Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 6,318
- 8,231
Nitamteua uwaziri wa nishati sio muda, kijana anapiga kazi sana huyu.
Acha ujinga wako, kama hujui uliza usaidiwe.Ijumaa khareem,
Kwaunyenyekevu mkubwa naomba kuwarejesha awamu ya nne Pale tulipoambiwa kuwa Mtoto wa Rais wa Tanzania wakati huo Mhe Jakaya Mrisho Kikwete, Ridhiwani Kikwete amekamatwa huko Hong Kong China akifanya biashara ya madawa ya kulevya,
Kwakuwa sheria za Nchini China ukiiondoa Beijing mtu yeyote akikamatwa na madawa ya kulevya hukumu yake ni kunyongwa mpaka kufa na kuna mamia ya Watanzania wamenyongwa nchini China sote ni mashahidi wa hili "Watanzania tukashangaa huyu mtoto wa Rais anakosa nini kwa baba yake mpaka abebe unga tena yeye mwenyewe mpaka China?!! "
Tukaambiwa baada ya Ridhiwani Kikwete Mtoto wa Rais wetu kukamatwa na kutakiwa kunyongwa mpaka kufa baba yake Mzee Jakaya Mrisho Kikwete akiwa Rais wa awamu ya nne akafanya makubaliano na mamlaka za China zisimnyonge mwanae Ridhiwani Kikwete na badala yake atawapa gesi yote ya Mtwara inayofikia 57.7tct jambo ambalo walilidhia na ushahidi ni kwamba Ridhiwani yuko hai hata leo,
Awamu iliyopita tukaambiwa Mtwara gesi yote ilishauzwa kwa Mabeberu na mambo yaliyofanyika huko Si-yakizalendo kabisa hivyo tuwekeze nguvu kwenye JHNPP ilikujipatia Umeme wa uhakika nchini,Mimi akili yangu kwa haraka ika 'Click ' ni ule mchongo wa Mzee Jakaya kwa Ridhiwani na Wachina hakika moyo Wangu ukamchukia Mzee Jakaya na Mwanae Ridhiwani kwa kutaifisha gesi yetu Chaajabu baadae kidogo tukamsikia aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul Makonda akimtaja tena Ridhiwani Kikwete kwamba ni mwanamtandao wa wauza madawa ya kulevya ( Unga ) Tanzania naamini hili sakata sote tunalikumbuka binafsi nikazidi kuichukia familia ya Mzee Jakaya na Dk Jakaya mwenyewe kwa dhuluma kubwa waliolifanyia Taifa hili,Mungu nisamehe Mimi na Wale walioumizwa kama Mimi kwa uongo
Leo nikaribu mwongo mmoja umepita tunaambiwa mazungumzo baina ya Serikali ya Tanzania na Makampuni ya Shell ya Uingereza na Uholanzi, ExxonMobil ya Marekani,Ophir ya Uingereza, Pavilion ya Singapore,Medco Energi ya Indonesia; na StatOil ( Equinox ) ya Norway wanaendelea na Host govnment agreement ( HGA ) ili wawekeze $30bl karibu Shilingi 69.5trilioni ili kuwekeza kwenye gesi ileile ya 57.7tct aliyoitoa Mzee Jakaya Mrisho Kikwete ili kumnusuru mwanae mpendwa Ridhiwani Kikwete muuza madawa,hakika nchi ngumu sana hii,
Mimi na wenzangu tunajiuliza gesi yetu yote Tanzania ilianza kugunduliwa tangu miaka ya 1974,1982 na ilipofika miaka ya 2000's ndio tukajua ujazo halisi wa gesi yetu kuwa ni Jumla ya futi za ujazo trilioni 57.7ctc ambazo zilikuwapo awamu ya kwanza hadi hii ya Sita ya Rais Samia Suluhu Hassan,
Najiuliza|Tunajiuliza,
1. Kama deposit ya gesi yetu yote imesalia kuwa ni 57.7tct tangu enzi za baba wa Taifa hadi leo zama za Mama Samia hiyo gesi aliyotoa Mzee Jakaya kumnusuru mwanae Ridhiwani asinyongwe hadi kufa ni ipi?
2. Kama nia ilikuwa kumchafua Mzee Jakaya wakati wa Utawala wake kwanini Ridhiwani aendelee kutajwa kwa ubaya hata awamu ambazo baba yake hakuwa madarakani?
JIBU NI MOJA TU :
Mhe Ridhiwani Kikwete ni kijana mnyenyekevu sana,Mchamungu,Mpole,Mtu wa bashasha wakati wote,Hana makundi,Mzalendo wa kweli,Asiyependa vyeo japo vyeo vinamtaka,na anayechukia rushwa kwa vitendo,Nimtu asiyependa mtu yeyote anyanyaswe akiwa ndani ya nchi yake,Nimtu anayefikiri juu ya Umoja wa Kitaifa ndio maana katika hotuba zake zote hakuwahi kusigana na Upinzani wala Wapinzani na nikijana aliyekulia na kulelewa na The core CCM yaani Ridhiwani ni CCM by blood,
Nimekumbuka usemi mmoja " mti wenye matunda ndio huchakazwa kwa mawe" ila muda ni mwalimu wa kweli leo Dunia imegundua Ukweli kuwa "Ridhiwani kinachomtesa nikile alichopewa na Mungu kwaajili ya kuwatumikia Watanzania hapo baadae" kwa dhati ya moyo wangu leo nimempenda na kumuheshimu sana Mzee Jakaya Kikwete pamoja na familia yake hii aliyeifunza Unyenyekevu na subra,Leo Mungu amewatetea pale mlipokaa kimya kwa kukosa mtetezi,
#HAKIKA TULIKUTENDA#TUSAMEHE SISI
Sifa zipi ambazo hana kwa nchi yetu?Bila kuwa na sifa?
Afisa 😂😂😂CCM tunahazina ya viongozi vijana Ridhiwani ni mmoja wao nakubali
.CCM tunawatu wazuri wengi sana ila kwa yaliyotokea kuna watu wamekuwa na kigugumizi wanasema heri zimwi likujualo wewe unaonaje ni mawazo yao tu,
kabisa mkuu,Bila kuwa na sifa?
naona unahamisha magoli, senge wewe.Kama ni ishu ya China...wachina walipewa tender ya kujenga bomba la gesi mpka kinyerezi kwa hati ya dharula.
Hahahaha haya Mama SamiaNitamteua uwaziri wa nishati sio muda, kijana anapiga kazi sana huyu.
Nchi yetu sote hii, Acha kuishi kinyongeSasaa wenye nchi mmeanza kuandaana mapema
Hiyo gesi iko kitalu gani? Acha kulishwa maneno mabaya mkuuAcha ujinga wako, kama hujui uliza usaidiwe.
Pale kuna visima vingi na vilivyopewa wachina vipo na vingine bado ni miliki ya serikari
Kwa hiyo hao watu wa shell watapewa visima ambavyo bado ni miliki ya serikali.
Swala la kijana wa kikwete kupewa nafasi ya juu wewe unapata faida gani?
Kama unaona anafaa kuwa kuongozi
Basi mpe nafasi aiongoze familia yako ili ulizike kama unaona ubunge sio saizi yake.
Tunataka watu wa kusaidia nchi na sio watu kupewa fadhila,
Na kwa nini usitafute ndugu yako umuombee nafasi kuliko huyo mtoto wa raisi ambaye hana shida ya maisha?
Wamemsifia au wameweka ukweli wazi?Ko kikundi cha watu na smartphone senu mmeona muanzishe uzi kumsifia boss wenu
Hoja sio uongozi nafikiri hoja hapa ni uongo na uzushi wa Wale watu wabayaSifa zipi ambazo hana kwa nchi yetu?
Afisa mitandaoAfisa 😂😂😂
Ndio tunaowengi sana kwa hakika.
mimi Bado naamini, kuna watu wazuri wengi tuu,
ukiacha hao Ma-prince wanao tajwa tajwa,s
napia sio kila zimwi lisilo kujua basi laweza kua kama lile lililo tula tukakwisha mkuu..
.
.
Nimecheka kwa sauti hapo chinikabisa mkuu,
tatizo waamuzi niwachache.
hao wakiamua tuu,
basi anapingwa bila kupita, hahaha.
Hawana hoja, kweli njia ya mwongo ni fupi sananaona unahamisha magoli, senge wewe.
Wewe unajua vitaru au visima vilikua vingapi walivyochoronga na vinavyofanya kazi ni vingapi au unashabikia bila kujua.Hiyo gesi iko kitalu gani? Acha kulishwa maneno mabaya mkuu
Nitarudi, Ripoti zote ziko TPDC hakuna hayo unayoongeaWewe unajua vitaru au visima vilikua vingapi walivyochoronga na vinavyofanya kazi ni vingapi au unashabikia bila kujua.
Fanya utafiti utajua kama hujui.