nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 6,758
- 11,782
Unataka cancelling bure mkuu?
hii ni taaluma ya watu na wamesomea
Toa ofa yako tuku cancel.
hii ni taaluma ya watu na wamesomea
Toa ofa yako tuku cancel.
Nimeshangaaa sana eti tumilioni 10-20 za kuhonga kwake sio tatizo doooohVidume vya JF vinajua sana kuhonga aiseeee
JF wote ni maisha mazuri....ila sasa ukisema kila mtu ana ngoma hahahaa kila mtu anakimbia!!Nimeshangaaa sana eti tumilioni 10-20 za kuhonga kwake sio tatizo dooooh
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamata jinga hilii tia ndani,, hii type of a mijitu ndo inanyanyasa jinsia ya kike alaf inajisifu use***e mbele ya kadamnasi,,, ptuuuu,, muraa unafaa kugechwa muraa ili utambue maumivu kama unayo mpa mwenziiioWadau kuna tabia imekomaa kwa akiri yangu kwa namna ambayo nimeshindwa kabisa kuikontrol au kuacha kabisa.
Kifupi ni kwamba nina girlfriend wangu niko nae for 5years sasa kwa up and down ila kuna hii tabia ya kuto kumuamini kabisa na kumletea ubabe kila saa na sometime kupelekea kumpiga mpaka anaharibika kabisa na kuanza kumuhurumia na kumtibu then tukishazinguana kama hivyo natamani kumuacha na kumnyang'anya kila kitu nilichomnunulia kwa maana ya vitu vyote vya ndani na duka nililomfungulia lakini nashindwa then tunaelewana maisha yanaendelea
Kifupi hana raha namnyanyasa sana ila still ananipenda sasa nimeona ni share na wadau ili muweze kunishauri kisaikolojia kuwa hzo tabia namfanyia huyo mtoto wa watu ni ushamba, wivu au nina roho mbaya?
Asanteni
Napokea michango yoyote ya kunijenga na kuni cancel kisaikolojia hata matusi pia nisije nikaishia jela.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa jibu hili, inawezekana huyo mwanamke kwasasa yupo kwako tu kwasababu wewe ndie msaada kwake ama hata kwa familia yake, na nina hakika huyo bibie hakupendi tena ingawa amekua mkimya na anavumilia tu.Sizani kama ni umaskini kifupi niko njema kimtindo so vihela hela tumilioni 10-, 20 za kuhonga sio issue kwangu kaka
Nishahuri tu nifanyeje niache hii tabia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sizani kama ni umaskini kifupi niko njema kimtindo so vihela hela tumilioni 10-, 20 za kuhonga sio issue kwangu kaka
Nishahuri tu nifanyeje niache hii tabia
Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda anavumilia tu kwa kuwa unavihela na anajua anachokifanya ila lengo lake likitimia bs siku hyo hutaamini atakuacha unalia! Mwanamke ni kiumbe mwingine! We nenda nae vzr punguza kumpigaSizani kama ni umaskini kifupi niko njema kimtindo so vihela hela tumilioni 10-, 20 za kuhonga sio issue kwangu kaka
Nishahuri tu nifanyeje niache hii tabia
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ha ha haJF wote ni maisha mazuri....ila sasa ukisema kila mtu ana ngoma hahahaa kila mtu anakimbia!!
sio mbaya, mwanamke usiishi nae kwa hurumaWadau kuna tabia imekomaa kwa akiri yangu kwa namna ambayo nimeshindwa kabisa kuikontrol au kuacha kabisa.