Ni Zanzibar ipi wanaitaka?

Ni Zanzibar ipi wanaitaka?

Nafikiri hapa msilete mjadala ambao hauna kichwa wala mi.guu.

Hivi tunaposema Tanganyika iliungana na Zanzibar na kuzaliwa tanzania. Ni Zanzibar ipi iliyoungana na tanganyika?

Kwa kifupi ile identity yetu wazanzibari mpaka leo ipo ni tofauti na ismu ya tanganyika iliyopotea baada tu ya muungano.

Kifupi Zanzibar inayodaiwa ni ile iliyoungana na tanganyika.
 
Majibu anayoyapenda hutayapata....Samuel Sitta, alifahamishwa wazi kama Wazanzibari hawataki Muungano. Kama faida na hasara za Muungano ,inayoathirika ni Zanzibar. Mimi nawaona watu waajabbu sana waTangayika, wao wanawashangaa watu wa Zanzibar kudai haki zao. Lakini wao wenyewe (Tanganyika) wanaburuzwa na utawala mbovu. Hivi kama kweli kila wanachojisifia kuwa wanacho hii nchi ya Tanganyika kwanini bado masikini sana? kwanini watu bado wanaishi maisha duni sana?
Huu muungano ni kuambukizana umasikini na sio chengine... Hivi lini mta amka? Kuhusu Zanzibar gani wanaitaka, ni ile kabla ya MUUNGANO. Kama mnaona aibu kuitwa Tanganyika ,hilo jina Tanzania chukueni ,its not a big deal...Ila tu, msijipe madaraka ya kutawala wengine wakati nyinyi wenyewe hamna mblele wala nyuma.

Wazanzibar jibuni hoja na msigeuze ukumbi huu kituo cha jazba hasira na matusi. Kama kuna jambo linalomjengea heshima mtu ni uvumilivu na ustaarabu wa kuongea au kujibishana. Kwahiyo tusitoke kwenye mada.

Tanganyika ni masikini, na kama zilivyo nchi zote duniani kiwango cha umasikini kinazidiana, lakini ni ukweli kuwa umasikini wa Tanganyika huenda ukawa una unafuu kwa hoja kuwa Wazanzibar 500,000 wanafanya nini bara endapo kuna unafuu huko kwao?

Pili, ni Znz ipi manoyoidai kama MMKJ alivyouliza ili ulimwengu ujue. Je ni Zanzibar itakayowabadilisha rangi kuwa nyeupe au nywele kuwa za kiarabu, je ni Znz aliyowaachi waarabu, mwingereza au! n.k, jibuni maswali ya msingi kwanza.

Tatu, kwa vile mna GNU na BLW kwanini msipeleke hoja binafasi za kuwataka wabunge kutoka Znz wasije ndani ya JMT? kumwita makamu wa rais nyumbani Znz, na ninyi mlioajiriwa wizara ya fedha, Afya, utumishi n.k mrudi Znz kwenye neema na kuiacha bara yenye dhiki.

Nne, kama Bara kuna umasikini ni kwanini wataalamu wote wa Znz wamekimbilia huku na kuiacha nchi yao yenye neema ikiwa haina 'specialist' katika ICU ya Hospitali ya mnazi mmoja Zanzibar.

Kwanini Wznz wamejaa bara wakifanya biashara na wasirudi kwao au kwenda Zambia, burundi na Kenya? nasema hivi kwasababu hata kama wapo huko idadi ya 500,000 ni kubwa sana kubebwa na nchi moja.

Tano, Tanzania bara au Tanganyika hawana haja ya kudai serikali kwasababu wao wapo tayari kwa lolote, sasa kwanini Zanzibar wanadai Tanganyika iwepo, ni ili nini na kwanini, hapa ndipo hoja ilipo. Kama kuna Znz je Tanganyika itaisadiaje hiyo Zanz au itainusuru vipi. Kwani Tanganyika mnaidai ninyi na si Watanganyika, kuna nini mnakitaka.

Mwisho
Kuwepo kwa Tanganyika hakutatoa nafasi ya ninyi kupendekeza ushirikiano kwa mambo mnayo yataka, ni ima muungano au No muungano, kwasababu ushirikiano wowote ni kuibebesha bara mzigo. Huwezi kuwa na bajeti sawa na soko la kariakoo halafu ukadai serikali ya shirikisho, utatoa nini kugharamia seriakli ya shirikisho.

Zijibiwe hoja.
 
Mimi sijaona hoja ya maana hata moja kutoka kwako... Hao Wazanzibari wanaoishi Tanganyika , kama ulivyo sema ni wafanya biashara. Vile vile wapo karibuni katika kila pembe ya dunia. Kwanini wako wengi hapo Tanganyika , kwasababu ya huu Muungano. Hata kule Zanzibar wako waTanganyika wengi tu...Watanganyika wanafanya nini Zanzibar? wasichana wengi ni domestic helpers ( house girls) .Wengine wauza uchi kwenye madanguro...baadhi yao angalau wanafanya kazi katika Hotels. Ujambazi uliozidi Zanzibar, uliza nani wanafanya ?
Kuhusu hao wataalamu kufanya kazi huko Tanganyika ...Huo ndio ulikua mpango wa muda mrefu wa Tanganyika ,kuibana Zanzibar kiuchumi kiasi cha kwamba watu wahame Zanzibar ilimuichukue kirahisi. Lakini hayo hayatafanikiwa kwani Wazanzibar wenyewe sasa wana muoako wa hali juu. Hizo nyumba na mali nyengine zinazo milikiwa na waZanzibari hapa Tanganyika , ni mpango maalum wa muda mrefu.
mwisho wa yote mutaona bora yaishe ili mupate hizo mali , ( hicho ni chambo , mtakila tu).
 
=
takashi;1881770]Vile vile wapo karibuni katika kila pembe ya dunia. Kwanini wako wengi hapo Tanganyika , kwasababu ya huu Muungano.
Kwahiyo umekiri kuwa hiyo ni faida mojawapo ya muungano, thank you.
Nimekupa idadi ya 500,000 wanaishi bara, nipe idadi ya hao wanaoishi nchi zingine.
Hata kule Zanzibar wako waTanganyika wengi tu...Watanganyika wanafanya nini Zanzibar? wasichana wengi ni domestic helpers ( house girls) .Wengine wauza uchi kwenye madanguro...baadhi yao angalau wanafanya kazi katika Hotels. Ujambazi uliozidi Zanzibar, uliza nani wanafanya ?
Kuna Hotel ngapi na wapo idadi gani huko visiwani, ukilinganisha na wizara moja tu yenye wazanzibar zaidi ya 20. Nenda kwenye idara zingine uone ni wangapi waliopo huku bara. Kati ya hao 500,000 ni chini ya 2000 wanaofanya biashara, wengine wote ni waajiriwa na wanatunza familia zao raha mustarehe, hata hizi kelele za muungano zinawaudhi sana, wantuambia wazi.
Kama kuna ujambazi hao Watanganyika wafungwe, lakini unasahau aliyelipua Dar es Salaam (ubalozini) ni Mzanzibar, na kama ni uhalifu upi zaidi ya huo wa kimataifa.
Kuhusu hao wataalamu kufanya kazi huko Tanganyika ...Huo ndio ulikua mpango wa muda mrefu wa Tanganyika ,kuibana Zanzibar kiuchumi kiasi cha kwamba watu wahame Zanzibar ilimuichukue kirahisi.
Ichukuliwe kirahisi ili iweje, kwa uchmi sawa na mapato ya kampuni ya sigara, kipi ni bora kutaifa mali za kampuni au kuichukua Zanzibar. Bajeti ya wizara ya elimu Tanganyika ni kubwa kuliko bajeti ya Znz, sasa Znz ichuliwe na bara ili iweje
Hizo nyumba na mali nyengine zinazo milikiwa na waZanzibari hapa Tanganyika , ni mpango maalum wa muda mrefu.mwisho wa yote mutaona bora yaishe ili mupate hizo mali , ( hicho ni chambo , mtakila tu
Hakuna Mznz anayelazimishwa kujenga bara,hata hivyo watu hao wameishi, kutibiwa, kupata elimu ya vidudu hadi ya juu kwa kodi za wabara, hilo je.
Wamejenga kwa kutumia rasilimali za bara, watauza nyumba zao warudi kwao.

Tupeni takwimu, sio matusi, mumekaririshwa mambo bila data, sasa mkiulizwa mnakuwa mbogo na mashujaa wa matusi zaidi ya hoja, 'JF is all about intellectual discourse. If you can't take the heat, get out of kitchen'.
Nimeuliza, kwanini msipeleke hoja BLW ili mujitoe katika muungano? Nauliza tena Bara wanafaidika na nini kutoka Znz? Nimeuliza, kwanini ninyi mtake Tanganyika iwepo, je kuwepo kwake kunawasidiaje, tukijua kuwa mna wimbo wa taifa, bendera, baraza la wawakilishi, Rais, makamu wawili n.k. nipeni takwimu na hoja si matusi ndugu zangu, kinachojadiliwa hapa ni hoja.
 
Kama nimemuelewa Barubaru anasema ni Zanzibar iliyoungana na Tanganyika.. yaani Zanzibar ya Mapinduzi. Kama hili ni kweli nadhani na ninaamini ni Zanzibar ambayo inawastahili Wazanzibar wote. Binafsi ni muumini mzuri tu wa Muungano. Hata hivyo sipendi kabisa watu kuhisi wanadhulumiwa. Kama Wazanzibari wanataka kutoka kwenye muungano waanze a movement to secede from the union na mwaka 2013 au hata mapema wapiga kura ya maoni kutoka kwenye Muungano.

Binafsi naamini kabisa hatuwezi kutatua kero za Muungano. CCM haiwezi na hakuna watu wenye uwezo wa kuutetea huu Muungano. Alikuwepo Nyerere tu wengine wote wapo wapo tu.

Ukiniuliza nitasema Kura ya Maoni inatakiwa iwe na maswali yenye uchaguzi wa aina mbili tu.

a. Zanzibar na Tanzania Bara kuunda Nchi Moja, Taifa moja - hata kama ina mifumo mbalimbali ya kutawala.
b. Zanzibar ijitoke completely kwenye Muungano na kuwa sovereign.
 
=
Kwahiyo umekiri kuwa hiyo ni faida mojawapo ya muungano, thank you.
Nimekupa idadi ya 500,000 wanaishi bara, nipe idadi ya hao wanaoishi nchi zingine.

Kuna Hotel ngapi na wapo idadi gani huko visiwani, ukilinganisha na wizara moja tu yenye wazanzibar zaidi ya 20. Nenda kwenye idara zingine uone ni wangapi waliopo huku bara. Kati ya hao 500,000 ni chini ya 2000 wanaofanya biashara, wengine wote ni waajiriwa na wanatunza familia zao raha mustarehe, hata hizi kelele za muungano zinawaudhi sana, wantuambia wazi.
Kama kuna ujambazi hao Watanganyika wafungwe, lakini unasahau aliyelipua Dar es Salaam (ubalozini) ni Mzanzibar, na kama ni uhalifu upi zaidi ya huo wa kimataifa.

Ichukuliwe kirahisi ili iweje, kwa uchmi sawa na mapato ya kampuni ya sigara, kipi ni bora kutaifa mali za kampuni au kuichukua Zanzibar. Bajeti ya wizara ya elimu Tanganyika ni kubwa kuliko bajeti ya Znz, sasa Znz ichuliwe na bara ili iweje

Hakuna Mznz anayelazimishwa kujenga bara,hata hivyo watu hao wameishi, kutibiwa, kupata elimu ya vidudu hadi ya juu kwa kodi za wabara, hilo je.
Wamejenga kwa kutumia rasilimali za bara, watauza nyumba zao warudi kwao.

Tupeni takwimu, sio matusi, mumekaririshwa mambo bila data, sasa mkiulizwa mnakuwa mbogo na mashujaa wa matusi zaidi ya hoja, 'JF is all about intellectual discourse. If you can't take the heat, get out of kitchen'.
Nimeuliza, kwanini msipeleke hoja BLW ili mujitoe katika muungano? Nauliza tena Bara wanafaidika na nini kutoka Znz? Nimeuliza, kwanini ninyi mtake Tanganyika iwepo, je kuwepo kwake kunawasidiaje, tukijua kuwa mna wimbo wa taifa, bendera, baraza la wawakilishi, Rais, makamu wawili n.k. nipeni takwimu na hoja si matusi ndugu zangu, kinachojadiliwa hapa ni hoja.

well said mkuu! hawa ndugu zetu ni watu wa jazba na kashafa... nenda mzalendo.net ukajionee! si watu wa kupanga hoja zikaeleweka. wanapozungumzia ujambazi na kweli wamesahau yule kijana aliyelipuwa ubalozi wa marekani ametia doa DOA "TANZANIA" wala si ZNZ. Na znz wanayoitaka bado hawajaifahamu... nimesoma mawzo yao kule kwenye mzalendo wengi wanategemea kuwa watapata misaada toka kwa waarabu. katika kuvunja muungano wapo kitu kimoja linapokuja znz ipi wanaitaka wanagawanyika mara mbili waunguja atakwambia ya mapinduzi wa pemba atakwambia ya muarabu
 
=
Kwahiyo umekiri kuwa hiyo ni faida mojawapo ya muungano, thank you.
Nimekupa idadi ya 500,000 wanaishi bara, nipe idadi ya hao wanaoishi nchi zingine.

Kuna Hotel ngapi na wapo idadi gani huko visiwani, ukilinganisha na wizara moja tu yenye wazanzibar zaidi ya 20. Nenda kwenye idara zingine uone ni wangapi waliopo huku bara. Kati ya hao 500,000 ni chini ya 2000 wanaofanya biashara, wengine wote ni waajiriwa na wanatunza familia zao raha mustarehe, hata hizi kelele za muungano zinawaudhi sana, wantuambia wazi.
Kama kuna ujambazi hao Watanganyika wafungwe, lakini unasahau aliyelipua Dar es Salaam (ubalozini) ni Mzanzibar, na kama ni uhalifu upi zaidi ya huo wa kimataifa.

Ichukuliwe kirahisi ili iweje, kwa uchmi sawa na mapato ya kampuni ya sigara, kipi ni bora kutaifa mali za kampuni au kuichukua Zanzibar. Bajeti ya wizara ya elimu Tanganyika ni kubwa kuliko bajeti ya Znz, sasa Znz ichuliwe na bara ili iweje

Hakuna Mznz anayelazimishwa kujenga bara,hata hivyo watu hao wameishi, kutibiwa, kupata elimu ya vidudu hadi ya juu kwa kodi za wabara, hilo je.
Wamejenga kwa kutumia rasilimali za bara, watauza nyumba zao warudi kwao.

Tupeni takwimu, sio matusi, mumekaririshwa mambo bila data, sasa mkiulizwa mnakuwa mbogo na mashujaa wa matusi zaidi ya hoja, 'JF is all about intellectual discourse. If you can't take the heat, get out of kitchen'.
Nimeuliza, kwanini msipeleke hoja BLW ili mujitoe katika muungano? Nauliza tena Bara wanafaidika na nini kutoka Znz? Nimeuliza, kwanini ninyi mtake Tanganyika iwepo, je kuwepo kwake kunawasidiaje, tukijua kuwa mna wimbo wa taifa, bendera, baraza la wawakilishi, Rais, makamu wawili n.k. nipeni takwimu na hoja si matusi ndugu zangu, kinachojadiliwa hapa ni hoja.

Dah! We tundu lisu nini? Maana kichwa chako pekee sawa na 'wapemba' wote waliomo humu jf! Thanks nguruvi3 for ur ecsostivu analysis, lkn kumbuka kwamba 'sumu' ya kunywesha ni hatari sana zaidi ya ile ya kunywa mwenyewe. Kimsingi hawajui wakitakacho,wengine wanataka zanzibar wengine tanganyika,na kuthibitisha kuwa jamaa ni vilaza eti wanakuja na hoja ya 'kuwasaidia' watanganyika wadai tanganyika yao (opposite pulling principle) ili kamba ikatike bila kujua ni nani ndiye aliyetoa nguvu kubwa za kuikata, very low!
 
Malalamiko ya Zanzibar ni magumu kuyaanisha.Hoja zao hazionyeshi wapi wanaonewa zaidi ya malalamiko.
Wengi hawajui nini wanakitaka au kukusimamia.
Mfano, wapo wanaosema mapinduzi ni njama za Nyerere na Okello kufuatia mkutano wa viongozi wa E.A Nairobi mwaka 1963 bila ya Sultan kukaribishwa.Ni Sultan huyo waliyekuwa wanampinga na ndiye chanzo cha vugu vugu la kisiasa.
Ili kujenga hoja tu ya kuonyesha mpango huo haukuwa wao wanasema Sultan wao hakukaribishwa. Angalia controverse! yaani E.A kumsusia Sultan wasiyemtaka wao leo iimekuwa ni kosa.

Wanasema mapinduzi ya Okello na Nyerere yalilenga kuuhujumu Uislam.Walioongoza mapinduzi baadhi wapo hai na hatusikii Wznz wakiwasuta,wale waliotangulia mbele ya haki wanapewa heshima zote.
Kuna baraza la mapinduzi lenye mamlaka ya juu, na kila Jan 12 wanasherehekea mapinduzi. Swali ni kuwa wanasherehekea mapinduzi yapi? ya Okello na Nyerere yaliyolenga kuhujumu Uislam au kuna mapinduzi mengine? Na kama Nyerere na Okello waliwahujumu ni kwanini waenzi uovu wao kila mwaka Jan 12?

Wanasema nchi ya ZNZ ilikuwepo kabla ya Tanganyika, wamesahau kuwa dunia ilikuwepo kabla ya Zanz,na tafiti zote zinaonyesha hakuna kisiwa duniani kilichokuwa na watu wa asili ila walihamiaji.
Mfano ni Znz ambapo waznz weusi wanatoka bara la Africa na wale wenye' rangi nzuri na nywele za kimanga' wanatoka Uarabuni. Hawaelewi kuwa mipaka ya wanachokiita Znz haikuwekwa na Wznz bali wakoloni na hivyo tambo zao ni unyonge.

Wzn wanasema wakijitenga itakuwa rahisi kuchukuliwa na waarabu. Eti uchumi utakuwa kwasababu waarabu watawasaidia. Hawakumbuki kuwa Yemen yenye wajomba wa kiarabu ni masikini kuliko Znz, Yemen ni sehemu ya GCC au UAE.
Hawaoni Haiti iliyo na ujomba mkubwa na U.S.A ilivyo masikini. Imani ya wznz imejikita katika misaada na si kujiendeleza.

Wznz wanasema bara wanawanyonya,hakuna hata mmoja anayekuja na takwimu au hoja za mashiko kuthibitisha dhana hiyo kwa mahesabu ya kiuchumi na kiutawala.
Wanasema eti kwanini bidhaa zinazoingia kwao zikija bara zitozwe ushuru, yaani wauze bandari kwa waarabu(bandari huru) halafu wapenyeze mali zao kwa mgongo wa muungano bila kodi.

Swali wasilotaka kulijibu kwa takwimu ni kuwa 500,000 wanafanya nini bara? Na wale walioajiriwa bara wanafanyakazi na kulipwa na nani?
Hawakumbuki kuwa karafuu imekufa na kila mtu anazalisha kwa kiwango cha hali ya juu mashariki ya mbali na Africa magharibi.
Hawakumbuki kuwa hata mishahara ya SMZ inatoka bara kufuatia hali ya uchumi mbaya.
Hawakumbuki kuwa sehemu kubwa ya bidhaa zao inatoka bara kwa fedha ya madafu.
Hawajibu swali la msingi, je bara inawanyonya nini na wakijitoa bara itaathirika vipi.?

Kwa ufupi madai yao mengi hayana uthibitisho zaidi ya hadithi za vijiweni na umahiri wa matusi.
Sasa wanakuja na hoja ya Tanganyika, maana yao ni kuwa Tanganyika iwepo ili kuwe na Znz na Tanganyika, halafu walete hoja ya serikali ya shirikisho. Shirikisho maana yake ni mambo ya pamoja yanayoigusa Zanzibar ambayo wanajua watapoteza muungano ukifa. Lakini nani atagharamia shirikisho? Kwa mfano bajeti ya trilion 1 ya shirikisho Znz itachangia kiasi gani? nusu kwa nusu ina maana bilioni 500 ambayo ni bajeti nzima ya mwaka ya Znz.

Kwa vile wana BLW wapeleke hoja ya kura ya maoni na waamue wao, lakini si shirikisho.
Na mwisho malalamiko yametuchosha, kama yupo awaye, tunaomba atuongoze kwa hoja za mashiko zilizo sheheni takwimu za kiuchumi na kiutawala ili atusaidie tuelewe nini malalamiko ya Znz.
Hatuombi matusi au kashfa na kwa asiye na hoja ni vema akae kimya.
 
Nguruvi3 unataka data! ok, wait watakuja na data za mfano wa: mitaa ya zanzibar ilianza kuwaka umeme kabla ya london, majani ya chai ktk east africa yalianza kuwa packed znz, nchi ya mwanzo kuwa na colour tv ktk africa,walitoa 12% ktk mtaji wa BoT(Lakini hawasemi why 12% not 50%, hawasemi wao wanapata ngapi ktk kuendesha gnu)
 
Mkuu Nguruvi hata mimi nakuunga mkono kuwa muhimu ni kujadili hoja kwa ustaarabu na kwa hoja pia kwani matusi na kashfa yanadhihirisha yalio tofauti na madhumuni ya forum hizi.

Wazanzibari wanahoji huu Muungano kutokana na kuamini kuwa umewadumaza na kuwafikisha hapo walipo. Wazanzibari kwa ufupi wanaitaka Zanzibar yao ambayo itajiamulia mambo yake wenyewe na kuondokana na mfumo wa sasa ambao unaifanya Zanzibar kama ni koloni la Tanganyika.

Kabla ya "Muungano" huu, Zanzibar ilikuwa inajiweza kujiendesha wenyewe bila ya matatizo yoyote yale na hatukuwahi kuwa tegemezi kwa nchi yoyote ile. Kila SMT ilipokuwa ikijiongezea madaraka, mamlaka ya Zanzibar yamekuwa yakipungua na kuifanya tegemezi zaidi kwa Tanganyika, jambo ambalo Wazanzibari hawaoni kuwa lina faida kwa ustawi wa Zanzibar na watu wake.

Ni kweli kabisa kuwa Zanzibar ni ndogo na uchumi wake pia ni mdogo lakini kuna nchi ndogo kuliko Zanzibar lakini zipo na zinaishi kwa uhuru wa kujiamulia. Tanganyika inatajwa kwa sababu inaonekana inaing'ang'ania Zanzibar kwa nguvu na hili halikubaliki.

Wazanzibari wanakuja kufanya biashara bara ndio lakini pia wanakwenda Kenya kutokana na ukaribu kijiografia. Pia wanakwenda sehemu mbalimbali duniani kama wanavyokwenda Watanganyika kutafuta fursa ya kujiendeleza kimaisha.

Ingekuwa vyema ukataka kujua ni kwanini Wazanzibari walihama kwa wingi kutoka Zanzibar na sio kuhamia bara tu lakini kila pembe ya dunia. Hii ilitokana na utawala mbovu uliojengeka kutokana na fitna zilizokuja kutoka Tanganyika. Sasa Wazanzibari wametamtambua adui yao na wanarekebisha makosa yao na kuundwa kwa GNU/SUK ni kielelezo tosha kwamba Wazanzibari wameamua kusahau tafauti zao na wanajiandaa kudai haki yao, jambo ambalo ni dhahir limewashtua.

Baraza la Wawakilishi tayari wameanza kuchukua hatua unazopendekeza Mkuu Nguruvi kwa kuifanyia marekebisho Katiba yao ya mwaka 1984. Mjadala wa Mswada uliojadiliwa hivi majuzi ni kielelezo chengine kwamba Wazanzibari hawaridhiki na mfumo wa sasa wa Muungano.

Kwanini mnakasirika pale Wazanzibari wanapodai chao?

Wazanzibari wanaitaka Zanzibar yao kwanza, mfumo gani wa kushirikiana, hilo ni baadae.

Tunaitaja Tanganyika kwa kuwa nyinyi ndio liotuvamia.
 
Dah! We tundu lisu nini? Maana kichwa chako pekee sawa na 'wapemba' wote waliomo humu jf! Thanks nguruvi3 for ur ecsostivu analysis, lkn kumbuka kwamba 'sumu' ya kunywesha ni hatari sana zaidi ya ile ya kunywa mwenyewe. Kimsingi hawajui wakitakacho,wengine wanataka zanzibar wengine tanganyika,na kuthibitisha kuwa jamaa ni vilaza eti wanakuja na hoja ya 'kuwasaidia' watanganyika wadai tanganyika yao (opposite pulling principle) ili kamba ikatike bila kujua ni nani ndiye aliyetoa nguvu kubwa za kuikata, very low!

Hii ni kashfa na ndio kila wakti inatumiwa na wabara kuwaona waZanzibari.

Lakini kumbuka WaBara karibu wote ni waoga na wanafiki wakubwa. Kwani hamuwezi kuonyesha hisia zenu hadharani bali mnafanya mambo yenu kwa kificho. Mfano mdogo tu ni huu muswada wa katiba mpya. Mlisimama kusema tu na hakuna aliyeupinga wazi wazi zaidi ya kutoa maoni na porojo nyingi. Zanzibar walianza kupinga kuanzia waziri wa Sharia Mh Aboubakar bakari Hamis, Mwanasheria mkuu Bw Othman, na wengine wengi akiwemo Mkongwe Mzee nasor Moyo na mwisho wa yote waliuchoma hadharaani. Je bara ni kiongozi gani wa Serikali alisimama na kuupinga huo muswada?

Kuweni wawazi na acheni unafiki. Kwa taarifa Wabara wanalilia sana huu muungano kwa sababu Ukivunjika tu basi bara hakukaliki kutakuwa kama Nigeria. Ni nani asiyejua UDINI umewakaa na kila kitu kwenu Udini. Mnajua fika kutakuwa na vita kubwa ya Udini ambalo ni zao la mamo yenu mliyayaficha kabla na sasa ndio yanachomoza na kumea.

Poleni sana Wabara.
 
Barubaru, kuna kitu kimebadilika kwako ndugu yangu nini tena? Tayari ushakuwa na "wabara" na "Wazanzibari".. tushakuwa maadui tena?
 
hapana kitu mkuu bali hii dhana ya kuona WaZanzibari ni dhaifu na wanaishi kwa kutegemea fadhila toka kwa Wabara iliyo miongoni kwa wachangiaji wengi hususan wale kutoka bara. Wanashindw kuelewa kuwa Zanzibar au WaZanzibar ni watu kamili na wana haki sawa katika Muungano bila kujali idadi yao au ukubwa wa nchi yao.

Hii ni dhana mbaya sana iliyojengeka miongoni mwa wengi kuona WaZnz ni dhaifu na nahisi hii inasababishwa na labda kuona wengi ni waislam. Kwani WaBara wengi sana wanaona waislam ni dhaifu sana , wasiosoma na hawastahili kupewa hata uongozi ndio maana kuna hoja ya kushangaa kwanini Prof Mshoro awe Mwenyekiti TIRDO.

Hakika ni dhana mbaya na ni lazima ikemewe kwa nguvu zote. Watu wote ni sawa na tuna haki sawa mbele a sheria
 
unataka kujua nn kuhusu huyo kafiri ? Allah amemlaani amemtokomeza kama alivyomtokomeza firauni wa misri kwa kuzulumu roho za waumini wa kweli vipenzi vyake Allah ...bahati nzuri Field Marshal wa ukweli iddi amin dada was take care of this guy na ndio maana kafa kibudu(nyerere wenu akaleta chochoko zake then mkamvamia yule jamaa na kumzushia mambo tele kwa vile alikuwa muslim) yaani watu wa bara ambao waliokuwa makafiri tokea siku izo wanavisasi na waislam c ndio hao wadhungu wenu walivowajenga amewatawala then amewaambia wachukieni waislam then kawavamieni kule zanzibar muwauwe.

Mwisho wa siku unatembea kifua mbele unajiita "GREAT THINKER". Kweli hii ndio njia nzuri ya kushughulikia/kujadili mambo/hoja ya/za msingi kama ya/za Muungano?
Sasa nimegundua kwanini Tanzania ni maskini. Shida yetu ni ubinafsi na uvivu wa kufikiri. Tunafikiri kwa kutumia MOYO na siyo UBONGO. Mungu atusaidie katika hili.
 
Hizi sio hoja ambazo wazanzbari wanazitoa wakati wakidai nchi yao,unaonekana hujaenda shule,basi hata kutembea hutembei ? watu wanasema kutembea ni kusoma.
Wanaitaka nchi "yao" ya Zanzibar; Wanataka kurudia "utukufu wa Zanzibar" kwa kuwa hapa walipo sasa hawaoni manufaa "yoyote" kwa Zanzibar. Wanasema wanaitaka nchi yao waliyonyang'anywa na Wadanganyika (ati Watanganyika). Wanataka warudishiwe nchi yao waliyonyang'anywa na Nyerere na watu wa bara.

Ni Zanzibar ipi hiyo wanayoitaka?

  • Zanzibar ya historia ya kale (Zenj - nchi ya weusi?) ambayo ni zaidi ya visiwa vya Unguja na Pemba bali na mwambao wa Afrika ya Mashariki
  • Zanzibar ya Sultani(ambaye naye utawala wake ulizidi mipaka ya Unguja na Pemba)
  • Zanzibar ya Sultani chini ya Mwingereza
  • Zanzibar ya baada ya Uhuru na Sultani akiwa bado ni Mkuu wa Nchi na serikali ya Mseto
  • Zanzibar ya Mapinduzi kabla ya Muungano
  • Zanzibar "mpya" ambayo haijawahi kuwepo yaani ya baada ya muungano

Ni ipi hasa wanayoitaka? Ni ipi hasa Zanzibar "proper". Isije kuwa ni kama nchi ya ahadi ambayo iko katika fikra za watu tu lakini haijawahi kuwepo; yaani ile nchi imiminikayo maziwa na asali na kwamba watu wa bara na dunia nzima wanataka kuwanyang'anya Wazanzibari. Na labda hapa itabidi tulijibu swali pia kuwa Mzanzibari ni nani hasa?
 
=
Kwahiyo umekiri kuwa hiyo ni faida mojawapo ya muungano, thank you.
Nimekupa idadi ya 500,000 wanaishi bara, nipe idadi ya hao wanaoishi nchi zingine.

Kuna Hotel ngapi na wapo idadi gani huko visiwani, ukilinganisha na wizara moja tu yenye wazanzibar zaidi ya 20. Nenda kwenye idara zingine uone ni wangapi waliopo huku bara. Kati ya hao 500,000 ni chini ya 2000 wanaofanya biashara, wengine wote ni waajiriwa na wanatunza familia zao raha mustarehe, hata hizi kelele za muungano zinawaudhi sana, wantuambia wazi.
Kama kuna ujambazi hao Watanganyika wafungwe, lakini unasahau aliyelipua Dar es Salaam (ubalozini) ni Mzanzibar, na kama ni uhalifu upi zaidi ya huo wa kimataifa.

Ichukuliwe kirahisi ili iweje, kwa uchmi sawa na mapato ya kampuni ya sigara, kipi ni bora kutaifa mali za kampuni au kuichukua Zanzibar. Bajeti ya wizara ya elimu Tanganyika ni kubwa kuliko bajeti ya Znz, sasa Znz ichuliwe na bara ili iweje

Hakuna Mznz anayelazimishwa kujenga bara,hata hivyo watu hao wameishi, kutibiwa, kupata elimu ya vidudu hadi ya juu kwa kodi za wabara, hilo je.
Wamejenga kwa kutumia rasilimali za bara, watauza nyumba zao warudi kwao.

Tupeni takwimu, sio matusi, mumekaririshwa mambo bila data, sasa mkiulizwa mnakuwa mbogo na mashujaa wa matusi zaidi ya hoja, 'JF is all about intellectual discourse. If you can't take the heat, get out of kitchen'.
Nimeuliza, kwanini msipeleke hoja BLW ili mujitoe katika muungano? Nauliza tena Bara wanafaidika na nini kutoka Znz? Nimeuliza, kwanini ninyi mtake Tanganyika iwepo, je kuwepo kwake kunawasidiaje, tukijua kuwa mna wimbo wa taifa, bendera, baraza la wawakilishi, Rais, makamu wawili n.k. nipeni takwimu na hoja si matusi ndugu zangu, kinachojadiliwa hapa ni hoja.

wewe ni nguruvi3 o nguruwe ? hahaha unahoja gani hapo mimi nataka uamini hivi ingelikuwa nyerere hajafanya crusade hapa zanzibar i swear mungelikuwa mnakuja kwa visa hapa maana hilo pori letu hata pakupumulia hamna zaidi msubiri kuliwa na simba ambao naona sasa washaanza kufika mbagala kesho kutwa watakuwa pamoja na nyinyi hapo kariakoo
 
Yap, Baada ya uhuru wa Zanzibar 1963, kulikuwa na Serikali ya Jamhuri ya Watu wa Unguja. Na hivyo ndivyo ilivyokuwa ikiandikwa katika nyaraka za serikali hiyo. Baada ya Mapinduzi ndio jina la Pemba likaanza kusikika na kuwa maarufu baada ya Muungano na Tanganyika.

usiwe ka bendera ambayo hufuata upepo au usione watu wote hawajasoma, shirikisha ubongo wako kabla hujaongea.
 
=
Kwahiyo umekiri kuwa hiyo ni faida mojawapo ya muungano, thank you.
Nimekupa idadi ya 500,000 wanaishi bara, nipe idadi ya hao wanaoishi nchi zingine.

Kuna Hotel ngapi na wapo idadi gani huko visiwani, ukilinganisha na wizara moja tu yenye wazanzibar zaidi ya 20. Nenda kwenye idara zingine uone ni wangapi waliopo huku bara. Kati ya hao 500,000 ni chini ya 2000 wanaofanya biashara, wengine wote ni waajiriwa na wanatunza familia zao raha mustarehe, hata hizi kelele za muungano zinawaudhi sana, wantuambia wazi.
Kama kuna ujambazi hao Watanganyika wafungwe, lakini unasahau aliyelipua Dar es Salaam (ubalozini) ni Mzanzibar, na kama ni uhalifu upi zaidi ya huo wa kimataifa.

Ichukuliwe kirahisi ili iweje, kwa uchmi sawa na mapato ya kampuni ya sigara, kipi ni bora kutaifa mali za kampuni au kuichukua Zanzibar. Bajeti ya wizara ya elimu Tanganyika ni kubwa kuliko bajeti ya Znz, sasa Znz ichuliwe na bara ili iweje

Hakuna Mznz anayelazimishwa kujenga bara,hata hivyo watu hao wameishi, kutibiwa, kupata elimu ya vidudu hadi ya juu kwa kodi za wabara, hilo je.
Wamejenga kwa kutumia rasilimali za bara, watauza nyumba zao warudi kwao.

Tupeni takwimu, sio matusi, mumekaririshwa mambo bila data, sasa mkiulizwa mnakuwa mbogo na mashujaa wa matusi zaidi ya hoja, 'JF is all about intellectual discourse. If you can't take the heat, get out of kitchen'.
Nimeuliza, kwanini msipeleke hoja BLW ili mujitoe katika muungano? Nauliza tena Bara wanafaidika na nini kutoka Znz? Nimeuliza, kwanini ninyi mtake Tanganyika iwepo, je kuwepo kwake kunawasidiaje, tukijua kuwa mna wimbo wa taifa, bendera, baraza la wawakilishi, Rais, makamu wawili n.k. nipeni takwimu na hoja si matusi ndugu zangu, kinachojadiliwa hapa ni hoja.

Wewe endelea kutafuta hizo hoja ambazo wewe unazikubali...Wazanzibari wamekuwa wakija Tanganyika kabla ya Muungano. Vile vile watanganyika wamekuwa wakienda Zanzibar kabla ya Muungano. Kuwepo kwa wanzanzibari hapa Tanganyika haina maana watu wana kubaliana na huu Muungano hasa hivi ulivyo. Raia wa nchi moja kuishi nchi nyengine ni kawaida ilimradi tu, taratibu za uhamiaji zifuatwe.

Hiyo takwimu ya Waznaibari wasiopungua laki tano (500,000) sijui umeitowa wapi , labda utusaidie. Tuseme wako hao laki tano (500,000) waTanganyika wenyewe wako wangapi? kama sikosei millioni arubaini 40,000,000. Sasa ni asilimia ngapi ya Wazanzibari kati ya hao milioni 40. Kule Zanzibar , watanganyika hawapungui 100,000 katika population ya watu milioni moja (1,000,000) huwa ni sawa na asilimia 10%. kwahiyo, bado tu Watanganyika wako wengi Zanzibar Kuliko wazanzibari walioko Tanganyika.
Harakati za ukombozi wa Zanzibar zinaendelea vizuri...Katika nyanja zote. Marekebisho ya katiba ya Zanzibar yataendela. Kwanini katika rasimu ya katiba ya Muungano ,hamutaki Masuala ya Muungano yajadiliwe? Hicho tayari Zanzibar wamesha kipinga.

ZANZIBAR ITAENDELEA KUWEPO ...NA HIZO NDOTO ZA MCHANA ZINAWADANGAYA BURE...YAMEMSHINDA YULE MZEE WENU MCHONGA MENO IJEKUWA WEWE " Nguruvi3"...?
 
Kama nimemuelewa Barubaru anasema ni Zanzibar iliyoungana na Tanganyika.. yaani Zanzibar ya Mapinduzi. Kama hili ni kweli nadhani na ninaamini ni Zanzibar ambayo inawastahili Wazanzibar wote. Binafsi ni muumini mzuri tu wa Muungano. Hata hivyo sipendi kabisa watu kuhisi wanadhulumiwa. Kama Wazanzibari wanataka kutoka kwenye muungano waanze a movement to secede from the union na mwaka 2013 au hata mapema wapiga kura ya maoni kutoka kwenye Muungano.

Binafsi naamini kabisa hatuwezi kutatua kero za Muungano. CCM haiwezi na hakuna watu wenye uwezo wa kuutetea huu Muungano. Alikuwepo Nyerere tu wengine wote wapo wapo tu.

Ukiniuliza nitasema Kura ya Maoni inatakiwa iwe na maswali yenye uchaguzi wa aina mbili tu.

a. Zanzibar na Tanzania Bara kuunda Nchi Moja, Taifa moja - hata kama ina mifumo mbalimbali ya kutawala.
b. Zanzibar ijitoke completely kwenye Muungano na kuwa sovereign.

Mkuu rekebisha kiswahili...hakuana kitu "Tanzania bara" ipo Tanganyika. IF IT 'S A SHAME I CAN UNDERSTAND.
 
Muungano umewadumaza na kuwafikisha hapo walipo. Wazanzibari wanaitaka Zanzibar yao ambayo kuondokana na koloni la Tanganyika.
Kwahiyo serikali ya mapinduzi na BLW,wimbo wa Taifa, bendera ya Znz, Rais na Makamu hivyo havitoshi kuwa ni Znz.
Muungano umeidumaza znz,tunahitaji ufahamu, ni kwa vipi kama si kuisadia.
Pili, je muungano hauna lolote jema na kama lipo ni lipi.
Kabla ya "Muungano" huu, Zanzibar ilikuwa inajiweza kujiendesha wenyewe bila ya matatizo yoyote yale na hatukuwahi kuwa tegemezi kwa nchi yoyote ile.
Ni wakati ule karafuu ilikuwa 'hot' na Znz kuitwa spice island, karafuu inazalishwa kwa ubora na mataifa mengi,kudorora kwa uchumi wa znz ni matokeo ya kudhani ndiyo pekee inayoweza kuzalisha karafuu. Pesa zikatumika kuwekeza katika TV za rangi na ya kwanza Africa.
Tanganyika imepata vitu kama hivyo miaka 20 iliyopita, lakini waliwekeza katika elimu, afya n.k. Ndiyo maana viongozi wote wa Znz wame elimikakupitia Tanganyika.
Tanganyika inatajwa kwa sababu inaonekana inaing'ang'ania Zanzibar kwa nguvu na hili halikubaliki.
Hakuna Mtanganyika anayeing'ang'ania ZNZ, nieleze kwa lipi linaloweza kukosekana kwa znz kutokuwepo? Hoja kuu hapa ni uchumi ambao nimeshaueleza kuwa haukidhi haja ya kung'ang'ania ZNZ.
Wazanzibari wanakuja kufanya biashara bara ndio lakini pia wanakwenda Kenya kutokana na ukaribu kijiografia. Pia wanakwenda sehemu mbalimbali duniani kama wanavyokwenda Watanganyika kutafuta fursa ya kujiendeleza kimaishi
.
Wanapokwenda Kenya ni tofauti na wakiwa bara. Waulize wafanyabiashara kwanini wanapenda bara zaidi ya Kenya. Mznz hawezi kusoma vidudu hadi chuo kikuu Kenya kama utambarare wakiwa bara. Hawabaguliwi na ni sehemu ya wananchi wa kawaida. Waulize Wznz wa kawaida wanaoishi bara watakueleza.
Jiulize kwanini waagize bidhaa za kilimo kutoka bara na si mombasa au Lamu.
Sasa Wazanzibari wametamtambua adui yao na wanarekebisha makosa yao na kuundwa kwa GNU/SUK ni kielelezo tosha kwamba Wazanzibari wameamua kusahau tafauti zao na wanajiandaa kudai haki yao, jambo ambalo ni dhahir limewashtua.
Ndani ya muungano kuna GNU nje ya muungano wapo wanaosema mapinduzi daima na wapo wanaosema mapinduzi ya Okello na Nyerere. Ndiyo maana nimekuuliza swali kabla, je mapinduzi mnayathamini au ni ya Nyerere na Okello.?(Huna jibu)
Ndani ya muungano ni Wznz, nje ya muungano wapo wzn weusi waunguja na wamanga wapemba.Wapemba wanasisitiza kuwa hawana mkataba na Unguja, juzi tu wamerudia hayo. Je GNU ni kutoka katika muungano au ni ya kudumu.?
Baraza la Wawakilishi tayari wameanza kuchukua hatua unazopendekeza Mkuu Nguruvi kwa kuifanyia marekebisho Katiba yao ya mwaka 1984
Kipi kinashindikana kupeleka mswada wa kuvunja muungano ili wasing'ang'aniwe na Tanganyika.
Mjadala wa Mswada uliojadiliwa hivi majuzi ni kielelezo chengine kwamba Wazanzibari hawaridhiki na mfumo wa sasa wa Muungano.
Mswada umepingwa vikali bara, si kwa ajili ya muungano tu, bali maudhui yote. Tofauti na Znz bara wametumia kauli,na Znz wametumia hisia za vurugu. Kuna uwezekano wa kusema 'hapana' bila rabsha.
Kwanini mnakasirika pale Wazanzibari wanapodai chao?
Kinachowaudhi watu ni kauli za ukoloni, tunaonewa n.k. Fikiria umembeba mtu mgongoni bado anarusha mateke na kejeli.
Kinachoudhi ni kuwa kwanini msirudi kwenu, mkatumia BLW na kusema basi.
Wazanzibari wanaitaka Zanzibar yao kwanza, mfumo gani wa kushirikiana, hilo ni baadae
Sidhani kama kunahitajika mfumo wa ushirikiano, upi labda na kwa vipi, nifafanulie.

Wznz walio wengi na wakawaida wanatumia fursa za muungano hawapendi ufe, wanachotaka ni kuurejea na kuangalia mapungufu.
Wznz wanaoishi nchi za nje wanataka ufe wakijua kuwa watakaporejea nyumbani na elimu zao au kuongea kiingereza watapata fursa za vyeo.!!!(mzalendo.net)

Wasichokijua znz ni kuwa eneo lao na population ni matatizo katika siku za mbeleni. Biashara zao zinategemea majirani hasa Tanganyika.Kama watajenga uchumi bado utakuwa tegemezi.

Misaada toka uarabuni ambako wengi wanadhani znz ni sehemu ya, itasadia sana kuinua uchumi nakurudisha ukoloni wa Sultan.

Fursa zote mnaziziona,nje ya muungano ni ushindani.
Kujitenga kwa znz ni sababu ya hisia za kuwepo mafuta. Haya hatukuyaona wala wakati mishahara ikitoka bara. Fanyeni maamuzi haraka mpate nchi yenu yenye asali na maziwa, ila tu isije kuwa nchi ya kufikirika.
 
Back
Top Bottom