Ngoni Tribe-Manungayembe
Humu upo ila sijajua ni post no ngapi kwa mwenye nao tafadhali atupie humu
 
Daaah..... mkuu umetisha sana. Aisee ndio wenyeweeeee... daah.. nikisikilizaga huu wimbo nawezq shusha hata kreti 😂😂😂
 
NATAFUTA WIMBO FULANI WA CHARANGA ULIOIMBWA KWAKISWAHILI.... 🎵akapita kisura🎵nami nikamwita🎵nikauliza waitwa nani🎵naitwa maria🎵 oooh maria🎵mtoto kolikoli🎵mtoto zurizuri🎵ntakupa korola🎵
JE NANI ALIIMBA,WIMBO UNAITWAJE,,PIA NISAIDIENI KUUPATA
 
Kuna nyimbo 2 naziyafuta kea mwenye kuzijua anitumie..
1.Taarabu inaitea Mama shughuri Ameimba Mwanahawa ally.
2.Kuna wimbo ameimba afande sele sijui unaitwaje nakumbuka baadhi ya mistari tu..
"Ametoroshwa mpenzi wangu ameniacha mama aaa
Ameondoka ameniacha sina la kufanya,
Amini ipo siku moja utakuja nikumbuka aaa
Ipo siku utakuja nikumbuka mimi...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom