Ni ushamba, roho mbaya au ni umaskini?

Ni ushamba, roho mbaya au ni umaskini?

Una mashetani kichwani
Wadau kuna tabia imekomaa kwa akiri yangu kwa namna ambayo nimeshindwa kabisa kuikontrol au kuacha kabisa.
Kifupi ni kwamba nina girlfriend wangu niko nae for 5years sasa kwa up and down ila kuna hii tabia ya kuto kumuamini kabisa na kumletea ubabe kila saa na sometime kupelekea kumpiga mpaka anaharibika kabisa na kuanza kumuhurumia na kumtibu then tukishazinguana kama hivyo natamani kumuacha na kumnyang'anya kila kitu nilichomnunulia kwa maana ya vitu vyote vya ndani na duka nililomfungulia lakini nashindwa then tunaelewana maisha yanaendelea
Kifupi hana raha namnyanyasa sana ila still ananipenda sasa nimeona ni share na wadau ili muweze kunishauri kisaikolojia kuwa hzo tabia namfanyia huyo mtoto wa watu ni ushamba, wivu au nina roho mbaya?

Asanteni
Napokea michango yoyote ya kunijenga na kuni cancel kisaikolojia hata matusi pia nisije nikaishia jela.



Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ANZA NA KUOMBA MUNGU AKUREHEMU, UKISHINDWA NENDA KANISANI KWAKO UKAOMBEWE, KAMA KANISA LAKO HALIKO VZR NENDA KWA TB- JOSHUA NIGERIA.
 
Mkuu kuacha tabia za kishetani ni shida sana
Nashukuru Mungu nilifanikiwa kuacha pombe for 6yrs sasa sijagusa ila hii ya ubabe na kuto kumuamini huyu binti nimeshindwa kabisa ingawa sijawahi kuona tukio la ajabu zaidi ya meseji tu za kutongozwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu dunian hamna roho ya ubinadamu!!!umeshajua unalofanya then unaomba ushaur,na huyo mwanamke anavumilia kwasabab hana njia mbadala akiiipata!!itakuwa storiii


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sizani kama ni umaskini kifupi niko njema kimtindo so vihela hela tumilioni 10-, 20 za kuhonga sio issue kwangu kaka
Nishahuri tu nifanyeje niache hii tabia

Sent using Jamii Forums mobile app
una umaskini wa rohoni hilo duka unaona anafaidi mnoo....ila pia nna mashaka na utimamu wa huyo dem miaka mitano kuvumilia ujinga khaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom