Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 31,659
- 32,964
Hali si shwari, kuna kila dalili sasa tuendako ni kubaya, hii hali ya umeme dakika 5 on, masaa 8 - 12 off haikuzoeleka kwa miaka sita iliyopita, mbona hakuna kiongozi anajitokeza kulizungumzia hili jambo?
Ni waziri wa umeme hapendwi na watendaji wake hivyo wameamua kumkwamisha au ni waziri wa umeme anafanya uganga wake ili kulikwamisha shirika na wapiga kura!?
Yeyote anayehusika na hujuma hizi laana itamuandama hadi kizazi chake cha nne