Jamani naomba mnisaidie nyimbo hizi,nazihitaji sana yan;
1-Shabani madobe (segere)
2-Mchiliku za zamani
Tafadhari ndugu zangu,mwenye nazo anisaidie.
 
Anaitwa V2 wimbo ni Nasonga mbele
Kuna wimbo umeimbwa na kikundi toka zbar unaimba hivi..

"Hivi sasa nasonga mbeleee... maisha yangu bila ya weweeee,...nawaachia yo wenzangu, umaskini mm ndani kwangu.,.

Nitafurahi sana nikiupata
 
Unamaanisha huu mkuu...?

GK MAMA

Na Ukongwe wangu huu kwenye muziki ila huu wimbo sikuwahi kuusikia kabisa.Nilikuwa mfuasi wa ECT ila huu sikuwahi usikia kabisa.Kwanini? Au ni nyimbo za kwenye album ?

Nimeupenda sana hasa aliposema mwaka 93 aliugua kipindi yupo boarding Mbeya na mama yake alilala chini kumuuguza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom