Ni ushamba, roho mbaya au ni umaskini?

Ni ushamba, roho mbaya au ni umaskini?

Na wasiwasi wewe ndio huyo mhanga, samahani lakini


VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
 
Mimi naona unayafanya hayo yote kwa kuwa unajiona unammiliki, na tumisaada unatompa roho inakuuma kwani unafanya ili ummiliki. Na huo ndio umasikini wenyewe.

Lkn lazima uijue karma. Na anakuvumilia kwa kuwa unakauwezo siku ukifeli kimaisha hutaamini kama ni yeye.
Jenga upendo sio wivu.
 
Angaliansana wanasema ukila na kipofu usimshike mkono ipo siku aoka kupigwa na hauto amini,
Zaa naye mpe heshima ya kuwa mke wako mkono utakua mzito kumpiga kwani anakulelea damu yako..
Uzuri wake hata wewe mwenyewe roho inakusuta amua kutokumpgia lakini jitahidi kumuani,,
Sisi wanau!e tunatongoza na kuwagonga wanawake vichaa itakua mke wako gena anashinda dukani kwenye kimvuli anashika shika pesa ametakata kwanini asitongozwe?
Aisee ni maneno mazito haya mkuu ila naona bado hujanipa way foward ya kuacha hz mambo
Tafadhali nipe mbinu Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku atachoka kuvumilia hayo manyanyaso, atakuacha japo anakupenda, ndipo utakapoona umuhimu wake!
Madam hyo siku naweza pata kichaa au kufa because nampenda sana na ndio.maana inapelekea kuwa na tabia hz za ajabu ajabu naomba unisaidie niache hz tabia nisije nikamkosa huyu binti maana nishainvest vya kutosha kwake madam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...kupiga mwanamke japo ni muhimu katika kudumisha hadhi ya uanaume ila Kama unafikia kumuharibu unazingua broo akikosea sanaa mkanye akieendelea chapa ata vibao sio kufikia huko halafu kupiga iwe option ya mwisho kabisa mnaweza mkakaa chini mkayajenga


halafu unakaaje na mtoto wa watu for five years hujanuoa acha hizoo broo unazingua weka mtoto ndani hapo mshajuana vya kutosha sio lazima ufunge ndoa harusi ya gharama


baada ya kusoma huu ushauri mkuu na conclude uache roho mbaya embu Fanya ibada pengine utabadilika kuwa na moyo wa huruma baada ya hapa mfuate kaa nae chini muombe samahan kwa vimbwanga ulivomfanyia toka mwanzo lazima atakua ameyaweka rohoni halafu sjui hilo duka vitu vya ndani huo ni wema tu. tenda wema sepa zako usingoje kulipwa don't expect much


you determine your life story by the choices you make



NB: nipo hapa kwa pusha kwenye mjengo mbovumbovu navuta bangi karibu mkuu tupate kitu roho inapenda
I appriciet Bro kifupi ni kwamba swala la kuoa bado japo umri unaruhusu ila bado natafakari namna ya kujenga trust kwa huyu binti ili walau niwe namuamini but nimechemka though nataman sana iwe hvyo
Ila asante kwa muda wako wa kunishahuri nitamuoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa jibu hili, inawezekana huyo mwanamke kwasasa yupo kwako tu kwasababu wewe ndie msaada kwake ama hata kwa familia yake, na nina hakika huyo bibie hakupendi tena ingawa amekua mkimya na anavumilia tu.
Maneno mazito sana haya mkuu though bado hajaonesha dalili za kunichoka
Ila nitaufanyia kazi huu ushahuri mkuu wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama umeshatambua siyo jambo zuri unaomba ushauri gani zaidi ya kuacha tu!

Halafu hizo tabia za kumnyang'anya mwanamke vitu mkigombana ambavyo ulimnunulia wakati mkiwa poa ni ushamba tu!
Nimekuelewa mkuu sasa ndio maaana naomba ushahuri kwako niache huu ushamba mkuu wangu
Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamtesa mtoto wa watu hata mapenzi sidhani kama anayafurahia.Funga naye ndoa na umpe heshima ya kuwa mke.mambo yakupigana pigana tuwaachie watu ambao hawajastaarabika.
Asante kwa ushahuri mkuu naomba nipe mbinu za kuacha hz mambo nisije mkosa huyu binti nampenda sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naona unayafanya hayo yote kwa kuwa unajiona unammiliki, na tumisaada unatompa roho inakuuma kwani unafanya ili ummiliki. Na huo ndio umasikini wenyewe.

Lkn lazima uijue karma. Na anakuvumilia kwa kuwa unakauwezo siku ukifeli kimaisha hutaamini kama ni yeye.
Jenga upendo sio wivu.
Kanivumilia sana kabla hata issue zangu haziko sawa she knows me to the foolest but ndo hvyo ananipenda nampenda hzo changamoto ashazizoe sasa naona umefika muda wa kuziacha kindly naomba mbinu niwe mtu mwema kwake kwa sababu maugomvi yote huwa chanzo ni mimi na naleta ubabe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom