Ni ushamba, roho mbaya au ni umaskini?

Ni ushamba, roho mbaya au ni umaskini?

kzba

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
1,355
Reaction score
793
Wadau kuna tabia imekomaa kwa akiri yangu kwa namna ambayo nimeshindwa kabisa kuikontrol au kuacha kabisa.
Kifupi ni kwamba nina girlfriend wangu niko nae for 5years sasa kwa up and down ila kuna hii tabia ya kuto kumuamini kabisa na kumletea ubabe kila saa na sometime kupelekea kumpiga mpaka anaharibika kabisa na kuanza kumuhurumia na kumtibu then tukishazinguana kama hivyo natamani kumuacha na kumnyang'anya kila kitu nilichomnunulia kwa maana ya vitu vyote vya ndani na duka nililomfungulia lakini nashindwa then tunaelewana maisha yanaendelea
Kifupi hana raha namnyanyasa sana ila still ananipenda sasa nimeona ni share na wadau ili muweze kunishauri kisaikolojia kuwa hzo tabia namfanyia huyo mtoto wa watu ni ushamba, wivu au nina roho mbaya?

Asanteni
Napokea michango yoyote ya kunijenga na kuni cancel kisaikolojia hata matusi pia nisije nikaishia jela.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni roho ya kimasikini na demu anaoneam ana sura ya baba yake. Ndio maana unamnyanyasa na still nkung'ang'ania.
 
Hilo tu kama unaona hiyo ni tabia Mbaya kwann?? Usiache kama unauwezo wa kutambua na kuacha unaweza pia

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuacha tabia za kishetani ni shida sana
Nashukuru Mungu nilifanikiwa kuacha pombe for 6yrs sasa sijagusa ila hii ya ubabe na kuto kumuamini huyu binti nimeshindwa kabisa ingawa sijawahi kuona tukio la ajabu zaidi ya meseji tu za kutongozwa

5yrs hamjaona tu, utamtoboa macho mtoto wa mwanaume mwenzio, halafu mwisho wa siku usimuoe uachie wengine scraper( no offence intended)
 
Back
Top Bottom