Tupe ushahidi. Mkuki kwa nguruwe.Of course hata ma cartoonist wa wenzetu kule hawakumkawiza MICHAEL MARTINS..
![]()
![]()
LAKINI katika tradisheni ile ile ya kujikumbusha hebu tuendelee kusoma kuhusu SAMUEL SITTA...
Huyu Sitta aliwekwa pale na ROSTAM ambaye among other things anatuhumiwa kuwa ni FISADI na anapesa nje ya nchi sasa iweje huyu spika awe hana pesa za nje ya nchi?