Ni wangapi wanakumbuka jina la mwalimu wa darasa la kwanza?

Ni wangapi wanakumbuka jina la mwalimu wa darasa la kwanza?

Nwakumbuka wengi tu:Mwalimu Kaaya-Mwalimu Gileksa,Mwalimu Balome,Mwalimu Kimario,Mwalimu Sauna aka Kingazi/Mwalimu Swai.Shule ya Msingi Enyuata Pande za Chuga
 
Mkuu kama mtu anaweza mkumbuka mwalimu wa darassa wa first grade huko (kipindi ambacho mi hata nlikua sijui kama kuna cha mwalimu wa darasa) maana walimu wote mimi niwaita MWALIMU sasa mtu anakwambia anamkumbuka mwalimu wake wa darasa..Mi nadhani watu wengine humu walianza shule wakiwa WATU WAZIMA tayari maana sio kwa kumbukumbu hizo.
Mi nakimbuka miaka ile ya azimio la arusha ndo nilikuwa kindergarten japo sisi tulikuwa tunaita vidudu......sasa wewe wa 2000's hukumbuki au unaundugu na Shadeeya
 
Mi nakimbuka miaka ile ya azimio la arusha ndo nilikuwa kindergarten japo sisi tulikuwa tunaita vidudu......sasa wewe wa 2000's hukumbuki au unaundugu na Shadeeya
Atakuwa ndugu yangu huyo maana vichwa vyetu ni vizito balaa. 😜😜😜
 
Mwalimu wangu wa Darasa alikuwa anaitwa mwalimu swai.Shule ya msingi Minazi Mirefu mwaka 1997.Alikuwa anatuuzia mpaka pipi na ndizi darasani halafu mwalimu mwingine akija anatuambia tusitafune
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom