Ni ukweli wanawake tegemezi wanaume tunawachukia

Ni ukweli wanawake tegemezi wanaume tunawachukia

ha ha ha afu weyeeee

kiroho safi ,
canstock6073754.jpg
hiyo ni nature tu...........
 
asante Kibo10 kikubwa ni kusaidiana kwa namna yoyote japo kila mtu ana yale majukumu yake

kusaidiana kwa hapa na pale ni muhimu
inaongeza upendo zaidi

Nashukuru kwa ufahamu wako sio kila jambo liwe ni kupiga tu!
 
Last edited by a moderator:
ila kweli now ni wakati wa mwanamke na mwanaume kushare expenses za nyumbani...Si baba tuuu...Japo mama atafanya ya le mambo madogo madogo na baba makubwa ila sio kumtegmea baba hadi chumvi atoe hela..

WANAWAKE TUBADILIKE...UGOLI KIPA TUACHEE

Kwa mjadala huu umeeleweka vema!
 
Katika hali ya kawaida kama mtu hafanyi kazi lazima ategemee mahitaji yake kutoka kwa watu wa karibu.... ndugu, jamaa, marafiki, mpenzi nk
Mtu anaweza kuwa hafanyi kazi kwa sababu hana ajira... ni mwanafunzi nk...
But mtu anaweza pia kuwa anafanya kazi but kipato hakimtoshelezi...
 
Ni wazi kabisa kwa asilimia kubwa ya wanaume sikuhizi hatutaki kutegemewa kwa kila kitu kwani maisha yamekuwa magumu wakati mwingine unakuta hata sisi wenyewe tunashindwa kujitosheleza kimahitaji.

Hivyo kuwa na mpenzi tegemezi tunaona ni hasara kubwa na kutokana na hilo wanaume tukiona mwanamke pale mwanzo tu baada ya kumtokea mara anaomba vocha, msaada wa kifedha yaani shida zake zote anataka mwanamume amsaidie.

Kiukweli si kitu kizuri ndiyo maana baadhi ya wanaume wakiona tabia kama hizi basi anaanza kukata mawasiliano taratibu mwishowe ukimpigia simu hapokei kabisa.

Na mzigo alishatafuna tena sana tu ni muhimu wanawake muwe na tabia ya kujituma ili msiwe ombaomba kila wakati kwani inawezekana mnachokwa mapema kutokana na nyie kuzidisha virungu vya kijinga jinga.

Acheni ubwegge wa kutengemea wanaume jitumeni na msichague kazi endesheni hata daladala tutawaunga mkono utegemezi wenu umezidi ni janga la kitaifa sasa hivi.

Nakaribisha mjadala.

Cc deejaywillzz lara 1 Munkari kabanga utafiti ICHANA miss neddy miss chagga Mr Rocky na wengine wote

Hili halikwepeki. Hata ukila mzigo mara ngapi haijalishi kama kukimbia wewe nenda. Yupo atakae hudumia bila kelele maana anajua nafasi yake kama mwanaume.

Mwanaume ni majukumu sio kuuza sura.
 
Mimi binafsi huwa najisikia as a Man pale ninapohakikisha mwanamke nimempa kila kitu anachokihitaji.Sipendi kuona mwanamke nae analazimika kuingilia majukumu ya mwanamme.Raha ya kuitwa mwanamme ni pamoja na kuwajibika.Hata maandiko yanaagiza na kuhimiza wanaume tuwapende wake zetu. Sasa kama ninakwepa majukumu na wajibu hapo kuna upendo?Nitamtimizia mwanamke mahitaji yake yote kama ninavyopaswa hata kama mwanamke anakipato chake bado ni wajibu wangu kufanya hivyo.....
 
Hamna umwanaume wa kuumia joooo wewe kama unawajibika hata kwa mwenye kipato baaaasi hapo tunasema unachunwa sio kuwajibika pole sana kamanda ki ukweli unaitaji msaada kiaina mkuu
 
Hamna umwanaume wa kuumia joooo wewe kama unawajibika hata kwa mwenye kipato baaaasi hapo tunasema unachunwa sio kuwajibika pole sana kamanda ki ukweli unaitaji msaada kiaina mkuu

Nini maana ya majukumu... Kwa hiyo wewe unafikiri tunaposema mwanamme ni kichwa cha familia tunamaanisha nini...? Au unafikiri inamaanisha kugegeda tuu...? Yaani umugegede tu mtoto wa watu...tena wengine kutwa mara tatu kama dozi ya kisonono halafu mwenzio anaambulia kumwagiwa hiyo juisi ya mlenda na kuzeeshwa tu basi. Hata majukumu ya ndani bado huwezi mtimizia....!Sasa wewe utaitwa mme au gumegume...
 
Thats true man kuwa mwanaume c suala la kugegeda tu inabidi kutimiza mahitaji yote yanayohitajika km ilivyoelezwa hata ktk vitabu vyetu vitakatifu vya dini
 
Hili halikwepeki. Hata ukila mzigo mara ngapi haijalishi kama kukimbia wewe nenda. Yupo atakae hudumia bila kelele maana anajua nafasi yake kama mwanaume.

Mwanaume ni majukumu sio kuuza sura.

tell them
 
Back
Top Bottom