Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 2,178
- 3,839
Mkuu nimekukubali sana hii ngoma nilikuwa nikiitafuta bila mafanikio siku nyingi sana
Mkuu kama utaweza pia nitafutie na nyimbo ya Msanii Stereo kutoka Tamaduni muzic nyimbo inaitwa Chunda BadMkuu nimekukubali sana hii ngoma nilikuwa nikiitafuta bila mafanikio siku nyingi sana
Mwenye wimbo wa nyokaa ulioimbwa na chindoman anitumie.
Mkuu kama utaweza pia nitafutie na nyimbo ya Msanii Stereo kutoka Tamaduni muzic nyimbo inaitwa Chunda Bad
Kokoo au Barua wa King Kikii
Ako taka; mwana mama usiwe mbali.
pili muswahili by mureno batamba,
Kifo remmy
Fatuma wa majengo -by murenoo
we are the world- by global all stars
Una maana huu?Wakuu nahitaji nyimbo ya prof J ft D.N.A jina limenitoka kidogo
Hapana mkuu umenikumbusha vizuri,Ni prof J ft BambooUna maana huu?
Habarini wadau!? Naomba mwenye wimbo "Vituko Uswahilini" (remix) wa Suma G na Inspekta Haruni aupandishe jukwaani.
Na huu je?Hapana mkuu umenikumbusha vizuri,Ni prof J ft Bamboo
wakuu mwenye nyimbo ya steve rnb she dance anisaidie tafadhar
Shukran sanaNa huu je?