Ngoja wajeWakuu,
Wahenga njooni tukutane hapa.
Huyu jamaa aliigiza kwenye movie maarufu sana Afrika.
Kipindi hicho masuala ya DSTV sijui Netflix hayapo.
Movie ulikuwa unaangalia kwenye mikanda au kwenye vibanda umiza. Gen Z hawawezi elewa
Alilipwa Dola 300 pekee kwenye ile movie ya the gods must be crazy na kale katoto kamesema kenyewe hakakupewa hata mia mbovu... Ila muvi ilikuwa matata sana daaahWakuu,
Wahenga njooni tukutane hapa.
Huyu jamaa aliigiza kwenye movie maarufu sana Afrika.
Kipindi hicho masuala ya DSTV sijui Netflix hayapo.
Movie ulikuwa unaangalia kwenye mikanda au kwenye vibanda umiza. Gen Z hawawezi elewa
Huyu anaitwa Bushman, hana jina halisi.Wakuu,
Wahenga njooni tukutane hapa.
Huyu jamaa aliigiza kwenye movie maarufu sana Afrika.
Kipindi hicho masuala ya DSTV sijui Netflix hayapo.
Movie ulikuwa unaangalia kwenye mikanda au kwenye vibanda umiza. Gen Z hawawezi elewa
Dogo kuigiza kote kule hajapewa hata 100?na kale katoto kamesema kenyewe hakakupewa hata mia mbovu...
Nimeanza kuangalia DSTV mwaka 1998, channel yangu pendwa ilikua MNET na Movie magic..baadae cartoon networkDstv pia ni wahenga mkuu, UNAFKIRI mpira zamani tulikua tunaangalia wapi?
Heee kwanini asiwe nalo hiyo ni a.k.a yake bwanaaaHuyu anaitwa Bushman, hana jina halisi.
Duh atakuwa na jina la kikabilaHuyu anaitwa Bushman, hana jina halisi.
Mie dstv nimeanza kuwafahamu mwaka 1998 kwa hapa DarDstv pia ni wahenga mkuu, UNAFKIRI mpira zamani tulikua tunaangalia wapi?
Familia bora wewe aka mboga sabaNimeanza kuangalia DSTV mwaka 1998, channel yangu pendwa ilikua MNET na Movie magic..baadae cartoon network
Soma alama za nyakati, nilikuwa natania tu.Heee kwanini asiwe nalo hiyo ni a.k.a yake bwanaaa
Kuna mtu aliniambia anaitwa Bushmamy ila sina uhakika.Duh atakuwa na jina la kikabila
😜😜😜😜😜🎸Kaka wa Mzee Kiba.
Kwani unadhani na mie sitanii .... Nakutania tuSoma alama za nyakati, nilikuwa natania tu.