Ni wangapi wanakumbuka jina la mwalimu wa darasa la kwanza?

Ni wangapi wanakumbuka jina la mwalimu wa darasa la kwanza?

Hahahahaaa. Hapa labda itokee watu wakasoma shule moja na mwaka wa kuanza la kwanza ukawa mmoja ndio inaezekana mtu akaonekana anaongopa.

Ila nje ya hapo kamba hazizuiliki.

Walimu wa hivyo wapo sana tu na waeza kuta aliona una akili ila we una kauzembe na si wajua tena kila mwalimu anakuwa na wanafunzi wake darasani ambao anaona mwisho wa siku watamnyanyua.

Nilikuwa mtundu sana, sasa cha ajabu akikuta niko kwenye kikundi cha adhabu nje ya darasa, anamwambia mwl husika kwamba ananiomba kuna kazi ananituma, hapo ndo kashaniokoa.

Ila kosa kama ni lake hahaha, alikuwa ananinyoosha hasa.
 
Mwalimu mwinyipembe bungo primary school late 90' moro. Popote ulipo Mungu akubariki

Sent using Jamii Forums mobile app
haa mkuu Ulipita pale shule ya kibabe isiyo na BATI enzi zangu tulikua Jumamosi tukienda kunapanda kule juu tunacheza Mpira Mlinzi akija tunakimbia...sema hapo pa kukumbuka Walimu tena wa darasa la kwanza huko mimi Sina kichwa hiyo BADO.
 
Nilikuwa mtundu sana, sasa cha ajabu akikuta niko kwenye kikundi cha adhabu nje ya darasa, anamwambia mwl husika kwamba ananiomba kuna kazi ananituma, hapo ndo kashaniokoa.

Ila kosa kama ni lake hahaha, alikuwa ananinyoosha hasa.
Umenikumbusha mbali sana Mtani. 😀😀😀
 
Hahahaaa. Nimecheka sana Duuh.

Hapa ukiamua hata weye waeza mtaja wa uongo nani atajua kwani. 😀😀😀[/QUOTE

Unaonaje mkuu na sisi tukidondosha jina lolote...mi naanza na MADAM flaviana (nilimpenda sana huyu madam alikua kila akintuma kitu nikipelekea ananipa PIPI)
 
Umenikumbusha mbali sana Mtani. 😀😀😀

Yaani nilikuwa nikimwona tu nahakikisha anajua niko kwa pilato, utasikia, "Mwalimu, namwomba 100 Likes mara moja, halafu huyu anazuga ukimalizana naye arudi hapa".
 
haa mkuu Ulipita pale shule ya kibabe isiyo na BATI enzi zangu tulikua Jumamosi tukienda kunapanda kule juu tunacheza Mpira Mlinzi akija tunakimbia...sema hapo pa kukumbuka Walimu tena wa darasa la kwanza huko mimi Sina kichwa hiyo BADO.
Aiseeeeeeee.
 
😁😁😁😁 Mkuu acha kutugombanisha na mleta Uzi

Mkuu kama mtu anaweza mkumbuka mwalimu wa darassa wa first grade huko (kipindi ambacho mi hata nlikua sijui kama kuna cha mwalimu wa darasa) maana walimu wote mimi niwaita MWALIMU sasa mtu anakwambia anamkumbuka mwalimu wake wa darasa..Mi nadhani watu wengine humu walianza shule wakiwa WATU WAZIMA tayari maana sio kwa kumbukumbu hizo.
 
Mwalimu Njau pale zanaki primary alikuwa anafundisha darasa la kwanza (P) na la pili (P)..mwaka 1991 nimeanza shule ya msingi pale.


Bila shaka Mungu atakuwa kampa maisha marefu mpk leo.
 
Back
Top Bottom