Umaskini ni laana; nimeamini pia maskini ana roho mbaya sana

Manzile

JF-Expert Member
Apr 23, 2020
528
1,494
Hiki niandikacho ni kisa cha kweli na ndicho ninachopitia.

Nikiri kwamba nimezaliwa kwenye umaskini na nimesomeshwa kwenye umaskini mpaka namaliza elimu yangu

Nilisota kidogo tu kitaa baada ya kumaliza elimu nikapata kazi sehemu nikaajiriwa, baada ya mda kutokana na Tabia yangu ya ukimya na usiri mkuu wangu wa kazi akanihamishia idara ambayo baadae nilikuja kujua ni sehemu yenye michongo mingi ya pesa.

Nikafundishwa kazi, nikaiva. Hela zipo idara hii bwana, kwa Siku nilikuwa nikitoka kazini mfukoni kuna 3+m kama hamna hamna sana nina 1+m.

Ndani ya miezi 3 nikiwa pale nikawa niko vizuri nikanunua uwanja sehemu yenye hadhi kidogo heka 3 nikaweka mansion yangu ikiwa na uwanja wa basebal na netbal ikiwemo sehemu za kucheza watoto na mabwawa ya kuogelea.

Mpaka huu mjengo unakamilika nilitumia zaidi ya 400+m, siku nawapeleka wazazi na ndugu hawakuamini kutokana na mazingira niliyotoka na namna nilivo mkimya. Sikuishia hapo wadogo zangu tumbo moja wote nilianza mchakato wa kuwajengea nyumba kila mmoja yake na nikafanikisha nyumba nzuri za kisasa ambazo wastani nilitumia 120+m

Ndugu zangu wote nilitoa msaada kwao bila kubagua, watoto ambao walikuwa wamefeli shule niliwapa uchaguzi wanachotaka wanawafanyia, nimetoa mitaji nimepeleka vyuo vya ufundi natimiza mahitaji yao kila kitu maana hela ninayo na sioni fahari ya kuabudiwa.

Sasa baada ya miaka 6 kuona nazidi kuwekeza kwa kasi ileile tu, mashangazi wakaanza za chinichini huyu jamaa ni Freemason mimi nikiwa sijui chochote. Kuna kipindi msiba ulitokea, Mke wa mtoto wa shangazi alifariki kulingana na majukumu yangu ule msiba sikufika ila nilibeba gharama zote za msiba.

Bwana kama miezi 6 hivi za msiba kupita, napata habari k kumbe watu wanachukuzwa na mafanikio, mashangazi wanapanga mipango ya kunidhuru kwa mda mrefu na mmoja aliyepewa majukumu ya kuchukua baadhi ya vitu kwenye mwili ikawa mlopokaji akanipa mchongo wote, wala sikuvumilia nikawawashia Moto mashangazi kufatilia kumbe baba zangu baadhi wanazo habari za hii mipango na wakanyamaza. Imenitia hasira sana.

Wanasema nimemuua yule mke wa binamu yangu na moja ya masharti niliyopewa ni kuwa na roho nzuri ya kuwasadia kwa hiyo nao wanataka kulipa kisasi kwa kunidhuru. Nina hasira na hawa watu Moto niliowawashia nimejikuta nawatukana mpaka matusi ya nguoni.

Natamani siku zirudi nyuma nisingefanya huu ujinga wa kusaidia hawa wanaoitwa ndugu, huku tunakoelekea naona kabisa kuna dalili mbaya kisa mafanikio yangu

Nimeongeza nguvu zaidi upande wa mama, huko nawajengea majumba ya maana.. Sasa naona wivu waziwazi mpaka watoto wao niliowasaidia kwa hali na mali.
 
Oya same story...sasa hivi nipo tu nasokota bangi....yaani hawapendi...Miaka chini ya 25 namiliki biashara na navuka boda....wa kwanza kununua gari kati ya wajukuu wa bibi zangu pande zote..nikienda kutembea nabeba dumu za asali kwa ajili ya zawadi nyumbani nawapa michongo posho na bia(ndugu)madogo na wakubwa....kumbe ilikuwa ni kosa viliwauma sana sasa hivi nipo kama wao au wao wamenizidi mbali sikubweteka sema kukwamishwa hata kifikra...
 
Hakika nawaambia, tena kwa msizitizo kuwa "hakuna mafanikio ya haraka haraka kutoka kwa Mungu" ni maujanja na ndugu wanaogopa hayo maujanja.
Haujapata mifereji ya pesa Kaka. Hata mimi zamani nilikuwa naamini kama wewe, ila siku ukipata kukaa kwenye njia ya pesa haya maneno yako utayafuta

Sikatai kama hamna hayo mazingaombwe lakini ukipata nafasi ya kukaa kwenye mkondo wa pesa utaelewa nini naongea
 
Pole sana mkuu, nimegundua wewe ni mtu mwema na pesa inakutesa sana...😎
Sasa ebu fanya hivi.....
Kama itawezekana naomba ufanye mpango unitumie 20k ili walau nikanunue debe la mahindi na kilo moja ya dagaa, kuni nitajisumbukia...😔
Fanya wepesi kwa
Tigo wakala ni 537797 Ashraf Abdallah...😊
M-pesa wakala ni 876134 Ashraf Abdallah....😋
By the way, umebarikiwa kabla sinakuombea...😎
 
Hiki niandikacho ni kisa cha kweli na ndicho ninachopitia.

Nikiri kwamba nimezaliwa kwenye umaskini na nimesomeshwa kwenye umaskini mpaka namaliza elimu yangu

Nilisota kidogo tu kitaa baada ya kumaliza elimu nikapata kazi sehemu nikaajiriwa, baada ya mda kutokana na Tabia yangu ya ukimya na usiri mkuu wangu wa kazi akanihamishia idara ambayo baadae nilikuja kujua ni sehemu yenye michongo mingi ya pesa.

Nikafundishwa kazi, nikaiva. Hela zipo idara hii bwana, kwa Siku nilikuwa nikitoka kazini mfukoni kuna 3+m kama hamna hamna sana nina 1+m.

Ndani ya miezi 3 nikiwa pale nikawa niko vizuri nikanunua uwanja sehemu yenye hadhi kidogo heka 3 nikaweka mansion yangu ikiwa na uwanja wa basebal na netbal ikiwemo sehemu za kucheza watoto na mabwawa ya kuogelea.

Mpaka huu mjengo unakamilika nilitumia zaidi ya 400+m, siku nawapeleka wazazi na ndugu hawakuamini kutokana na mazingira niliyotoka na namna nilivo mkimya. Sikuishia hapo wadogo zangu tumbo moja wote nilianza mchakato wa kuwajengea nyumba kila mmoja yake na nikafanikisha nyumba nzuri za kisasa ambazo wastani nilitumia 120+m

Ndugu zangu wote nilitoa msaada kwao bila kubagua, watoto ambao walikuwa wamefeli shule niliwapa uchaguzi wanachotaka wanawafanyia, nimetoa mitaji nimepeleka vyuo vya ufundi natimiza mahitaji yao kila kitu maana hela ninayo na sioni fahari ya kuabudiwa.

Sasa baada ya miaka 6 kuona nazidi kuwekeza kwa kasi ileile tu, mashangazi wakaanza za chinichini huyu jamaa ni Freemason mimi nikiwa sijui chochote. Kuna kipindi msiba ulitokea, Mke wa mtoto wa shangazi alifariki kulingana na majukumu yangu ule msiba sikufika ila nilibeba gharama zote za msiba.

Bwana kama miezi 6 hivi za msiba kupita, napata habari k kumbe watu wanachukuzwa na mafanikio, mashangazi wanapanga mipango ya kunidhuru kwa mda mrefu na mmoja aliyepewa majukumu ya kuchukua baadhi ya vitu kwenye mwili ikawa mlopokaji akanipa mchongo wote, wala sikuvumilia nikawawashia Moto mashangazi kufatilia kumbe baba zangu baadhi wanazo habari za hii mipango na wakanyamaza. Imenitia hasira sana.

Wanasema nimemuua yule mke wa binamu yangu na moja ya masharti niliyopewa ni kuwa na roho nzuri ya kuwasadia kwa hiyo nao wanataka kulipa kisasi kwa kunidhuru. Nina hasira na hawa watu Moto niliowawashia nimejikuta nawatukana mpaka matusi ya nguoni.

Natamani siku zirudi nyuma nisingefanya huu ujinga wa kusaidia hawa wanaoitwa ndugu, huku tunakoelekea naona kabisa kuna dalili mbaya kisa mafanikio yangu

Nimeongeza nguvu zaidi upande wa mama, huko nawajengea majumba ya maana.. Sasa naona wivu waziwazi mpaka watoto wao niliowasaidia kwa hali na mali.
Kutuandikia utumbo km huu ni kutudharau.
 
Mkuu kata kabisa hiyo kitu angalia wazazi wako tu labda na ndugu wa kuzaliwa hizo kenge zingine achana nazo na piga marufuku mtu kufika kwako
 
Oya same story...sasa hivi nipo tu nasokota bangi....yaani hawapendi...Miaka chini ya 25 namiliki biashara na navuka boda....wa kwanza kununua gari kati ya wajukuu wa bibi zangu pande zote..nikienda kutembea nabeba dumu za asali kwa ajili ya zawadi nyumbani nawapa michongo posho na bia(ndugu)madogo na wakubwa....kumbe ilikuwa ni kosa viliwauma sana sasa hivi nipo kama wao au wao wamenizidi mbali sikubweteka sema kukwamishwa hata kifikra...
Kwa level niliyofika mimi ni vigumu sana kurudi chini kabisa nina Investment za B sanasana tutadhuriana tu
 
Alafu hizo mambo hatutakiwi kuamini sana mi sidhani kama hata ungepuuzia wangeweza kukudhuru kwa imani hizo za kipumbavu anyway achana nao bro hao watu niwadumavu waakili hata ukiwapelekea walimu wawafundishe hawatoweza kubadilika kamwe.
Uchawi upo mkuu, acha kabisa hizo mbaga za kusema udharau. Utaondoka au kuumwa maisha yako yote. Ukipata kazi nzuri au nafasi nzuri nenda kajigange. Walimwengu hawana huruma kwa mtu mwenye mafanikio.
 
Back
Top Bottom