Kwani operation ni kutaga? teh et ule kwa jasho kidogo jilaumu kuwa mwanaumekwanza siku hizi wanaozaa kwa uchungu ni wachache sana, wote mnakimbilia operation... na si tuacheni tule kwa jasho ndogo
aseeeeeee nagombanaga na mtu kisa hio ishu eti mwanaume anapanga kabisaaaa kwenye mshahara huu unatoa laki.....tuna..nyooooooooooooo nijikute tuuuuuu
Hahaha na bado. Mtajipanga mwaka huu. Evelyn Salt, ukiona paw nimembakisha kamnofu kachuneeee. Atarudi home mbio. Mwanaume anatambulika kwa majukumu na sio jina, ebooo
Hehehehehehehehehe
Wanaume wa siku hizi
Mtakuja kusema tubadilishane majukumu
Sure :thumbup:Na magonjwa (depression, stress) sababu ya midlife crisis...navyompenda honey wangu sitakaa nimtegee...na napenda majukumu pia...bila challenge naona maisha yanaboa...
Labda nilitakiwa nizaliwe mwanaume...lol (that is how our dad used to tell us...his baby girls)
Ni wazi kabisa kwa asilimia kubwa ya wanaume sikuhizi hatutaki kutegemewa kwa kila kitu kwani maisha yamekuwa magumu wakati mwingine unakuta hata sisi wenyewe tunashindwa kujitosheleza kimahitaji.
Hivyo kuwa na mpenzi tegemezi tunaona ni hasara kubwa na kutokana na hilo wanaume tukiona mwanamke pale mwanzo tu baada ya kumtokea mara anaomba vocha, msaada wa kifedha yaani shida zake zote anataka mwanamume amsaidie
Kiukweli si kitu kizuri ndiyo maana baadhi ya wanaume wakiona tabia kama hizi basi anaanza kukata mawasiliano taratibu mwishowe ukimpigia simu hapokei kabisa
Na mzigo alishatafuna tena sana tu....ni muhimu wanawake muwe na tabia ya kujituma ili msiwe ombaomba kila wakati kwani inawezekana mnachokwa mapema kutokana na nyie kuzidisha virungu vya kijinga jinga.
Acheni ubwegge wa kutengemea wanaume jitumeni na msichague kazi endesheni hata daladala tutawaunga mkono utegemezi wenu umezidi ni janga la kitaifa sasa hivi.
Nakaribisha mjadala!
Cc deejaywillzz lara 1 Munkari kabanga utafiti ICHANA miss neddy miss chagga Mr Rocky na wengine wote
Napenda kuwa supportive,siyo kuwa tegemezi kwa me ntAkayempenda ,ila akishindwa kujitambua kuwa majukumu yake ni nini km me,nikigeuza kisogo atanitafuta kwa darubini.
Kwa siku hizi mnazaa tena mi naona mnapigwa visu tu...
tubadilishane mara ngapi washatuingilia jukumu letu la kulaliwa na wao siku hz wanalaliwaHehehehehehehehehe
Wanaume wa siku hizi
Mtakuja kusema tubadilishane majukumu
lin I second u. Am so proud na kitu nilichokitolea jasho no matter how small it is. Hakuna raha kama ur able to do the keeping by urself damnnn. Ukifulia you know how to strive to get back to the top. Yani mtu hakunyanyasi kamwe coz sio hela yake inayokuweka mjini, na wala you don't have to kiss anybody's a*s to do the keeping for uSeriously pesa ulioitafuta mwenyewe ni nzuri coz naitumia nitakavyo no maswali no stress.
Pesa ya kuomba,unaweza usipewe kwa muda unaotaka,au usipewe kiasi unachotaka au hata ukasimangiwa nayo,bora hata ya kupewa bila kuomba.
lin I second u. Am so proud na kitu nilichokitolea jasho no matter how small it is. Hakuna raha kama ur able to do the keeping by urself damnnn. Ukifulia you know how to strive to get back to the top. Yani mtu hakunyanyasi kamwe coz sio hela yake inayokuweka mjini, na wala you don't have to kiss anybody's a*s to do the keeping for u
Halafu maisha haya ya sasa hivi kumrundikia majukumu yote mumeo ni kumtafutia presha za kufa mapema tu. Be supportive to him, siku kachanganyikiwa na ada za watoto, mama unafunguka fastaa, rahaje sasa.
But wanaume na nyie, mtu anaweza akawa anajitoa wee but utakachomlipa mwisho wa siku Mungu pekee ndo anajua. Mnaposhikwa shikamaneni. Na wewe siku unaamua tu " mama take this amount, buy whatever u want for yaself". Maisha yanakuwa mustarehe. But me ntamsupport mwanaume mtafutaji only na anayejua kutoa pia akiwa financially buoyant. Mwingine unamsupport but bahili anakuchuna tu mfyuuu
"Work hard.. Pay your bills... Maintain yaself... Be supportive... Be independent"