Ni vitu Gani huvipendi katika Movie zilizotafsiriwa kwa Kiswahili?

Error 404

JF-Expert Member
Jun 21, 2022
781
799
Habari ,Binafsi sio mpenzi za sana wa hizi movie zilizo tafsiriwa ila kuna kitu kimoja nlikiona siku moja nlipoangalia movie moja ya lugha ya kiingereza ni kwamba Tafsiri haiendani na kinachongelwa nilikereka sana .​

We je vitu gani huvipendi ? Ingawa kuna Madj wako poa
 
Sijawahi kujutia kuangalia movie zilizotafasiriwa na Dj mack the mashine kutoka acheche production. Mzuka mwingi kama kawa kama dawa. Anatafasiri uhalisia uliopo pia anaelewesha vizuri sana. Movie hata kama ni mbovu utaipenda.
Nakuunga mkono mia mia huyu mr amejitahidi sana kwenye kutafsiri na kunogesha movies, kama mada inavyo sema kitu kinacho ni kera ni ile movie inaendelea mtafsiri anapigiwa simu na kupokea na kuonge kama dakika nzima, bora hata ange pause kidogo.
 
Back
Top Bottom