Wadau kuna tabia imekomaa kwa akiri yangu kwa namna ambayo nimeshindwa kabisa kuikontrol au kuacha kabisa.
Kifupi ni kwamba nina girlfriend wangu niko nae for 5years sasa kwa up and down ila kuna hii tabia ya kuto kumuamini kabisa na kumletea ubabe kila saa na sometime kupelekea kumpiga mpaka anaharibika kabisa na kuanza kumuhurumia na kumtibu then tukishazinguana kama hivyo natamani kumuacha na kumnyang'anya kila kitu nilichomnunulia kwa maana ya vitu vyote vya ndani na duka nililomfungulia lakini nashindwa then tunaelewana maisha yanaendelea
Kifupi hana raha namnyanyasa sana ila still ananipenda sasa nimeona ni share na wadau ili muweze kunishauri kisaikolojia kuwa hzo tabia namfanyia huyo mtoto wa watu ni ushamba, wivu au nina roho mbaya?
Asanteni
Napokea michango yoyote ya kunijenga na kuni cancel kisaikolojia hata matusi pia nisije nikaishia jela.
Sent using
Jamii Forums mobile app