Ni waziri anahujumiwa au TANESCO inahujumiwa?

Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
31,299
32,348
Hali si shwari, kuna kila dalili sasa tuendako ni kubaya, hii hali ya umeme dakika 5 on, masaa 8 - 12 off haikuzoeleka kwa miaka sita iliyopita, mbona hakuna kiongozi anajitokeza kulizungumzia hili jambo?

Ni waziri wa umeme hapendwi na watendaji wake hivyo wameamua kumkwamisha au ni waziri wa umeme anafanya uganga wake ili kulikwamisha shirika na wapiga kura!?

Yeyote anayehusika na hujuma hizi laana itamuandama hadi kizazi chake cha nne
 
Matengenezo Hadi usiku,hapa nilipo tu Leo umekatika mara 3 na saiv umekataa kwa mara ya 4
 
Hakuna kumung'unya maneno, January makamba ni Wazir wa hovyo mnoo kama wanataka wampe hipe ili awe Raisi badae ni heri wangemtaftia nafas nyingine sio hyo ya nishati , au ndo anataka afanye biashara ya mitambo ya dharura ya mafuta badae Hali ikiwa shwari tumshangilie, kwa vyovyote vile anatakiwa afukuzwe kazi haraka iwezekananvyo, umeme wa kuonjeshana huu, ni ujinga wa kiwango cha SGR.
 
N
Hakuna kumung'unya maneno, January makamba ni Wazir wa hovyo mnoo kama wanataka wampe hipe ili awe Raisi badae ni heri wangemtaftia nafas nyingine sio hyo ya nishati , au ndo anataka afanye biashara ya mitambo ya dharura ya mafuta badae Hali ikiwa shwari tumshangilie ,Kwa vyovyote vile anatakiwa afukuzwe kazi haraka iwezekananvyo , umeme wa kuonjeshana huu , ni ujinga wa kiwango cha SGR ...
Nakubaliana nawe, ni bora wizara isiwe na waziri kuliko adha anazotusababishia
 
Hakuna kumung'unya maneno, January makamba ni Wazir wa hovyo mnoo kama wanataka wampe hipe ili awe Raisi badae ni heri wangemtaftia nafas nyingine sio hyo ya nishati , au ndo anataka afanye biashara ya mitambo ya dharura ya mafuta badae Hali ikiwa shwari tumshangilie ,Kwa vyovyote vile anatakiwa afukuzwe kazi haraka iwezekananvyo , umeme wa kuonjeshana huu , ni ujinga wa kiwango cha SGR ...
Mama hana clue!
 
Hongera thread yako kuwepo hadi sasa JF Mods wana kampeni ya kufuta msg zote za kuhusu malalamiko ya umeme, ils wako busy kuhamasisha chanjo ya uviko, sasa huu umeme uanvyokatika hivi hizo chanjo huku mikoani zinatunzwa kwenye ubaridi upi??

Tuendelee kunyoka, wanyoshaji wamerejea mzigoni
 
Watu wako kazini kutengeneza dili juzi kasaini dili hapo lazima alambe chake. Sasa tunasubiri kuuziwa umeme apige Tena percent nyingine then wajanja waende mahakamani muanze kuwalipa kila saa millions...hiyo ndio Tanzania na Tanesco na waziri nayoijua Mimi..tuliwaambia haya maneno toka bwana huyu ateuliwa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wanasema ni matengenezo, sasa sijui yataisha lini
Bora hata wewe umesema, wengine ni shutuma tu bila hata kujiridhisha tatizo ni nini, yaani jf ya siku hizi great thinkers ni wachache sana
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom