Natafuta wimbo wanaimba «oya oya mchawi pesa eeeh« nliusikia redioni hiv karibuni inaonekana haujatoka kitambo sema jina silijui
 
Naomba nisaidieni mwimbaji wa wimbo huu wa bongofleva ambao baadhi ya mashairi yake ni " NIKIKUMBUKA MAPISHI YAKE KISAMVU CHA NAZI, HATA KAMA KILALE KICHACHE..." na jina la wimbo
 
Wakuu nautafuta sana wimbo unaoitwa KONDAKTA uliochezwa na mwanamuziki Daudi Kabaka kutoka nchini Kenya. Nimeutafuta youtube lakini nimekuta umefungwa. Naomba mdau yeyote aliye na wimbo huu anigaie tafadhali. Asante.
ndio wenyewe?
 

Attachments

  • zilipendwa - Kondakta.mp3
    1.3 MB · Views: 85
Jamani mwenye ule wimbo wa safari ule waoooooo baba waoooo wazazi hawajambo wanakusalimia tatizo nilonalo nmekumisi dear
Sijui kaimba nani ila naupenda enzi hizo mi dogo sana mwenye nao tafadhali
 
NATAFUTA WIMBO FULANI WA CHARANGA ULIOIMBWA KWAKISWAHILI.... akapita kisuranami nikamwitanikauliza waitwa naninaitwa maria oooh mariamtoto kolikolimtoto zurizurintakupa korola
JE NANI ALIIMBA,WIMBO UNAITWAJE,,PIA NISAIDIENI KUUPATA
Huu mwimbo na mm naupenda sana yaan nmeingia huku ili niuombe huo wimbo vp umeupata mkuu
 
ndio wenyewe?
Ubarikiwe sana mkuu, ndio wenyewe. Yaani nimefurahi sana kupata wimbo huu, wewe hujui tu. Huu wimbo nimeutafuta kwa muda mrefu bila mafanikio. Nilienda Youtube nikakuta umeondolewa. Pia ashukuriwe mkuu Secret Star kwa kuanzisha huu uzi maana ametufaidisha wadau wengi tunaohangaika kutafuta nyimbo zetu pendwa.
 
Ahsante mkuu, hawa RIDI SOUND wana remix zao kali sana. Naomba nyimbo zao nyingine mkuu. Maana nime search kote sijazipata.
 
Wakuu Natafuta hizi nyimbo
1.Mr ii - Yah oh yanatisha
2.Mr ii - Blood shed
3.Mr ii - Kesho kwa Mungu
4.Mr ii - Siku
5.Mr ii feat Mr Paul - Yoyote popote
6.Mr ii - Ni wapi tunakwenda
7.Fred saganda - Leta story
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom