Kule kwenye vyanzo vya mito mvua zinanyeshaKama itakuwa ni hujuma itakuwa ni kwa faida ya nani? Hata waziri akiondoka wao watakuwa mawaziri? Naamini kuna sababu nyingine ya msingi zaidi ya hujuma. It could be ni hali ya ukame inayoendelea kwa sasa. La msingi consumers wawe addressed kuondoa shaka
Jibu maswali achana na mawenge!.....utakuta .....!
Unaweza kuhisi ni hujuma, maana upande ule hawatakiwi kupata creditHali si shwari, kuna kila dalili sasa tuendako ni kubaya, hii hali ya umeme dakika 5 on, masaa 8 - 12 off haikuzoeleka kwa miaka sita iliyopita, mbona hakuna kiongozi anajitokeza kulizungumzia hili jambo?
Ni waziri wa umeme hapendwi na watendaji wake hivyo wameamua kumkwamisha au ni waziri wa umeme anafanya uganga wake ili kulikwamisha shirika na wapiga kura!?
Yeyote anayehusika na hujuma hizi laana itamuandama hadi kizazi chake cha nne