mzanzibar wa kawaida anakikosa. Mimi naona bora huu muungano ufe kwa sasa kwa kuwa sumu mlizopandikizwa na wana siasa wenu dawa yake ni ngumu sana kupatikana. Kwa sisi tulioishi visiwani na Tanganyika kwa muda tofauti sioni Tanganyika itadhurika kwa lipi kama muungano ukifa. Kitakachofuata labda ni kubadili jina na nchi tu. Sijui kwa upande wenu ila hali haiwezi kuwa nzuri kama mnavyotarajia. Na hiyo mipango ya kuweka Zanzibar bandari huru msiwe too optimistic kwa hilo, msitarajie baada ya kuvunjika muungano kama soko la Tanganyika mtalifaidi tena kama sasa. Kwa hili hata transist visa hatutatoa. Siwatishi lakini watu mkiachana kwa chuki ndio matokea yake. Kile kilichotokea North na South Korea ndio kinachonyemelea. Na sijui tukifungiana mipaka nani atafaidika
na nani atapata hasara. Story nyingi zilizojaa huku JF ni kuwa Zanzibar ilikuwa ni himaya kubwa, Zanzibar iliwahi toa misaada wala hata siku moja hamtambui kuwa kukuwa kwa Zanzibar kulidepend pia utawala wa Sultan ambao uliextend kutoka huko Kisimayu mpaka Mozambique, mpaka Unyamwezi, mpaka DRC huko akiwakilishwa na akina Tipputippu na hilo iliifanya Zanzibar ifaidi kwa biashara, pamoja na soko. Na hilo ndilo lilikuwa chimbuko la kukuwa kwa himaya ya Sultan na Zanzibar kwa ujumla. Kwa mazingira ya sasa wala si rahisi Zanzibar kutawala mpaka DRC, hata kisiwa cha Mafia tu itakuwa vigumu kukipata, na wala Zanzibar haitakuwa tena soko kuu la watumwa wala pembe za ndovu hayo Mazingira yamepitwa na wakati. msije mkalamba gharasa harafu mkaja tamani kulamba matapishi...Jiulizeni MBONA VISIWA VYA COMORO WAKO HURU LAKINI BADO HATA NYAMBA YA NG'OMBE TU WANAFUATA TANZANIA NA MOZAMBIQUE?. HIVI ZANZIBAR NINI MLICHONACHO KINACHOWATOFAUTISHA SANA VISIWA KAMA VYA COMORO?
 
=takashi;1876917]Kama Zanzibar ya Sultan, Cheif ,ya Kifalme wewe haikuhusu
.
Ndiyo maana ya mjadala, ukiongelea muungano Zanzibar inahusu, jibu hoja kama ilivyoletwa

Zanzibar imekua nchi kabla ya Tanganyika. Wakati Zanzibar ipo kama nchi hapa (Tangayika ) ilikua ni pori tu.
Umesahau kuwa dunia yote ilikuwa ni pori na neno nchi ni la wanadam, na nchi zilitokana na mipaka iliyowekwa na si Wazanzibar bali wakoloni.

Sema ulichokificha moyoni mwako usijifanye mwana falsafa mahiri,kumbe ndio wale wale maneno mengi mbele kiza.
Hapa umetusaidiaje kujibu hoja, maana hasira na ghadhabu ni kipimo cha udhaifu wa hoja au kujieleleza

Kama kweli unauchungu na nchi hii kwanza angalia Mtwara, Lindi , Sumbawanga , Loliondo na sehemu nyengine. Musijipe madaraka ya kutaka kutawala watu wakati nyinyi wenyewe hamna mbele wala nyuma.
Ni huko huko wapo Wazanzibar waliohamia na kuiacha nchi yao ya ahadi yenye mito ya maziwa na maji ya asali. Jiulize wanafanya nini huko

Yule Mungu wenu (Nyerere) aliwadanganya na kawambia kama Zanzibar ni sehemu ya Tanganyika kwahiyo hamuwezi kuiwachia.
Una chochote cha kuthibitisha maneno yako? au ni dhana tu iliyojengeka katika misingi ya chuki na hasira!

Kama kweli umesoma historia ya Afrika Mashariki basi majibu utayapata . Hapa humdanganyi mtu...sio watu wote akili zao zimefumba. Nenda ukawadanganye huko , sio hapa. Kama Nyerere ame ku-brain washed pole sana. Unachotakiwa kufanya ni kudai kuwepo kwa serikali ya Tanganyika na sio kuwalaumu watu wanao dai haki zao.
Hakuna sababu ya kudai serikali ya Tanganyika kwasababu hilo si tatizo la Watanganyika. Serikali ya Tanganyika itawasaidiaje ninyi Wazanzibar, hilo ni la Watanganyika na wanaweza kuamua ibaki Tanzania kama jina kwasabau nchi itabaki na mipaka yake.

Inasaidia zaidi katika mijadala kama hii kujibu hoja. Jazba na munkar ni sehemu ya mwisho kabisa ya utetezi kwa asiye na hoja. Bado swali linabaki pale pale Zanzibar ipi mnaidai, ya sultan (kwasababu hamtambui mapinduzi) au mwingereza n.k.
Na kipi kinawashinda leo hii kuamua muondoke bara, mrudi mkaijenge nchin yenu? Wale 500,000 wanafanya nini bara?
FYI Hospitali ya mnazi mmoja haina wataalamu wote wametimkia bara, mbona hili hamjiulizi ni kwanini.
 
Bwana mwenye jina kubwa, kwanini unakuwa mkali na wingi wa matusi wakati wa kutuma post zako? Mwanzoni nilikuona mtu msomi mstaarabu lakini kumbe nilijidanganya sana.

Na kwanini likitajwa jambo la Zanzibar unakuwa mkali hivi?

Kwetu sisi hatuoni tofauti baina ya mkoloni mweupe au mweusi.

Haya mheshimiwa samahani nimeondoa ile thread yangu samahani kwa kukuudhi, ila kinachoudhi mpaka tunafikia hapo ni pale ambapo wazinzabar kama wewe wala hata siku moja hamzungumzi hata faida moja ya muungano. Muungano ni kama mzigo mzito kwa Zanzibar:alien: na kama bila muungano mungeishi kama mko peponi..Katika kipindi kama hiki ambacho inaonekana wazi hata watu wengi wa bara hawautaki muungano ni kipindi ambacho wastaarabu kama wewe, mungekuwa mtoe mapungufu gani yarekebishwe pande zote, na lazima kila mmoja awe tayari kupoteza mambo flani. Tatizo Wanzanzibar mko too opportunist katika hili. Mnataka mfaidi kila kitu kwenye muungano na wala hakuna hata mmoja anayeelezea kinagaubaga Mtanganyika wa kawaida anafaidika vipi na muungano ambacho Mzanzibar wa kawaida anakikosa. Mimi naona bora huu muungano ufe kwa sasa kwa kuwa sumu mlizopandikizwa na wana siasa wenu dawa yake ni ngumu sana kupatikana. Kwa sisi tulioishi visiwani na Tanganyika kwa muda tofauti sioni Tanganyika itadhurika kwa lipi kama muungano ukifa. Kitakachofuata labda ni kubadili jina na nchi tu. Sijui kwa upande wenu ila hali haiwezi kuwa nzuri kama mnavyotarajia. Na hiyo mipango ya kuweka Zanzibar bandari huru msiwe too optimistic kwa hilo, msitarajie baada ya kuvunjika muungano kama soko la Tanganyika mtalifaidi tena kama sasa. Kwa hili hata transist visa hatutatoa. Siwatishi lakini watu mkiachana kwa chuki ndio matokea yake. Kile kilichotokea North na South Korea ndio kinachonyemelea. Na sijui tukifungiana mipaka nani atafaidika
na nani atapata hasara. Story nyingi zilizojaa huku JF ni kuwa Zanzibar ilikuwa ni himaya kubwa, Zanzibar iliwahi toa misaada wala hata siku moja hamtambui kuwa kukuwa kwa Zanzibar kulidepend pia utawala wa Sultan ambao uliextend kutoka huko Kisimayu mpaka Mozambique, mpaka Unyamwezi, mpaka DRC huko akiwakilishwa na akina Tipputippu na hilo iliifanya Zanzibar ifaidi kwa biashara, pamoja na soko. Na hilo ndilo lilikuwa chimbuko la kukuwa kwa himaya ya Sultan na Zanzibar kwa ujumla. Kwa mazingira ya sasa wala si rahisi Zanzibar kutawala mpaka DRC, hata kisiwa cha Mafia tu itakuwa vigumu kukipata, na wala Zanzibar haitakuwa tena soko kuu la watumwa wala pembe za ndovu hayo Mazingira yamepitwa na wakati. msije mkalamba gharasa harafu mkaja tamani kulamba matapishi...Jiulizeni MBONA VISIWA VYA COMORO WAKO HURU LAKINI BADO HATA NYAMBA YA NG'OMBE TU WANAFUATA TANZANIA NA MOZAMBIQUE?. HIVI ZANZIBAR NINI MLICHONACHO KINACHOWATOFAUTISHA SANA VISIWA KAMA VYA COMORO?

Binafsi mi nashangazwa sana na debate za Muungano, huyu nyerere ambaye wanamuona kama adui wao aliwahi kutoa maneno kadhaa ambayo mi ntayaweka hivi: Wazanzibar, Nia mnayo! Ikiwa Uwezo mnao! Na sababu mnayo! What hinderace u to qualify from ur wishes? Kitoeni bana,kwanza mmemlaghai babu yangu kule tanga hata akawauzia shamba kuuubwa kwa bei chee, nadhani mkiondoka ntafurahi kwani litarudi kirahisi.
 
Hakuna kitu kiliwahi kuniachia maswali mengi kichwani kama historia ya huyu Mganda Field Marshal Okello na mchango wake katika mapinduzi ya Zanzibar na jinsi alivyoachwa solemba.Ujasiri wake na mkwara aliokuwa nao wa kutamba nchi zote tatu za Afrika mashariki.....hadi Zanzibariiii!! Mkjj, na wengineo wenye kujua undani wa hii ishu naomba mnipatie ilmu zaidi maana nilivutiwa kujua zaidi.Nitaomba ukiweza uanzishe thread mpya on this.

unataka kujua nn kuhusu huyo kafiri ? Allah amemlaani amemtokomeza kama alivyomtokomeza firauni wa misri kwa kuzulumu roho za waumini wa kweli vipenzi vyake Allah ...bahati nzuri Field Marshal wa ukweli iddi amin dada was take care of this guy na ndio maana kafa kibudu(nyerere wenu akaleta chochoko zake then mkamvamia yule jamaa na kumzushia mambo tele kwa vile alikuwa muslim) yaani watu wa bara ambao waliokuwa makafiri tokea siku izo wanavisasi na waislam c ndio hao wadhungu wenu walivowajenga amewatawala then amewaambia wachukieni waislam then kawavamieni kule zanzibar muwauwe.
 
Binafsi mi nashangazwa sana na debate za Muungano, huyu nyerere ambaye wanamuona kama adui wao aliwahi kutoa maneno kadhaa ambayo mi ntayaweka hivi: Wazanzibar, Nia mnayo! Ikiwa Uwezo mnao! Na sababu mnayo! What hinderace u to qualify from ur wishes? Kitoeni bana,kwanza mmemlaghai babu yangu kule tanga hata akawauzia shamba kuuubwa kwa bei chee, nadhani mkiondoka ntafurahi kwani litarudi kirahisi.

nenda wewe huyo nyerere baba yenu wa taifa la tanganyika na amini mungu anamchoma rite now kwa aliyowafanyia watu wa znz na chuki zake kwa waislam kama walivyo wakatoliki wengine ...babu yako anashamba wewe maskini tu.
 
.
Ndiyo maana ya mjadala, ukiongelea muungano zanzibar inahusu, jibu hoja kama ilivyoletwa

umesahau kuwa dunia yote ilikuwa ni pori na neno nchi ni la wanadam, na nchi zilitokana na mipaka iliyowekwa na si wazanzibar bali wakoloni.

Hapa umetusaidiaje kujibu hoja, maana hasira na ghadhabu ni kipimo cha udhaifu wa hoja au kujieleleza

ni huko huko wapo wazanzibar waliohamia na kuiacha nchi yao ya ahadi yenye mito ya maziwa na maji ya asali. Jiulize wanafanya nini huko

una chochote cha kuthibitisha maneno yako? Au ni dhana tu iliyojengeka katika misingi ya chuki na hasira!

Hakuna sababu ya kudai serikali ya tanganyika kwasababu hilo si tatizo la watanganyika. Serikali ya tanganyika itawasaidiaje ninyi wazanzibar, hilo ni la watanganyika na wanaweza kuamua ibaki tanzania kama jina kwasabau nchi itabaki na mipaka yake.

Inasaidia zaidi katika mijadala kama hii kujibu hoja. Jazba na munkar ni sehemu ya mwisho kabisa ya utetezi kwa asiye na hoja. Bado swali linabaki pale pale zanzibar ipi mnaidai, ya sultan (kwasababu hamtambui mapinduzi) au mwingereza n.k.
Na kipi kinawashinda leo hii kuamua muondoke bara, mrudi mkaijenge nchin yenu? Wale 500,000 wanafanya nini bara?
Fyi hospitali ya mnazi mmoja haina wataalamu wote wametimkia bara, mbona hili hamjiulizi ni kwanini.

na kwann isikuwapo sababu ya kudai tangayika yenu ? Hili koti la muungano mutajivisha mpaka lini maana kipindi cha joto kinakuja msije mkaanza kupapatua kutaka kulivua while is too late...katika kila comment yako kitu kikubwa umeonyesha kuwa na chuki na visiwa hivi vya marashi ya karafuu and white sand beach hata huko miami huupati, hizo chuki zako hazima mantiki hapa sisi tutaendelea kudai nchi yetu hayo maswali yenu ya paukwa pakawa na abunu wasi hata hayatosaidia kitu kwani ss mkishatupa nchi yetu ndio tutajua wenyewe tunaitaka ipi wewe sio kazi yako ..tumechoka na hawa wakoloni weusi , wizi mafisadi, majambazi , wachuna ngozi , huwezi hata kutembea kwa raha si kwa gari si kwa mguu , usipokee simu ishu, usisimame sehemu balaa then mnataka kutuambia nn hata mukiwa na madini kiasi cha mlima wenu ule k'jaro basi hayasaidii kitu whle wananchi walio wengi ni maskini and hamuwezi kuuondosha huo umaskini daima kwa ufisadi na roho zenu zilofanana na rangi zenu
 
Bwana mwenye jina kubwa, kwanini unakuwa mkali na wingi wa matusi wakati wa kutuma post zako? Mwanzoni nilikuona mtu msomi mstaarabu lakini kumbe nilijidanganya sana.

Na kwanini likitajwa jambo la Zanzibar unakuwa mkali hivi?

Kwetu sisi hatuoni tofauti baina ya mkoloni mweupe au mweusi.

Haya mheshimiwa samahani nimeondoa ile thread yangu samahani kwa kukuudhi, ila kinachoudhi mpaka tunafikia hapo ni pale ambapo wazinzabar kama wewe wala hata siku moja hamzungumzi hata faida moja ya muungano. Muungano ni kama mzigo mzito kwa Zanzibar:alien: na kama bila muungano mungeishi kama mko peponi..Katika kipindi kama hiki ambacho inaonekana wazi hata watu wengi wa bara hawautaki muungano ni kipindi ambacho wastaarabu kama wewe, mungekuwa mtoe mapungufu gani yarekebishwe pande zote, na lazima kila mmoja awe tayari kupoteza mambo flani. Tatizo Wanzanzibar mko too opportunist katika hili. Mnataka mfaidi kila kitu kwenye muungano na wala hakuna hata mmoja anayeelezea kinagaubaga Mtanganyika wa kawaida anafaidika vipi na muungano ambacho Mzanzibar wa kawaida anakikosa. Mimi naona bora huu muungano ufe kwa sasa kwa kuwa sumu mlizopandikizwa na wana siasa wenu dawa yake ni ngumu sana kupatikana. Kwa sisi tulioishi visiwani na Tanganyika kwa muda tofauti sioni Tanganyika itadhurika kwa lipi kama muungano ukifa. Kitakachofuata labda ni kubadili jina na nchi tu. Sijui kwa upande wenu ila hali haiwezi kuwa nzuri kama mnavyotarajia. Na hiyo mipango ya kuweka Zanzibar bandari huru msiwe too optimistic kwa hilo, msitarajie baada ya kuvunjika muungano kama soko la Tanganyika mtalifaidi tena kama sasa. Kwa hili hata transist visa hatutatoa. Siwatishi lakini watu mkiachana kwa chuki ndio matokea yake. Kile kilichotokea North na South Korea ndio kinachonyemelea. Na sijui tukifungiana mipaka nani atafaidika
na nani atapata hasara. Story nyingi zilizojaa huku JF ni kuwa Zanzibar ilikuwa ni himaya kubwa, Zanzibar iliwahi toa misaada wala hata siku moja hamtambui kuwa kukuwa kwa Zanzibar kulidepend pia utawala wa Sultan ambao uliextend kutoka huko Kisimayu mpaka Mozambique, mpaka Unyamwezi, mpaka DRC huko akiwakilishwa na akina Tipputippu na hilo iliifanya Zanzibar ifaidi kwa biashara, pamoja na soko. Na hilo ndilo lilikuwa chimbuko la kukuwa kwa himaya ya Sultan na Zanzibar kwa ujumla. Kwa mazingira ya sasa wala si rahisi Zanzibar kutawala mpaka DRC, hata kisiwa cha Mafia tu itakuwa vigumu kukipata, na wala Zanzibar haitakuwa tena soko kuu la watumwa wala pembe za ndovu hayo Mazingira yamepitwa na wakati. msije mkalamba gharasa harafu mkaja tamani kulamba matapishi...Jiulizeni MBONA VISIWA VYA COMORO WAKO HURU LAKINI BADO HATA NYAMBA YA NG'OMBE TU WANAFUATA TANZANIA NA MOZAMBIQUE?. HIVI ZANZIBAR NINI MLICHONACHO KINACHOWATOFAUTISHA SANA VISIWA KAMA VYA COMORO?

HATUNA KITU WE JUST NEED OUR NECK TO BE FREE FROM THIS CHAIN..HIYO HAITOSHI
 
Muungano wa tanzania nivichekesho nanimuungano wamaajabu sana.
Neno kuungana lina tafsiri nyingi tena za faida bt kwa kuungalia muungano wa tanganyika na znz hapa hapakua na maana hio waasisi wamuungano walikua wana tafsiri zao karume yeye aliutaka muungano kwashindikizo lanyerere nakuhofia kupinduliwa bt hata hivo aliwekeana mkataba wa miaka 10 tu,nyerere yeye alikua naajenda kuvitawala visiwa ambovo vikimkereketa sana kwa uislam na kuhofia uchumi wa znz itakua tishio kwa barani afrika kilicho endelea hapo tangu kuasisiwa huo muungano ninjama za nyerere hadi kumtoa roho karume ili itimie azma yake.sasa em tuangaieni faida nahasara yamuungano tangu 64 tutaona wazi upende wa znz hakuna faida hata moja zaid yakupopotolewa viungo vake hadi kuifuta ktk ramani yadunia,uchumi umenididimia umasikini umeongezeka. Wanzibar mimi nasema nihaki yao kudai wakitakacho,ikiwa wanataka kuvunja muungano sawa naikiwa wanahitaji muungano uwe wa usawa nihaki yao bcouse hizi ni nchi 2 tanganyika na zanzibar ndo ikapatikana tanzania kwa maksudi kuiyua tanganyika nakubakia na tanzania kweli huu ni muungano wa wenye nia safi nawa nchi mbili.
 
Kuna contradictions sana katika siasa za Zanzibar leo, hata hivyo kosa kubwa sana ni watanzania wenyewe waliochagua kiongozi goigoi kama JK. Wazanzibari wanapopinga Muungano ulioasisiwa na Karume, huwa pia wanapinga mapinduzi yaliyoletwa na Karume kwani yote hayo yalipangwa bila ya kuwapo kwa kura ya maoni. Nilitegemea kuwa pamoja na kuwa tulikuwa na mwanzo mbaya ilikuwa ni jukumu letu kuuonyoosha leo kama ambavyo wakati wa chama kimoja mwaka 1977 ASP na TANU viliungana na kuwa na chama kimoja ili kuondoa tofauti za kisera. Ndoto ilikuwa ni kuwa miaka ijayo tutafikia mahali ambapo tofauti zetu za uzawa zitakuwa hazina maana tena ila tutakuwa tutaangalia utaifa wetu zaidi na kuwa na serikali moja, lakini naona wazi kuwa hili ombwe la uongozi linatupeleka kwingineko. Ninavyotabiri, naona kabisa kuwa siyo CCM wala CUF itakayokuwa hai katika miundo yake ya leo hii katika miaka saba ijayo kama haya mabadilioko ya katiba yataendelea.

Inabidi wajiulize pia ni nini hatima ya CUF na CCM baada ya kuvunja muungano. Je ASP itarudi?
 
u must be too nervous and wewe kama kinauma kichwa sisi kichwa tumbo na miguu hadi mwili mzima tumeparalize kwa huu mungano feki
 
I like this analysis!
Pia wasisahau wafanya biashara wao wakubwa wenye ari na nguvu na kasi ( Wapemba) wamajisimika bara kwa kiwango kikubwa. Wakijitenga itakula kwao! Pia bara ni soko lao na source ya karibu na ya bei poa ya mazao ya chakula ( viazi, mchele, matunda na mboga etc ) hata wakiwa na jeuri ya kusema wata import fom elsewhere bado itakula kwao.

wacha ile kwetu ishakula kwetu now 47 years na haijawa lolote ndio tumepata nguvu haswa
 
Msomeni vizuri chipachi. Aina ya Zanzibar wanayoitaka wazanzibari si kitu cha msingi sana kwao, kwa sasa atleast. Wengi wanamumunya maneno kwasababu ya ustaarabu wao,lakini Chipachi, kwa muono wangu, anawakilisha haswa nini wanakitaka. Katikati ya mistari yake hafanyi jitihada zozote kuficha nia yake (au yao for this matter). Hebu msome, "uhuru" wanaoutaka na "minyororo" iliyowafunga shingoni sasa unaiona? Msomeni muone ni vipi Okello na Nyerere (japo kwa wanaoijua historia vizuri,hawa si marafiki wa kuwaweka kundi moja) wanakua villains na Iddi Amin dada anakua hero. Msomeni muone ni kwa vipi Tanganyika na watanganyika wake hasa watanganyika wenye rangi nyeusi zaidi ndio wanakua tatizo kubwa lililowadumaza na kuwanyonya wazanzibari.
Naomba tumsome, tusimpuuze,tusidhani anaropoka. Yaweza kuwa ngumu kuamini,lakini mimi naamini hayo yake yanawakilisha mawazo ya wazanzibari wengi sana! Kwani nani kasema vichwa vikiwa vingi haviwezi kuwaza vibaya na kukosea pamoja? Kama una-appreciate nguvu ya itikadi yeyote, iwe ya kisiasa, kimila, kijamii au kidini, basi hautampuuza na kuanza kufikiri kuwa kelele zote za muungano zinaweza kuwa ni za kiitikadi tu. Na ninakosea kusema za kiitikadi "TU".
 
Sijui ni Zanzibar ipi wanaitaka maana hata mapinduzi sasa wanasema ni ya Nyerere, lakini wanasherehekea kila mwaka na waasisi wao wanawaenzi.Tatizo la Wazanzibar wengi ni kuimba nyimbo wasizojua tungo zake. Maswali ya MM hakuna anayejibu bali tunasikia wanaonewa.Inasikitisha kuwa hakuna Mzanzibar anayeongelea kwa uchache faida za muungano.Sidhani muungano huu ni dudu linalaowaumiza Wazanzibar bila kuwa na hata faida moja.
Hii inatokana na kulishwa chuki ambazo ukiuliza hakuna anayeweza kuzifafanua, lakini zipo mioyoni mwao kwasababu ya kupandikizwa tu.

Nimefauatilia majadiliano mengi ya Wazanzibar, wao wanataka Tanganyika irudi, na sijui ni kwanini kwasababu lengo lao ni 'kuirudisha' Zanzibar. Hili la Tanganyika ni la Watanganyika na Tanganyika au Tanzania zinaweza kubaki hivyo endapo wahusika watakubali, ni majina tu.
Wanzanzibar hawasemi hatutaki muungano, wanachosema ni kuwa muungano kama upo uwe wa mambo fulani. Hii maana yake ni kuwa hawataki muungano lakini wanataka ushirikiano kwa mambo wanayodhani nje ya muungano yatawaumiza sana. Wanajua wazi kuwa ni kupitia muungano kuna fursa wanazofaidika nazo,lakini wamependikizwa chuki ya kuchukia tu hata yale mema yanayotokana na muungano, na kuaminishwa kuwa kusema hili ni faida ya muungano ni sawa na kufru na dhambi mbele ya S.W.T.

Sioni kwanini walalame, wana baraza la wawakilishi linalofanya kazi kikamilifu na kubadili kila wakitakacho. Wanashindwa nini kuamua mambo ya muungano? mfano ni kuzuia wabunge wa JMT kutoka Zanzibar, kumrejesha makamu wa rais JMT, wao kuondoka bara na kurejea kwao, kuwatimua wabara kutoka visiwani, kutangaza pesa yao kama wimbo wao wa taifa n.k.

Nimekuwa nauliza hili swali mara nyingi na sitachoka, Wazanzibar niambieni Mtanganyika ataathirika vipi kwa kuvunjika muungano! tukizingatia kuwa Wazanzibar 500,000 wanaishi bara wana ajira na biashara, na wanafaidika na huduma zote za kodi za wabara kama elimu ya juu n.k. Tafadhali nifahamisheni, Tanganyika itaathirika vipi.

Majibu anayoyapenda hutayapata....Samuel Sitta, alifahamishwa wazi kama Wazanzibari hawataki Muungano. Kama faida na hasara za Muungano ,inayoathirika ni Zanzibar. Mimi nawaona watu waajabbu sana waTangayika, wao wanawashangaa watu wa Zanzibar kudai haki zao. Lakini wao wenyewe (Tanganyika) wanaburuzwa na utawala mbovu. Hivi kama kweli kila wanachojisifia kuwa wanacho hii nchi ya Tanganyika kwanini bado masikini sana? kwanini watu bado wanaishi maisha duni sana?
Huu muungano ni kuambukizana umasikini na sio chengine... Hivi lini mta amka? Kuhusu Zanzibar gani wanaitaka, ni ile kabla ya MUUNGANO. Kama mnaona aibu kuitwa Tanganyika ,hilo jina Tanzania chukueni ,its not a big deal...Ila tu, msijipe madaraka ya kutawala wengine wakati nyinyi wenyewe hamna mblele wala nyuma.
 
Back
Top Bottom