Ni ushamba, roho mbaya au ni umaskini?

Ni ushamba, roho mbaya au ni umaskini?

Mkuu kuacha tabia za kishetani ni shida sana
Nashukuru Mungu nilifanikiwa kuacha pombe for 6yrs sasa sijagusa ila hii ya ubabe na kuto kumuamini huyu binti nimeshindwa kabisa ingawa sijawahi kuona tukio la ajabu zaidi ya meseji tu za kutongozwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lako linaitwa magufuliasis chatoae
 
Mpende Mungu, fuata amri zake na uwe karibu nae, automatically ukitaka kufanya jambo baya utaona aibu.
 
Wadau kuna tabia imekomaa kwa akiri yangu kwa namna ambayo nimeshindwa kabisa kuikontrol au kuacha kabisa.
Kifupi ni kwamba nina girlfriend wangu niko nae for 5years sasa kwa up and down ila kuna hii tabia ya kuto kumuamini kabisa na kumletea ubabe kila saa na sometime kupelekea kumpiga mpaka anaharibika kabisa na kuanza kumuhurumia na kumtibu then tukishazinguana kama hivyo natamani kumuacha na kumnyang'anya kila kitu nilichomnunulia kwa maana ya vitu vyote vya ndani na duka nililomfungulia lakini nashindwa then tunaelewana maisha yanaendelea
Kifupi hana raha namnyanyasa sana ila still ananipenda sasa nimeona ni share na wadau ili muweze kunishauri kisaikolojia kuwa hzo tabia namfanyia huyo mtoto wa watu ni ushamba, wivu au nina roho mbaya?

Asanteni
Napokea michango yoyote ya kunijenga na kuni cancel kisaikolojia hata matusi pia nisije nikaishia jela.

Sent using Jamii Forums mobile app
kwanza huyo mwanamke wako ni bonge moja la fala, alipaswa akuache siku nyingi.
na kwa kumsaidia hebu muache, wewe ulitakiwa uwe gerezani hadi wakati huu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau kuna tabia imekomaa kwa akiri yangu kwa namna ambayo nimeshindwa kabisa kuikontrol au kuacha kabisa.
Kifupi ni kwamba nina girlfriend wangu niko nae for 5years sasa kwa up and down ila kuna hii tabia ya kuto kumuamini kabisa na kumletea ubabe kila saa na sometime kupelekea kumpiga mpaka anaharibika kabisa na kuanza kumuhurumia na kumtibu then tukishazinguana kama hivyo natamani kumuacha na kumnyang'anya kila kitu nilichomnunulia kwa maana ya vitu vyote vya ndani na duka nililomfungulia lakini nashindwa then tunaelewana maisha yanaendelea
Kifupi hana raha namnyanyasa sana ila still ananipenda sasa nimeona ni share na wadau ili muweze kunishauri kisaikolojia kuwa hzo tabia namfanyia huyo mtoto wa watu ni ushamba, wivu au nina roho mbaya?

Asanteni
Napokea michango yoyote ya kunijenga na kuni cancel kisaikolojia hata matusi pia nisije nikaishia jela.

Sent using Jamii Forums mobile app
jifunze kwanza kuweka vituo, nukta, mikato nk.
 
na sometime kupelekea kumpiga mpaka anaharibika kabisa na kuanza kumuhurumia na kumtibu then tukishazinguana kama hivyo natamani kumuacha na kumnyang'anya kila kitu nilichomnunulia kwa maana ya vitu vyote vya ndani na duka nililomfungulia lakini nashindwa then tunaelewana maisha yanaendelea
You need help!!! But she needs more help than you! umempoteza thamani yake hadi haamini kuwa anaweza maisha bila wewe! 😡😡.
 
I agree with you mkubwa nishahuri tu kuepuka hzo mambo maana naona kabisa mwisho wangu utakuwa mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaogopa nini? Kitu gani kinakutisha hadi uone kua njia pekee ya kudhihirisha uanamume wako ni kwa kumpiga, kumnyanganya vitu na kutaka kumuacha??
 
Back
Top Bottom