Kwani wiki mbili alizowapa watendaji wa Tanesco kama mwisho wa kukatika umeme zimeshakwisha?Hali si shwari, kuna kila dalili sasa tuendako ni kubaya, hii hali ya umeme dakika 5 on, masaa 8 - 12 off haikuzoeleka kwa miaka sita iliyopita, mbona hakuna kiongozi anajitokeza kulizungumzia hili jambo?
Nakubaliana nawe, ni bora wizara isiwe na waziri kuliko adha anazotusababishiaHakuna kumung'unya maneno, January makamba ni Wazir wa hovyo mnoo kama wanataka wampe hipe ili awe Raisi badae ni heri wangemtaftia nafas nyingine sio hyo ya nishati , au ndo anataka afanye biashara ya mitambo ya dharura ya mafuta badae Hali ikiwa shwari tumshangilie ,Kwa vyovyote vile anatakiwa afukuzwe kazi haraka iwezekananvyo , umeme wa kuonjeshana huu , ni ujinga wa kiwango cha SGR ...
Mama hana clue!Hakuna kumung'unya maneno, January makamba ni Wazir wa hovyo mnoo kama wanataka wampe hipe ili awe Raisi badae ni heri wangemtaftia nafas nyingine sio hyo ya nishati , au ndo anataka afanye biashara ya mitambo ya dharura ya mafuta badae Hali ikiwa shwari tumshangilie ,Kwa vyovyote vile anatakiwa afukuzwe kazi haraka iwezekananvyo , umeme wa kuonjeshana huu , ni ujinga wa kiwango cha SGR ...
Bora hata wewe umesema, wengine ni shutuma tu bila hata kujiridhisha tatizo ni nini, yaani jf ya siku hizi great thinkers ni wachache sanaWanasema ni matengenezo, sasa sijui yataisha lini