Ni ukweli wanawake tegemezi wanaume tunawachukia

Ni ukweli wanawake tegemezi wanaume tunawachukia

Mtaendelea kumegwa na kuachwa mpaka mnazeeka na hata mnaoolewa ndoa inajaa visa tupu... kwanza lazima mjue hamuwez shindana na wanaume... njie ongeen kujifarij wakati mioyon mnaumia umr unasonga tu

Ukweli mtupu mkuu
 
Na ukiwa tegemezi utazeeka bila ndoa siku hizi hatubebi bila kufanya tathimini kwa kina

weee wasema....analalamika na matumiz anatoa ...no man is a hero to his wife....afterall nshaolewa mieeee
 
lin I second u. Am so proud na kitu nilichokitolea jasho no matter how small it is. Hakuna raha kama ur able to do the keeping by urself damnnn. Ukifulia you know how to strive to get back to the top. Yani mtu hakunyanyasi kamwe coz sio hela yake inayokuweka mjini, na wala you don't have to kiss anybody's a*s to do the keeping for u
Halafu maisha haya ya sasa hivi kumrundikia majukumu yote mumeo ni kumtafutia presha za kufa mapema tu. Be supportive to him, siku kachanganyikiwa na ada za watoto, mama unafunguka fastaa, rahaje sasa.
But wanaume na nyie, mtu anaweza akawa anajitoa wee but utakachomlipa mwisho wa siku Mungu pekee ndo anajua. Mnaposhikwa shikamaneni. Na wewe siku unaamua tu " mama take this amount, buy whatever u want for yaself". Maisha yanakuwa mustarehe. But me ntamsupport mwanaume mtafutaji only na anayejua kutoa pia akiwa financially buoyant. Mwingine unamsupport but bahili anakuchuna tu mfyuuu
"Work hard.. Pay your bills... Maintain yaself... Be supportive... Be independent"

Definetly :thumbup:
 
Last edited by a moderator:
Mtaendelea kumegwa na kuachwa mpaka mnazeeka na hata mnaoolewa ndoa inajaa visa tupu... kwanza lazima mjue hamuwez shindana na wanaume... njie ongeen kujifarij wakati mioyon mnaumia umr unasonga tu

Unaongea kama unaelewa vile wanaune wenyewe wa kutuoa ndiyo nyie pasua vichwa PESA KUTAFUTA HUWEZI KUANGALIA TU PAPUCHI ZA RAHISI.... mtuache mkaoe wasiojitambua utalala umesimama
 
Unaongea kama unaelewa vipi wanaune wenyewe wa kutuoa ndiyo nyie pasua vichwa PESA KUTAFUTA HUWEZI KUANGALIA TU PAPUCHI ZA RAHISI.... mtuache mkaoe wasiojitambua utalala umesimama

Wasio jtambua ndo wakoje... mbna wanaotafuta pesa wasio tafuta wote sawa tu... kwangu mm mwanamke awe mzur tu... mengne sihitaj papuch zote m naonaga rahis tu
 
Wasio jtambua ndo wakoje... mbna wanaotafuta pesa wasio tafuta wote sawa tu... kwangu mm mwanamke awe mzur tu... mengne sihitaj papuch zote m naonaga rahis tu

Angalia kwenye list ya mademu zako.utajua
 
Angalia kwenye list ya mademu zako.utajua

Asee ni wazur sana... mostly wameajiriwa wana kaz zao na majukum mazur tu ukiwatizama waweza ogopa bt m nae wajua naonaga hamna kitu ndo walewale tu
 
mwanamke kazi yake kugegedwa wee mwanaume jukumu lako ni kutafuta na kumlea. acheni kelele oh nataka mwanamke independent.
 
Asee ni wazur sana... mostly wameajiriwa wana kaz zao na majukum mazur tu ukiwatizama waweza ogopa bt m nae wajua naonaga hamna kitu ndo walewale tu

We ni mvivu wa kufikiri na kufanya evaluation
 
ila kweli now ni wakati wa mwanamke na mwanaume kushare expenses za nyumbani...Si baba tuuu...Japo mama atafanya ya le mambo madogo madogo na baba makubwa ila sio kumtegmea baba hadi chumvi atoe hela..

WANAWAKE TUBADILIKE...UGOLI KIPA TUACHEE

Ni wazi kabisa kwa asilimia kubwa ya wanaume sikuhizi hatutaki kutegemewa kwa kila kitu kwani maisha yamekuwa magumu wakati mwingine unakuta hata sisi wenyewe tunashindwa kujitosheleza kimahitaji.

Hivyo kuwa na mpenzi tegemezi tunaona ni hasara kubwa na kutokana na hilo wanaume tukiona mwanamke pale mwanzo tu baada ya kumtokea mara anaomba vocha, msaada wa kifedha yaani shida zake zote anataka mwanamume amsaidie.

Kiukweli si kitu kizuri ndiyo maana baadhi ya wanaume wakiona tabia kama hizi basi anaanza kukata mawasiliano taratibu mwishowe ukimpigia simu hapokei kabisa.

Na mzigo alishatafuna tena sana tu ni muhimu wanawake muwe na tabia ya kujituma ili msiwe ombaomba kila wakati kwani inawezekana mnachokwa mapema kutokana na nyie kuzidisha virungu vya kijinga jinga.

Acheni ubwegge wa kutengemea wanaume jitumeni na msichague kazi endesheni hata daladala tutawaunga mkono utegemezi wenu umezidi ni janga la kitaifa sasa hivi.

Nakaribisha mjadala.

Cc deejaywillzz lara 1 Munkari kabanga utafiti ICHANA miss neddy miss chagga Mr Rocky na wengine wote
 
asante Kibo10 kikubwa ni kusaidiana kwa namna yoyote japo kila mtu ana yale majukumu yake

kusaidiana kwa hapa na pale ni muhimu
inaongeza upendo zaidi
 
Last edited by a moderator:
kuna v2 vya kutegemeana na kuna vitu sio vya kutegemeana,nature haiepukiki,haiwezekani anavyofanya mwanaume vyote na mwanamke pia aviweze vyote hivyo hivyo km mwanaume.kuna vitu mwanaume anaweza akafanya na mwanamke asiweze na kuna vitu mwanamkeanafanya mwanaume hawezi fanya:
Kuhusu suala la kutegemeana kimaisha kuna wanaume ambao wanapenda wake zao wafanye kz ofisini na kuna wanaume wanapenda wake zao wafanye biashara,lakini pia kuna wanaume wanapenda wake zao wakae nyumbani wasimamie familia.
Kila mtu na utaratibu wake na hauwezi kumwambia mwenzako kwamba huo utaratibu wako sio mzuri fuata huu,narudia tena kila mtu na mtazamo wake katika maisha.........

Kwa mtazamo wangu,nature ya mwanamke ni kufanya kazi za nyumbani na kulelea familia kwani mwanamke ndio msingi mzuri wa familia.
 
Kuna misiba mingine ikitokea utamkuta mama analia wee analia BUT si kuwa anampenda sana mume wake ila analia sababu Anafikiria maisha atayaendeshaje coz alikuwa tegemezi...Watoto shule za ACADEMIA ndio wataachishwa, Matumizi ya nyumbani ndio yatakuwa issue nk.

Back
Top Bottom