Ni wapi ulipotoka, ulipo sasa na unategemea kuwa wapi baada ya miaka 5?

Wadau nimesoma comments zenu,basi nitatoa refu..

Baada ya kulima kwa mwaka mmoja bila kupumzika,nilijikuta ndani nimesave laki 8,niliendelea kulima mchicha bila kupumzika, Morogoro mashamba yapo mengi na wanakodisha,nilikodisha heka moja kwa elfu 50 nikalima viazi vitamu.mavuno hayakuwa mabaya nilivuna vinzuri sana heka moja ilinipatia millioni 2 na nusu,kwa miezi mitatu huku na vuna mchicha kila baada ya week kadhaa na pata 100000 mpaka 120000.nililima viazi kila baada ya miezi 3.

Nilijiingiza kwenye kufuga kuku na nguruwe sikuacha kulima mchicha maana nilipata mda mnzuri,shamba la viazi nilimuajiri kijana akawa analisimamia mimi naenda siku ya mavuno kuvuna,nilipata wanunuzi wa jumla viazi vikawa vinanunuliwa vyote hapo hapo shambani.kwenye kufuga nilianza na nguruwe 8,majike yalikuwa 5 na madume walikuwa 3 waliomaliza kunyonya ambao niliwanunua 300000,mabanda ya kufuga nilikodisha kwa mwezi ilikuwa 7000,basi niliwafuga wale nguruwe vinzuri,yale majike 5 yalinizalia vitoto 45,basi nikavilee mpaka vilipo acha kunyonya mungu alinisaidia vikakuwa vitoto 41,waliiokufa 4.ngoja nifupishe maana story ni ndefu sana na sina mda wakuandika kila kitu hapo.

Nilikomaa kwenye kufuga kuku na nguruwe,kulima mchicha na viazi mpaka elfu2013 nikiwa na miaka 22 nilisave ela yangu mwenyewe kwa jasho langu,millioni 11 ukiachana na mifugo,aisee nilikuwa nakuku[1500] wakienyeji tu ambao walinipatia pesa kibao,ukija kwenye nguruwe nilikuwa na nguruwe 96.

Ngoja niwape story yangu nikiwa sekondary form 3,2009 moshi vijijini nilifanikiwa kujenga nyumba yangu ya kwanza ya udongo nikiwa na miaka 18,kwa kulima mahindi na kuuza miwa.tuendeleee,2013 nilienda arusha nikanunua shamba heka moja kwa laki 8 nanusu,nimejenga nyumba yangu ya pili nikiwa na miaka 23.
 
Baada ya kuzidi kuandamwa wezi walifanikiwa kunirudisha nyuma pia soko la sm likashuka, makato ya huduma za kifedha zikapanda nilififia ki mtaji kutokana na changamoto haza za kuibiwa nilirud KUTOKA 5.ml mpka 3.5 ml, mpka kufikia mwezi wa 9 nimeamua kuhamia jijin dar mji wa kibiashara lakin kule nyumban nimemuacha mama yangu mzazi aendeleze biashara huku mm nikitafuta sehem sahihi kwa dar lakin mpka Sasa naona nimeferi kabisaaa.
Huwezi kusema umefeli, bado mapema. Dar kuwa na ofisi inahitaji uwe na pesa kiasi kilichochangamka kidogo kutegemeana na aina ya biashara unayofanya. Biashara ya kutoa huduma ni nzuri zaidi kuliko ya kununua mzigo uuze(machinga).
 
wadau nimesoma comments zenu,basi nitatoa refu..
baada ya kulima kwa mwaka mmoja bila kupumzika,nilijikuta ndani nimesave laki 8,niliendelea kulima mchicha bila kupumzika,morogoro mashamba yapo mengi na wanakodisha,nilikodisha heka moja kwa elfu 50 nikalima viazi vitamu.mavuno hayakuwa mabaya nilivuna vinzuri sana heka moja
Umeeleza vema kabisa

Lakini naomba kuuliza kuhusu kuwalisha nguruwe ulikua unatumia chakula gani hasahasa?
 
Wadau nimesoma comments zenu,basi nitatoa refu..

Baada ya kulima kwa mwaka mmoja bila kupumzika,nilijikuta ndani nimesave laki 8,niliendelea kulima mchicha bila kupumzika, Morogoro mashamba yapo mengi na wanakodisha,nilikodisha heka moja kwa elfu 50 nikalima viazi vitamu.mavuno hayakuwa mabaya nilivuna vinzuri sana heka moja ilinipatia millioni 2 na nusu,kwa miezi mitatu huku na vuna mchicha kila baada ya week kadhaa na pata 100000 mpaka 120000.nililima viazi kila baada ya miezi 3.

Nilijiingiza kwenye kufuga kuku na nguruwe sikuacha kulima mchicha maana nilipata mda mnzuri,shamba la viazi nilimuajiri kijana akawa analisimamia mimi naenda siku ya mavuno kuvuna,nilipata wanunuzi wa jumla viazi vikawa vinanunuliwa vyote hapo hapo shambani.kwenye kufuga nilianza na nguruwe 8,majike yalikuwa 5 na madume walikuwa 3 waliomaliza kunyonya ambao niliwanunua 300000,mabanda ya kufuga nilikodisha kwa mwezi ilikuwa 7000,basi niliwafuga wale nguruwe vinzuri,yale majike 5 yalinizalia vitoto 45,basi nikavilee mpaka vilipo acha kunyonya mungu alinisaidia vikakuwa vitoto 41,waliiokufa 4.ngoja nifupishe maana story ni ndefu sana na sina mda wakuandika kila kitu hapo.

Nilikomaa kwenye kufuga kuku na nguruwe,kulima mchicha na viazi mpaka elfu2013 nikiwa na miaka 22 nilisave ela yangu mwenyewe kwa jasho langu,millioni 11 ukiachana na mifugo,aisee nilikuwa nakuku[1500] wakienyeji tu ambao walinipatia pesa kibao,ukija kwenye nguruwe nilikuwa na nguruwe 96.

Ngoja niwape story yangu nikiwa sekondary form 3,2009 moshi vijijini nilifanikiwa kujenga nyumba yangu ya kwanza ya udongo nikiwa na miaka 18,kwa kulima mahindi na kuuza miwa.tuendeleee,2013 nilienda arusha nikanunua shamba heka moja kwa laki 8 nanusu,nimejenga nyumba yangu ya pili nikiwa na miaka 23.

Ukiwa na miaka 18 ulilima mahindi mtaji ulitoa wapi wa kuajiri watu wa kukulimia shamba maana umesema mara yako ya kwanza kulima ni morogoro ulivyolima mchicha baada ya kupewa mtaji wa elfu 20 na shamba la bure?
 
Ukiwa na miaka 18 ulilima mahindi mtaji ulitoa wapi wa kuajiri watu wa kukulimia shamba maana umesema mara yako ya kwanza kulima ni morogoro ulivyolima mchicha baada ya kupewa mtaji wa elfu 20 na shamba

Ukiwa na miaka 18 ulilima mahindi mtaji ulitoa wapi wa kuajiri watu wa kukulimia shamba maana umesema mara yako ya kwanza kulima ni morogoro ulivyolima mchicha baada ya kupewa mtaji wa elfu 20 na shamba la bure?
baba anashamba kubwa la miwa kazi yangu ilikuwa nikumwagia miwa mbolea ya ngombe,ijumaa ilikuwa nakata mzigo wa miwa nakuwapa kibarua wanapeleka sokoni,ela ninayopata baada ya kuuza zile miwa napewa pasu kwa pasu na baba,tulikubaliana hivyo, swali la pili lakulima mahindi nilikuwa nakodisha kibarua wanalima kwa makubaliano kuwa nitampa mahindi ni kivuna,na nitampa chakula cha siku zote akiwa kazini
 
Hongera chief
 
Back
Top Bottom